Kuna Klabu ikikusanya Washambuliaji wake wote wa 'Bei Chee' bado tu hawamfikii Fiston Mayele

Leo BM3 kafnya yake[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
kawaida yako ukishtukiwa unaomba ban kwa muda
kwi kwi kwi 🚮 🚮 🚮
 
 
Hao unaowadharau leo, ndiyo hao hao uliwashangilia miaka minne.

Unafiki hauna chama, kabila, timu. Mnafiki Ni mnafiki tu.

Lusajo ana goli ngapi? au kwasabab Ni mzawa basi , hawezi kusemwa.
 
Mshambuliaji kacheza mechi karibu 20 ana mabao 11 mnasema ni hatari sana je angekuwa ana mabao 20 mngesemaje? Bila shaka mngemwabudu kabisa!?
[emoji116]
Fiston Mayele (Yanga Sports Club) – 11 Goals
Reliant Lusajo (Namungo Football Club ) –10 Goals
George Mpole (Geita Gold Football Club) – 9 Goals

Meddie Kagere (Simba Sports Club) – 7 Goals

Yaani anaongoza kwa tofauti ya goli moja ila nyimbo ni nyingi je angeongoza kwa tofauti ya goli 15 mitaa si ingejazwa sanamu zake !? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umesahau kusema ukitoa magoli ya penati kuna watu watabaki na goli 5 tu hapo..na Mayele atabaki na 11 kama kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…