Kuna Klabu ikikusanya Washambuliaji wake wote wa 'Bei Chee' bado tu hawamfikii Fiston Mayele

Kuna Klabu ikikusanya Washambuliaji wake wote wa 'Bei Chee' bado tu hawamfikii Fiston Mayele

Mshambuliaji kacheza mechi karibu 20 ana mabao 11 mnasema ni hatari sana je angekuwa ana mabao 20 mngesemaje? Bila shaka mngemwabudu kabisa!?
[emoji116]
Fiston Mayele (Yanga Sports Club) – 11 Goals
Reliant Lusajo (Namungo Football Club ) –10 Goals
George Mpole (Geita Gold Football Club) – 9 Goals

Meddie Kagere (Simba Sports Club) – 7 Goals

Yaani anaongoza kwa tofauti ya goli moja ila nyimbo ni nyingi je angeongoza kwa tofauti ya goli 15 mitaa si ingejazwa sanamu zake !? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ogopa sana mshamuliaji ambaye amefunga moja timu tofauti kuliko yule aliyefunga mechi moja goli nyingi...
 
Unatakiwa uwe na Mshambuliaji ambaye ukimuona tu Usoni na anavyocheza unajua tu kuwa Goli lipo muda wowote ule hata akabwe vipi na kweli hakosi kama Fiston Mayele wa Yanga SC.

Na utakuwa ni Mwendawazimu wa kutukuka kama unategemea Mishambuliaji yako ya hovyo ambayo kwanza haijui kufunga, pili inarogana sana na tatu hata ikibahatisha kufunga Magoli mepesi hata kushangilia tu kimvuto haijui.

Na wiki hii kuanzia kesho Alhamisi hadi Jumapili kuna uwezekano wa ajali ya kimchezo yaweza kutokea kwa mtu ama kuokota moja moja au hata kuokota Moja na kuziacha zote tatu Mikoa ya Kaskazini Mashariki na Pwani ya Bahari ya Hindi.

Mtanuna na Kunichukia hadi mpasuke!!

Cc: CARDLESS
huna akili wewe, we shabikia yanga yako tuachie Simba yetu dada angu
 
Back
Top Bottom