Kuna kundi kubwa la watumishi ambao bado hawajapata mshahara mpaka leo tarehe 25-10-2024

Unalipa kodi kutokana na shughuli yako hiyo?
 
Isije ikawa mikopo ya kausha damu hiyo

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Mtalipwa tu kuweni wavumilivu msilete taharuki, mama yupo kazini...mkiona hali ngumu mnaweza kukopa kidigito 🐒

 
Your browser is not able to display this video.
 
Tuliposema fedha ya mishahara imelipwa kwenye kesi ughaibuni tulishambuliwa, sasa ukweli unajidhihirisha
 
Itaje hyo Taasisi ambayo haijapata mshahara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…