Kuna kitu Rwanda inachokitafuta Tanzania! (Serikali, nchi yetu ni salama kiasi gani?)

Kuna kitu Rwanda inachokitafuta Tanzania! (Serikali, nchi yetu ni salama kiasi gani?)

Endeleeni kulala na kusema Kagame ni wa kipuuzwa yatakapoyokea ya kutokea ndio mtaanza kulalama oooh sijui Kikwete hafai ooh walisema. Inakuwaje familia ya rais na marafiki zao wafungue maduka pasipo kulipia kodi. Jamani pamoja na huduma zote wanazopata bado wanatamaa tu. Hapa ss ni too much. Kikwete mwisho wake hautakuwa mzuri ataondoka madarakani sawa, lakini mengi yatamfuata nyuma uenda asimalizie uzee wake kwa amani.
 
Ikija kwa Kikwete kama rais mimi si kipenzi wala simchukii...

Lakini hii habari ina mashiko au umbea tu?...sioni ina maslahi gani kwangu kama mtanzania...

Mke wa Rais kuwa na duka la nguo siyo big deal. Kagame acha kabisa kutuchonganisha watanzania...Ulianza ooh Kikwete muhutu...real? Hata angekuwa na asili ya uhutu kwani muhutu chi ntu?

Na huyo former TISS kama ndo amekupa huo umbea basi Kikwete yuko vizuri kumtimua...hafai...mtanzania huwezi toa taharifa kwa adui wa nchi yako

He is lucky kuwa ni raia wa Tz angekuwa Rwanda angekuwa ni wa kumfuata Karegeya.Lol.

Hapa PK umegonga mwamba...ni ngumu sana kutu convince wabongo wakati wewe si mtanzania mwenzetu...we are one no matter our differences

Afu these guys are so smart and consistent...yani nia na dhumuni lao ni kummaliza JK na si Tanzania au watanzania...mkajipange huyu ni rais halali hakuingia kwa mtutu....na si kila kitu lazima ashauriwe...yeye kama amiri jeshi mkuu ana maamuzi kamili.
 
Sijaona hata cha kufanyia kazi sijuhi kuchunguza...duka la Virago ...real? Au biashara ya Bi Salma huko DRC? what for? AU kwa nini M 23 wametandikwa....te te te
 
Wamesahau JK ni rais mwenye mamlaka kama Amiri Jeshi Mkuu...uamuzi wake ni final...wengine wanashauri tu...he is a president not a PM kama UK au Japan...

How? just read between the lines. Inaonekana kama wamekuwa dissapointed Kikwete hakuchukua ushauri wa Othman. Na vile vile don't forget walituma watu wao hapa kuomba TZ isipeleke jeshi DRC.
 
My guy naona umeamua kuvalia njuga hili suala la Tz kuwa jamvi la wageni...wenye masikio wamesikia...wasio na masikio ngoja waone...(enyanga kugambilwa...)


the Tutsi again....why don't you leave Tanzania alone??... we need to be very careful with Tutsi (calling themselves ha, hangaza and the like) holding some high level positions in the country, some of who are members of parliament..
 
Unajua hakuna kitu kizuri kama kupuuza...mi ushauri wangu serikali ifunge masikio...mwisho atajiona mjinga labda ataamua kuamisha vita yake ya maneno South Afrika (maana mbona South si tu wana majeshi Congo; WANAWAIFADHI si kuwaruhusu kutembea WAPINZAN wa PK) ila TZ isisite kupeleka majeshi Congo (kwa our true friends) if needed/requested to do so
 
Hta kama kuna ukweli fulani ila hii habari imeandikwa kipropaganda mno na kujaziwa chumvi sana.
Mkuu umeona eeh..Yaani hapa ni upishi mwanzo mwisho, Wanyarwanda bana dah!!!! Eti Raisi amteua Zongo "in retaliation", hivi hawajui kwamba Raisi wa Bongo anaweza kuweka na kutoa mtu popote kwa namna anavyojisikia bila hata kuulizwa. Eti kuna bifu. Kwa madaraka aliyonayo Raisi wa Bongo, hakuna kiongozi wa serikali mwenye ubavu wa kuweka naye bifu.
 
mhh kwa hiyo hawa jamaa walifika hapa kwetu na wakatuchunguza vya kutosha, usikute mzee othman aliwapa data hawa watu.. Huenda hatuko salama kama tunavyojidanganya. Hao usalama wa taifa kumbe hawaaminiani na kila mtu anamaono yake.. kazi ipo
Othman can never do that

cha maana ni kujua WHO is Zongo kiundani??

maana kama ni yule aliyeishi congo basi haya
 
Khaa!! Biashara ya viduka vya rejareja viwili vitatu ndiyo iingize nchi vitani?? Au urafiki wa utotoni wa wake za viongozi?? Who is Mr Zongo anyway?? Hivi jeshi linaweza kuingia vitani kwa amri ya CinC tu kama vile wanakwenda kuwinda bila ya kuwa na intel infos za kutosha? Huu ni Ulevi. Amayo zake PK na news of rwanda!
 
Wana Jf wote heshima kwenu, ni muda sasa tunaona siasa za Tanzania na Rwanda zinavohitilafiana.

Na hivi majuzi Serikali kwa kutumia kodi zetu imemtuma Mwandosya Rwanda, lakini cha ajabu kabisa, gazeti la jana la News of Rwanda linakuja na habari ambayo kiuhalisia inashangaza na kama tutaiangalia kwa umakini labda ndio ile kauli ya bwana Paul ya 'me, i will wait for the right time and then i will hit him'.

Sioni mantiki ya habari hii kama serikali ya Tanzania inajaribu kutafuta suluhisho la kidiplomasia lakini wenzetu wako na mambo haya. Kama haitoshi nafikiri kuna haja ya ku-demand kwa serikali yetu ituambie hii nchi ni salama kiasi gani kama Rwanda wanaweza kuwa na habari nyeti hivi (kama ni kweli) zinazomuhusu mkurugenzi mkuu wa usalama wa Taifa na Raisi wetu.

Tafadhali watu wa serikali kama mnasoma hapa tungependa kupata majibu hii nchi ni salama kiasi gani????
 
TOGETHER AS NOT ONE: President Kikwete (centre) with TISS chief Rashid Othman (left) have maintained a public display of closeness, but behind the scenes, a bitter row is threatening Tanzania due to Othman's refusal to back the FDLR agenda.
Wakati naendelea kusoma, nadhani News of Rwanda walitakiwa kuitafakari kwa makini kauli hiyo...kwamba, ikiwa wanaamini TISS Boss na President JK wanatofautiana, lakini bado TISS Boss yupo salama na wala hana hatari ya kula risasi kama wale wanaotofautiana na Kagame! This's an insult to their own president who put in MOST WANTED LIST kwa kila anayetofautiana nae.
 
Mi nawashangaa Kikwete kapeleka majeshi Congo Rwanda hawataki? shida kweli kweli
 
Back
Top Bottom