Kuna Klabu ikikusanya Washambuliaji wake wote wa 'Bei Chee' bado tu hawamfikii Fiston Mayele

Kuna Klabu ikikusanya Washambuliaji wake wote wa 'Bei Chee' bado tu hawamfikii Fiston Mayele

Manen mengine aisee yameongozwa na hisia na wivu. Asa kama duniani kungekuwa kuna mabeki wanaoweza kufanya marking kwa asilimia mia moja basi tusingeshuhudia timu kufungana. Una laumu mabeki wetu hawajui kufanya marking. Tutajie kuna timu gani duniani ambayo mabeki wake wanaweza fanya marking.
Point hii,

Ili mradi na yeye akosoe
 
Ukiangalia goli la Pili la Mayele utaona jinsi mabeki wetu wasivyojua kufanya marking.
Yaani Aibu kwa mabeki sijui huwa wanalala kwenye mechi ?
All in All Mayele ni bonge la mfungaji.
Agrey alivyotorokwa hakuamini majicho yake, akabaki "hili jinga si nilikuwa nimelikaba, limefungaje?"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Agrey alivyotorokwa hakuamini majicho yake, akabaki "hili jinga si nilikuwa nimelikaba, limefungaje?"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kusema ukweli Aggrey jana alijitahidi sana kumkaba Mayele.
Alimkaba sana kwa kweli!!! Ila bahati mbaya akamsahau.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kusema ukweli Aggrey jana alijitahidi sana kumkaba Mayele.
Alimkaba sana kwa kweli!!! Ila bahati mbaya akamsahau.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alivyogeuka hakuamini ni yule yule alokuwa anapambana kumkaba ndio kafunga.
 
Niwaambie tu wana yanga champions league ni tofauti na league za nyumbani sasa endeleeni kumsikiliza yule mnafiki manara wakati ni simba damu.
 
Siku zote umekuwa kila Ukichangia tu Mada ( Threads ) zangu hapa JamiiForums ni lazima tu Utanitukana au Utanidhihaki na ukisema kuwa hunipendi ( hunikubali ) iweje leo umesahau Utamaduni wako huo?

Nimemisi Matusi yako naomba Unitusi ili Roho yangu itulie.
Siyo muda wote ni matusi mzee,Sometime nakusuppot pale unapoongea points.Mimi siyo adui yako ila napenda sana kukurudisha kwenye mstari pale unapokengeuka.
 
Mayele mwenye bao lake moja tuu kila mechi hahaaa ila ndo yuko kileleni haya vyura shangilieni shangilieni maana msimu huu ubingwa wenu na nyie mjifute machozi kidogo. Miaka 4 Simba jamani tuliwachachafya tuwape na nyie kidogo
 
Lugha imebadilika tena mara hii?😊😊
 
Unatakiwa uwe na Mshambuliaji ambaye ukimuona tu Usoni na anavyocheza unajua tu kuwa Goli lipo muda wowote ule hata akabwe vipi na kweli hakosi kama Fiston Mayele wa Yanga SC.

Na utakuwa ni Mwendawazimu wa kutukuka kama unategemea Mishambuliaji yako ya hovyo ambayo kwanza haijui kufunga, pili inarogana sana na tatu hata ikibahatisha kufunga Magoli mepesi hata kushangilia tu kimvuto haijui.

Na wiki hii kuanzia kesho Alhamisi hadi Jumapili kuna uwezekano wa ajali ya kimchezo yaweza kutokea kwa mtu ama kuokota moja moja au hata kuokota Moja na kuziacha zote tatu Mikoa ya Kaskazini Mashariki na Pwani ya Bahari ya Hindi.

Mtanuna na Kunichukia hadi mpasuke!!

Cc: CARDLESS
Sawa, tutamuona Ligi ya mabingwa msimu ujao
 
Back
Top Bottom