Kuna Klabu ikikusanya Washambuliaji wake wote wa 'Bei Chee' bado tu hawamfikii Fiston Mayele

Point hii,

Ili mradi na yeye akosoe
 
Ukiangalia goli la Pili la Mayele utaona jinsi mabeki wetu wasivyojua kufanya marking.
Yaani Aibu kwa mabeki sijui huwa wanalala kwenye mechi ?
All in All Mayele ni bonge la mfungaji.
Agrey alivyotorokwa hakuamini majicho yake, akabaki "hili jinga si nilikuwa nimelikaba, limefungaje?"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Agrey alivyotorokwa hakuamini majicho yake, akabaki "hili jinga si nilikuwa nimelikaba, limefungaje?"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kusema ukweli Aggrey jana alijitahidi sana kumkaba Mayele.
Alimkaba sana kwa kweli!!! Ila bahati mbaya akamsahau.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kusema ukweli Aggrey jana alijitahidi sana kumkaba Mayele.
Alimkaba sana kwa kweli!!! Ila bahati mbaya akamsahau.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alivyogeuka hakuamini ni yule yule alokuwa anapambana kumkaba ndio kafunga.
 
Niwaambie tu wana yanga champions league ni tofauti na league za nyumbani sasa endeleeni kumsikiliza yule mnafiki manara wakati ni simba damu.
 
Siyo muda wote ni matusi mzee,Sometime nakusuppot pale unapoongea points.Mimi siyo adui yako ila napenda sana kukurudisha kwenye mstari pale unapokengeuka.
 
Mayele mwenye bao lake moja tuu kila mechi hahaaa ila ndo yuko kileleni haya vyura shangilieni shangilieni maana msimu huu ubingwa wenu na nyie mjifute machozi kidogo. Miaka 4 Simba jamani tuliwachachafya tuwape na nyie kidogo
 
Mayele ni zaidi ya mtu, sijui ni jini yule jamaa maana anatisha, hakuna straiker yeyote anayempandia hapa Bongo.
Mimi ni kolo FC Ila kwa Mayele tu Huyu Cha wetu ajiunge mara kumi
Ndio timu gani hiyo ?
 
Mayele mwenye bao lake moja tuu kila mechi hahaaa ila ndo yuko kileleni haya vyura shangilieni shangilieni maana msimu huu ubingwa wenu na nyie mjifute machozi kidogo. Miaka 4 Simba jamani tuliwachachafya tuwape na nyie kidogo
Lugha imebadilika tena mara hii?😊😊
 
Sawa, tutamuona Ligi ya mabingwa msimu ujao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…