Kuna Klabu ikikusanya Washambuliaji wake wote wa 'Bei Chee' bado tu hawamfikii Fiston Mayele

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Unatakiwa uwe na Mshambuliaji ambaye ukimuona tu Usoni na anavyocheza unajua tu kuwa Goli lipo muda wowote ule hata akabwe vipi na kweli hakosi kama Fiston Mayele wa Yanga SC.

Na utakuwa ni Mwendawazimu wa kutukuka kama unategemea Mishambuliaji yako ya hovyo ambayo kwanza haijui kufunga, pili inarogana sana na tatu hata ikibahatisha kufunga Magoli mepesi hata kushangilia tu kimvuto haijui.

Na wiki hii kuanzia kesho Alhamisi hadi Jumapili kuna uwezekano wa ajali ya kimchezo yaweza kutokea kwa mtu ama kuokota moja moja au hata kuokota Moja na kuziacha zote tatu Mikoa ya Kaskazini Mashariki na Pwani ya Bahari ya Hindi.

Mtanuna na Kunichukia hadi mpasuke!!

Cc: CARDLESS
 
Mayele ni zaidi ya hatari
Siku zote umekuwa kila Ukichangia tu Mada ( Threads ) zangu hapa JamiiForums ni lazima tu Utanitukana au Utanidhihaki na ukisema kuwa hunipendi ( hunikubali ) iweje leo umesahau Utamaduni wako huo?

Nimemisi Matusi yako naomba Unitusi ili Roho yangu itulie.
 
Unatakiwa uwe na Mshambuliaji ambaye ukimuona tu Usoni na anavyocheza unajua tu kuwa Goli lipo muda wowote ule hata akabwe vipi na kweli hakosi kama Fiston Mayele wa Yanga SC.

Na utakuwa ni Mwendawazimu wa kutukuka kama unategemea Mishambuliaji yako ya hovyo ambayo kwanza haijui kufunga, pili inarogana sana na tatu hata ikibahatisha kufunga Magoli mepesi hata kushangilia tu kimvuto haijui.

Na wiki hii kuanzia kesho Alhamisi hadi Jumapili kuna uwezekano wa ajali ya kimchezo yaweza kutokea kwa mtu ama kuokota moja moja au hata kuokota Moja na kuziacha zote tatu Mikoa ya Kaskazini Mashariki na Pwani ya Bahari ya Hindi.

Mtanuna na Kunichukia hadi mpasuke!!

Cc: CARDLESS
Nimekuja kaka GENTAMYCINE FISTON KALALA MAYELE
 
Ila tuseme tu ukweli! Mayele ndiye mshambuliaji hatari kwenye Ligi yetu ya NBC kwa sasa! Kwa mbaali anafuatiwa na akina Lusajo na George Mpole.

Watu kama John Bocco, Chris Mugalu na Meddie Kagere! kwa sasa ni zilipendwa.
 
Ukiangalia goli la Pili la Mayele utaona jinsi mabeki wetu wasivyojua kufanya marking.
Yaani Aibu kwa mabeki sijui huwa wanalala kwenye mechi ?
All in All Mayele ni bonge la mfungaji.
 
Ukiangalia goli la Pili ya Mayele utaona jinsi mabeki wetu wasivyojua kufanya marking.
Yaani Aibu kwa mabeki sijui huwa wanalala kwenye mechi ?
All in All Mayele ni bonge la mfungaji.
Manen mengine aisee yameongozwa na hisia na wivu. Asa kama duniani kungekuwa kuna mabeki wanaoweza kufanya marking kwa asilimia mia moja basi tusingeshuhudia timu kufungana. Una laumu mabeki wetu hawajui kufanya marking. Tutajie kuna timu gani duniani ambayo mabeki wake wanaweza fanya marking.
 
Wivu ni upi zaidi ya kusema ukweli. Mbona nimesema jamaa anajua ni bonge la mfungaji.
 
Back
Top Bottom