Kuna kundi la watu fulani kwasababu ya ushabiki wao wanaichukulia USA poa

Kwani Kabla ya ukoloni Waafrika walitibiwa bure na waganga waô au mnazungumzia mambo msiyoyajua?

Mganga lazima apewe Pesa.
Sasa hizô ARV mlitaka mpewe bure na hao wazalishaji na viwanda watapataje fedha za kuendesha Maisha yao na Kazi Yao?
Africa ya kusini

Nigeria

Ethiopia

Ghana

Morocco

Kenya

Hizo ni baadhi za nchi zenye ushirikiano na US 90%
 
Duh. Aisee. Hujawahi hata kukutana na mabango yameandikwa kwa msaada wa watu wa marekani? Anyway ni aibu kwa bara la Africa mno bora hujui.
 
Katika vitu vinavyochekesha na kuuzunisha ni kuona kundi la watu fulani wakichukulia usa poa sana
Wengine kwa akili zao wanafikiri ni taifa dhaifu sana
Any way tuombe tu Mungu amani iwepo duniani
Kuna wazee wakimezeshwa maneno utasikia wakilopoka vitu ambavyo mbeleni vinaweza kuliingiza Taifa kwenye mizozo isiyotarajiwa.
Utasikia sisi kama wazee tunasema……
Nimeamini si kila mzee anabusara.
 
Mkuu iwe China ama US kila mmoja ananufaika na Africa wala hakuna anaetujali.
Boss, Kwanini atokee wa kutujali? Kwanini tujaliwe? Ni mama zetu wale? Sisi tuangalie win-win. Chukua madini, tupe umiliki wa teknolojia, chukua twiga tupe kiwanda. Hata hivyo nina wasi wasi hizi rasilimali zetu si kwamba ni special kihiivyo kama tunavyojinadi, labda mlima kilimanjaro na Tanzanite ila haya mengine yanapatikana huko kwa wenzetu pia.
 
Bila nchi za asia maana kama siyo nchi za asia kuleta ushindani kwa mabeberu hadi leo kununua tv ingekuwa sawa na kujenga nyumbq

HIV NA AJENDA YA DAWA ZA BURE HAPO TU UKIWA NA AKILI UTAJUA MCHEZO UNACHEZWAJE NA SERA ZA UKIMWI TULIZO AMLIWA WA KUZIFUATA...hiyo ni moja tu

Hizô ni hadithi na porojo tuu.

Hivi hao wamarekani wanawaogopa kiasi gani mpaka watumie indirect way kuwaangamiza?

Sera za Afya za kimataifa na kitaifa unazijua?

Kabla ya ukoloni na baadhi ya ukoloni life expectancy ya Tanzania na Africa Kwa ujumla imeongezeka au imeshuka?

Vifo vya wajawazito na Watoto wachanga Mpaka Umri wa Miaka mitano vimeongezeka au vimeshuka?

Ubora na Hali nzuri ya Maisha vimeongezeka au vimeshuka?

Au mnaongea mambo msiyoyaelewa?
 
Sisi tumekubali kuwa ni vilaza kwanzia akili zetu .
 
Hii mentality ya kupenda kusaidiwa ndiyo inayoturudisha nyuma. Nchi zenye uwezo zinafanya ubia (katika miradi mbalimbali) na zinaondokana na dhana ya kusaidiwa au kupenda kusaidiwa kama unavyoeleza.
 
Africa ya kusini

Nigeria

Ethiopia

Ghana

Morocco

Kenya

Hizo ni baadhi za nchi zenye ushirikiano na US 90%

Linganisha na zile Ambazo hazina huo ushirikiano utagundua gap.

Angalia Korea Kaskazini na Kûsini.
Kûsini wanashirikiana na USA wàpo vizuri.
Nenda Japan, china.

Njoo Mashariki ya Kati, Saudia Arabia Ipo Vizuri Kwa sababu wanashirikiana na USA
 
Hata kama na yeye anafaidika ila still na sisi ametusaidia.

Yani wewe unataka kusaidiwa tu,jisaidie mwenyewe..

USA ni taifa kubwa,ukatae ukubali.
Jifunze kwenye madawa ya kulevya kuna mapusha na mateja ....kazi wanayo fanya mapusha ni kukuingiza kwenye uteja wa madawa yao ya kulevya ...ukisha kuwa teja unaanza kuwashukuru na kuwasifu kwa kukuuzia madawa na kuwaita wanyamwezi ...marekani inachofanya nikama wanachofanya mapusha ...hivyo wewe hato unayo yahita manufaa tunayo pata ni uteja wa kiakili yani akili zako zimesha haribiwa hiyo unawasifu WAMAREKANI NA KUWAONA MWOKOZI KUMBE WAMEKUATHILI AKILI
 
Hii mentality ya kupenda kusaidia ndiyo inayoturudisha nyuma. Nchi zenye uwezo zinafanya ubia (katika miradi mbalimbali) na zinaondokana na dhana ya kusaidiwa au kupenda kusaidiwa kama unavyoeleza.
Ndicho ninacho sema mimi... kuwa krashi wanao itukuza marekani for nothing wakidhani ni watu muhimu kwetu ...mimi sikusema kusaidiwa ni kwema wala kubaya ila kutukuza upumbavu ni tatizo....
 

Eleza Kwa namna Ipi?
 
US ndio maana halisi ya uchumi kwanzia mtu binafsi wa daraja la chini( mdada wa kazi za nyumbani) mpaka taifa kiujumla , ndio maana kila mtu duniani ana ndoto za kuishi US Bufa Nyani Ngabu .
 
Ndicho ninacho sema mimi... kuwa krashi wanao itukuza marekani for nothing wakidhani ni watu muhimu kwetu ...mimi sikusema kusaidiwa ni kwema wala kubaya ila kutukuza upumbavu ni tatizo....

Hakuna ANAYEPENDA kusaidiwa Mkûu. NI kwamba mpaka kufikia Sasa hivi Waafrika tumeonyesha n kuthibitisha uwezo wetu wa Kufikiri NI Mdogo.

Zîpo nchi kibao hazifungamani na USA Maisha Yao yakoje?
 
US ndio maana halisi ya uchumi kwanzia mtu binafsi wa daraja la chini( mdada wa kazi za nyumbani) mpaka taifa kiujumla , ndio maana kila mtu duniani ana ndoto za kuishi US Bufa Nyani Ngabu .

Waulize hao wasiotaka USA kama Bila USA wengi waô wangekuwa washauawa Kwa sababu walivyokuwa Watoto walianza Kuota Meno ya juu àmbapo adhabu yake ilikuwa Kifo
 
Ndugu yangu hivi unajua kuwa madawa ya ukimwi ambayo kama zingeuzwa hakuna mtu ambaye angeweza kununua na miradi ya ukimwi na afya kupitia USAID ni bure na ni hao USA wanatoa au unaropoka bila kujua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…