Makari hodari JF-Expert Member Joined May 17, 2022 Posts 3,339 Reaction score 6,666 Oct 20, 2023 Thread starter #101 mdukuzi said: Wabongo naneno tuila hatuna roho mbaya Click to expand... Hapa shamba la bibi
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 70,785 Reaction score 186,690 Oct 20, 2023 #102 Offshore Seamen said: Maskini na uchawi ni kama samaki na maji. Mtu kwa wivu wake ana amua kumtilia sumu mwenzake Click to expand... Maskini ni mtu mshenzi na wa hovyo kabisa
Offshore Seamen said: Maskini na uchawi ni kama samaki na maji. Mtu kwa wivu wake ana amua kumtilia sumu mwenzake Click to expand... Maskini ni mtu mshenzi na wa hovyo kabisa
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,111 Reaction score 53,092 Oct 20, 2023 #103 Maisha ya kislay queen sio mazuri Show off ni mbaya sana kwenye mitandao Lazima utengeneze maadui
desayi JF-Expert Member Joined Aug 27, 2017 Posts 3,593 Reaction score 5,848 Oct 20, 2023 #104 Mshana Jr said: Hao mabinti wanaoitwa ma slay queens Ni wahuni Ni matapeli Ni waongo Ni wababaifu Hata wakifa hufa na mengi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Unakuta kala cash ya mtu harafu anajifanya mjanja hataki kutumika
Mshana Jr said: Hao mabinti wanaoitwa ma slay queens Ni wahuni Ni matapeli Ni waongo Ni wababaifu Hata wakifa hufa na mengi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Unakuta kala cash ya mtu harafu anajifanya mjanja hataki kutumika
M Mlamba asali JF-Expert Member Joined Dec 11, 2022 Posts 1,152 Reaction score 2,270 Oct 20, 2023 #105 koboG said: Sisi wenye shule ya forensic medicine huyo kilicho muua ni death by aspiration in sleep hakuna cha sumu wala Nini alizidisha kiwango cha pombe Click to expand... Na kwanini inadaiwa hao mashosti wake hawapatikani kwa hewa something fishy
koboG said: Sisi wenye shule ya forensic medicine huyo kilicho muua ni death by aspiration in sleep hakuna cha sumu wala Nini alizidisha kiwango cha pombe Click to expand... Na kwanini inadaiwa hao mashosti wake hawapatikani kwa hewa something fishy
desayi JF-Expert Member Joined Aug 27, 2017 Posts 3,593 Reaction score 5,848 Oct 20, 2023 #106 Labda pisi za Kenya zilikuwa zinamuonea wivu zenyewe ni mbovu
ngebo JF-Expert Member Joined Sep 8, 2017 Posts 1,684 Reaction score 2,126 Oct 20, 2023 #107 18,000 tu
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Jan 8, 2024 #108 Naona socialite slayqeen mwingine kauliwa huko nairobi Stella wahuu sijui,hawa maaslay qeen wanakutana na mengi Ova cocastic
Naona socialite slayqeen mwingine kauliwa huko nairobi Stella wahuu sijui,hawa maaslay qeen wanakutana na mengi Ova cocastic