Kuna Klabu ikikusanya Washambuliaji wake wote wa 'Bei Chee' bado tu hawamfikii Fiston Mayele

Kuna Klabu ikikusanya Washambuliaji wake wote wa 'Bei Chee' bado tu hawamfikii Fiston Mayele

Tafadhali Jamiiforums Founder Maxence Melo kwa Kushirikiana na Moderators wako hapa nawaombeni kwa Ujuzi wenu mkubwa mlionao kama hii ID ni yangu kama ninavyohusishwa nayo naomba mnipige PERMANENT BAN hapa kwani GENTAMYCINE nimeshachoka 24/7.kuhusishwa na ID's mbalimbali hapa.

Na sijui ni kwanini Jamiiforums Moderators wametumia Maudhui ya Headline ya Uzi wangu ambao niliuanzisha na kumpa huyu Member Itovanilo kiasi cha Kuwachanganya Watu na naanza Kuhusishwa nayo.

Nitashukuru hili likifanyiwa Kazi haraka.

Cc: OKW BOBAN SUNZU, GANGA ZUMBA, njaakalihatari, Kalpana, ukikaidi utapigwa2, kalisheshe , vibertz , Proved , Lokonga ,Salary Slip
kawaida yako ukishtukiwa unaomba ban kwa muda
kwi kwi kwi 🚮 🚮 🚮
 
kawaida yako ukishtukiwa unaomba ban kwa muda
kwi kwi kwi 🚮 🚮 🚮
Wahi Hospitali za Vichaa Mirembe Dodoma au Lutindi Tanga kabla hali yako haijawa mbaya tafadhali.
 
Unatakiwa uwe na Mshambuliaji ambaye ukimuona tu Usoni na anavyocheza unajua tu kuwa Goli lipo muda wowote ule hata akabwe vipi na kweli hakosi kama Fiston Mayele wa Yanga SC.

Na utakuwa ni Mwendawazimu wa kutukuka kama unategemea Mishambuliaji yako ya hovyo ambayo kwanza haijui kufunga, pili inarogana sana na tatu hata ikibahatisha kufunga Magoli mepesi hata kushangilia tu kimvuto haijui.

Na wiki hii kuanzia kesho Alhamisi hadi Jumapili kuna uwezekano wa ajali ya kimchezo yaweza kutokea kwa mtu ama kuokota moja moja au hata kuokota Moja na kuziacha zote tatu Mikoa ya Kaskazini Mashariki na Pwani ya Bahari ya Hindi.

Mtanuna na Kunichukia hadi mpasuke!!

Cc: CARDLESS
 
Hao unaowadharau leo, ndiyo hao hao uliwashangilia miaka minne.

Unafiki hauna chama, kabila, timu. Mnafiki Ni mnafiki tu.

Lusajo ana goli ngapi? au kwasabab Ni mzawa basi , hawezi kusemwa.
 
Mshambuliaji kacheza mechi karibu 20 ana mabao 11 mnasema ni hatari sana je angekuwa ana mabao 20 mngesemaje? Bila shaka mngemwabudu kabisa!?
[emoji116]
Fiston Mayele (Yanga Sports Club) – 11 Goals
Reliant Lusajo (Namungo Football Club ) –10 Goals
George Mpole (Geita Gold Football Club) – 9 Goals

Meddie Kagere (Simba Sports Club) – 7 Goals

Yaani anaongoza kwa tofauti ya goli moja ila nyimbo ni nyingi je angeongoza kwa tofauti ya goli 15 mitaa si ingejazwa sanamu zake !? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mshambuliaji kacheza mechi karibu 20 ana mabao 11 mnasema ni hatari sana je angekuwa ana mabao 20 mngesemaje? Bila shaka mngemwabudu kabisa!?
[emoji116]
Fiston Mayele (Yanga Sports Club) – 11 Goals
Reliant Lusajo (Namungo Football Club ) –10 Goals
George Mpole (Geita Gold Football Club) – 9 Goals

Meddie Kagere (Simba Sports Club) – 7 Goals

Yaani anaongoza kwa tofauti ya goli moja ila nyimbo ni nyingi je angeongoza kwa tofauti ya goli 15 mitaa si ingejazwa sanamu zake !?
Umesahau kusema ukitoa magoli ya penati kuna watu watabaki na goli 5 tu hapo..na Mayele atabaki na 11 kama kawaida.
 
Back
Top Bottom