Kuna kundi la watu fulani kwasababu ya ushabiki wao wanaichukulia USA poa

Kuna kundi la watu fulani kwasababu ya ushabiki wao wanaichukulia USA poa

Katika vitu vinavyochekesha na kuuzunisha ni kuona kundi la watu fulani wakichukulia usa poa sana
Wengine kwa akili zao wanafikiri ni taifa dhaifu sana
Any way tuombe tu Mungu amani iwepo duniani
Imefanya nin cha kutisha kwa vitendo na kwa adui yupi hadi wew utumie ushabiki kuiona bora
 
Anaona anavyo saidia kuwauwa wapalestina,wayemeni na walebanoni,na ilivyokuwa wafgani
Adui dhaifu ndo kageuzwa hadidu ya rejeo
Hajawahi shinda vita dhidi ya adui mwenye nguvu na ushahidi, wamelewa kwa taarifa za BBC nk..walete hoja imara tuone ukubwa wa U.S wanayoipigania mitandaoni
 
Wewe jamaa rudi kaunde mikeka bado sana , nani kaweka Africa na hapati faida kutoka katika aliccowekeza ? Waarabu?

Hiyo ni mifumo yao ya kupata mali wao ...siyo fadhila tumia akili ungesema wametupatia matrekta au wamejenga hospital au mashule ningekuelewa ni sawa sawa na useme dola yake ni muhimu kwetu ...ndiyo ila umuhimu wa dola ni faida kwa USAyenyewe ndiyo maana tukitaka kuacha matumizi ya dola marekani watafura kumbuka mambo ya BRICS wewe unadhani USA anapenda....vitu vya marekani tulivyo navyo ni vile tu vyenye kumnufaisha yeye moja kwa moja ....kwa utajiri wa taifa la marekani ilitakiwa mambo mengi africa tuwe tumesahidiwa na usa 🇺🇸 kama ujenzi wa barabara ...miradi ya maji reli ...hospital nk
 
Katika vitu vinavyochekesha na kuuzunisha ni kuona kundi la watu fulani wakichukulia usa poa sana
Wengine kwa akili zao wanafikiri ni taifa dhaifu sana
Any way tuombe tu Mungu amani iwepo duniani
ni mtu wa ajabu asiyetambua USAID, it's wonderful
 
Katika vitu vinavyochekesha na kuuzunisha ni kuona kundi la watu fulani wakichukulia usa poa sana
Wengine kwa akili zao wanafikiri ni taifa dhaifu sana
Any way tuombe tu Mungu amani iwepo duniani
Nkajua USA river chuga ,nkijua Kuna madini huko
 
USA alina faida yoyote kwa dunia nitajie hata mita moja ya reli ambayo USA na utajiri wake wote kajenga africa au hospital moja tu ya maana ambayo kajenga ...nasikitika sana kuona wapumbavu mnashabikia taifa ambalo halina faida yoyote kwa africa na dunia ...pepesa macho yako hapo ulipo nitajie ni bidhaa gani za USA uponazo hapo ulipo au umeziona kwa macho labda simu ya iPhone tu tena kama unayo
Misaada yote unayopewa na WB nk ana mkono wake. Ikiwa bajeti yako inategemea taasisi anazozifadhili vp haja kuendeleza. Unataka aku Pdidy
 
WhatsApp
Google
Microsoft
HP, Dell
Boeng-Dreamliner
Visa Card, Mastercard
Ford ranger, Escalade, jeep
Pepsi, Coca-Cola, KFC, Pringles
Jack Daniels, Grants
Abbott Laboratories
John Deere
Amazon
Movies
Music
JBL
Mwongezee Air jordan, Air force viatu
 
Barabara ya kutoka Tanga kwenda Mombasa imejengwa kwa hisani ya watu wa Marekani.
Miradi ya kupiga vita kifua kikuu, ukimwi na malaria, ambao wataalamu wanafuka mpaka maporini huko kutoa huduma ni hisani ya Serikali ya Marekani kupitia shirika la usaid.
100%
 
Kwa kipindi cha cha miaka mitatu USA ndio taifa lililotoa pesa nyingi hapa kwetu pesa hizo ndio zimejenga mahospitali, barabara mishahara na mambo mengine mengi.
Acha mizaha.
Hajui watoto wetu wanasomea ndani ya majengo ya wamarekani. Pia mkumbushe net za mbu pia kondom zinatolewa kwa pesa za hawa watu
 
Hiyo ni mifumo yao ya kupata mali wao ...siyo fadhila tumia akili ungesema wametupatia matrekta au wamejenga hospital au mashule ningekuelewa ni sawa sawa na useme dola yake ni muhimu kwetu ...ndiyo ila umuhimu wa dola ni faida kwa USAyenyewe ndiyo maana tukitaka kuacha matumizi ya dola marekani watafura kumbuka mambo ya BRICS wewe unadhani USA anapenda....vitu vya marekani tulivyo navyo ni vile tu vyenye kumnufaisha yeye moja kwa moja ....kwa utajiri wa taifa la marekani ilitakiwa mambo mengi africa tuwe tumesahidiwa na usa 🇺🇸 kama ujenzi wa barabara ...miradi ya maji reli ...hospital nk
Mwanzo nilijua una akili,
Sasa mkuu kwanin tusaidiwe? Kwani sisi ni vilema?
 
Kwa kipindi cha cha miaka mitatu USA ndio taifa lililotoa pesa nyingi hapa kwetu pesa hizo ndio zimejenga mahospitali, barabara mishahara na mambo mengine mengi.
Acha mizaha.
Unaihujumu srikal
 
WhatsApp
Google
Microsoft
HP, Dell
Boeng-Dreamliner
Visa Card, Mastercard
Ford ranger, Escalade, jeep
Pepsi, Coca-Cola, KFC, Pringles
Jack Daniels, Grants
Abbott Laboratories
John Deere
Amazon
Movies
Music
JBL
USA wako Juu.
 
Hizô ni hadithi na porojo tuu.

Hivi hao wamarekani wanawaogopa kiasi gani mpaka watumie indirect way kuwaangamiza?

Sera za Afya za kimataifa na kitaifa unazijua?

Kabla ya ukoloni na baadhi ya ukoloni life expectancy ya Tanzania na Africa Kwa ujumla imeongezeka au imeshuka?

Vifo vya wajawazito na Watoto wachanga Mpaka Umri wa Miaka mitano vimeongezeka au vimeshuka?

Ubora na Hali nzuri ya Maisha vimeongezeka au vimeshuka?

Au mnaongea mambo msiyoyaelewa?

Wabongo wengi wana uwezo mdogo sana wa kuelewa na kuchanganua mambo. utajisumbua bure tu mkuu.
 
Barabara ya kutoka Tanga kwenda Mombasa imejengwa kwa hisani ya watu wa Marekani.
Miradi ya kupiga vita kifua kikuu, ukimwi na malaria, ambao wataalamu wanafuka mpaka maporini huko kutoa huduma ni hisani ya Serikali ya Marekani kupitia shirika la usaid.
Basket Fund pia,ni pesa ambayo hupelekwa zahanati zote nchini,vituo vya afya vyote nchini,hospitali zote za wilaya na Rufaa.. hyo pesa anaye fund ni Mmarekani. Halafu majinga sijui yanaongea mambo gan
 
Back
Top Bottom