How? just read between the lines. Inaonekana kama wamekuwa dissapointed Kikwete hakuchukua ushauri wa Othman. Na vile vile don't forget walituma watu wao hapa kuomba TZ isipeleke jeshi DRC.
the Tutsi again....why don't you leave Tanzania alone??... we need to be very careful with Tutsi (calling themselves ha, hangaza and the like) holding some high level positions in the country, some of who are members of parliament..
Mkuu umeona eeh..Yaani hapa ni upishi mwanzo mwisho, Wanyarwanda bana dah!!!! Eti Raisi amteua Zongo "in retaliation", hivi hawajui kwamba Raisi wa Bongo anaweza kuweka na kutoa mtu popote kwa namna anavyojisikia bila hata kuulizwa. Eti kuna bifu. Kwa madaraka aliyonayo Raisi wa Bongo, hakuna kiongozi wa serikali mwenye ubavu wa kuweka naye bifu.Hta kama kuna ukweli fulani ila hii habari imeandikwa kipropaganda mno na kujaziwa chumvi sana.
Othman can never do thatmhh kwa hiyo hawa jamaa walifika hapa kwetu na wakatuchunguza vya kutosha, usikute mzee othman aliwapa data hawa watu.. Huenda hatuko salama kama tunavyojidanganya. Hao usalama wa taifa kumbe hawaaminiani na kila mtu anamaono yake.. kazi ipo
Ngoja kwanza niipitie habari kutoka origina source.
Wakati naendelea kusoma, nadhani News of Rwanda walitakiwa kuitafakari kwa makini kauli hiyo...kwamba, ikiwa wanaamini TISS Boss na President JK wanatofautiana, lakini bado TISS Boss yupo salama na wala hana hatari ya kula risasi kama wale wanaotofautiana na Kagame! This's an insult to their own president who put in MOST WANTED LIST kwa kila anayetofautiana nae.TOGETHER AS NOT ONE: President Kikwete (centre) with TISS chief Rashid Othman (left) have maintained a public display of closeness, but behind the scenes, a bitter row is threatening Tanzania due to Othman's refusal to back the FDLR agenda.
​jamaa wanahangaika sana