Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Yupo seriousUpo siliasi kwel na ili swali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo seriousUpo siliasi kwel na ili swali
Iran yeye katujengea misikiti mingi sanaNi kosa kumdharau U.S.A, IRAN, RUSSIA and CHINA kwa ushabiki maandazi.
Wote hao wanaogopana, wanaviziana na wanaheshimiana.
Imefanya nin cha kutisha kwa vitendo na kwa adui yupi hadi wew utumie ushabiki kuiona boraKatika vitu vinavyochekesha na kuuzunisha ni kuona kundi la watu fulani wakichukulia usa poa sana
Wengine kwa akili zao wanafikiri ni taifa dhaifu sana
Any way tuombe tu Mungu amani iwepo duniani
Anaona anavyo saidia kuwauwa wapalestina,wayemeni na walebanoni,na ilivyokuwa wafganiImefanya nin cha kutisha kwa vitendo na kwa adui yupi hadi wew utumie ushabiki kuiona bora
Adui dhaifu ndo kageuzwa hadidu ya rejeoAnaona anavyo saidia kuwauwa wapalestina,wayemeni na walebanoni,na ilivyokuwa wafgani
Hiyo ni mifumo yao ya kupata mali wao ...siyo fadhila tumia akili ungesema wametupatia matrekta au wamejenga hospital au mashule ningekuelewa ni sawa sawa na useme dola yake ni muhimu kwetu ...ndiyo ila umuhimu wa dola ni faida kwa USAyenyewe ndiyo maana tukitaka kuacha matumizi ya dola marekani watafura kumbuka mambo ya BRICS wewe unadhani USA anapenda....vitu vya marekani tulivyo navyo ni vile tu vyenye kumnufaisha yeye moja kwa moja ....kwa utajiri wa taifa la marekani ilitakiwa mambo mengi africa tuwe tumesahidiwa na usa 🇺🇸 kama ujenzi wa barabara ...miradi ya maji reli ...hospital nk
ni mtu wa ajabu asiyetambua USAID, it's wonderfulKatika vitu vinavyochekesha na kuuzunisha ni kuona kundi la watu fulani wakichukulia usa poa sana
Wengine kwa akili zao wanafikiri ni taifa dhaifu sana
Any way tuombe tu Mungu amani iwepo duniani
Naam naam mkuuDaaaah!Hata wewe?
Upo nje ya mada....Iran yeye katujengea misikiti mingi sana
Nkajua USA river chuga ,nkijua Kuna madini hukoKatika vitu vinavyochekesha na kuuzunisha ni kuona kundi la watu fulani wakichukulia usa poa sana
Wengine kwa akili zao wanafikiri ni taifa dhaifu sana
Any way tuombe tu Mungu amani iwepo duniani
Misaada yote unayopewa na WB nk ana mkono wake. Ikiwa bajeti yako inategemea taasisi anazozifadhili vp haja kuendeleza. Unataka aku PdidyUSA alina faida yoyote kwa dunia nitajie hata mita moja ya reli ambayo USA na utajiri wake wote kajenga africa au hospital moja tu ya maana ambayo kajenga ...nasikitika sana kuona wapumbavu mnashabikia taifa ambalo halina faida yoyote kwa africa na dunia ...pepesa macho yako hapo ulipo nitajie ni bidhaa gani za USA uponazo hapo ulipo au umeziona kwa macho labda simu ya iPhone tu tena kama unayo
Mwongezee Air jordan, Air force viatu
Microsoft
HP, Dell
Boeng-Dreamliner
Visa Card, Mastercard
Ford ranger, Escalade, jeep
Pepsi, Coca-Cola, KFC, Pringles
Jack Daniels, Grants
Abbott Laboratories
John Deere
Amazon
Movies
Music
JBL
100%Barabara ya kutoka Tanga kwenda Mombasa imejengwa kwa hisani ya watu wa Marekani.
Miradi ya kupiga vita kifua kikuu, ukimwi na malaria, ambao wataalamu wanafuka mpaka maporini huko kutoa huduma ni hisani ya Serikali ya Marekani kupitia shirika la usaid.
Hajui watoto wetu wanasomea ndani ya majengo ya wamarekani. Pia mkumbushe net za mbu pia kondom zinatolewa kwa pesa za hawa watuKwa kipindi cha cha miaka mitatu USA ndio taifa lililotoa pesa nyingi hapa kwetu pesa hizo ndio zimejenga mahospitali, barabara mishahara na mambo mengine mengi.
Acha mizaha.
Mwanzo nilijua una akili,Hiyo ni mifumo yao ya kupata mali wao ...siyo fadhila tumia akili ungesema wametupatia matrekta au wamejenga hospital au mashule ningekuelewa ni sawa sawa na useme dola yake ni muhimu kwetu ...ndiyo ila umuhimu wa dola ni faida kwa USAyenyewe ndiyo maana tukitaka kuacha matumizi ya dola marekani watafura kumbuka mambo ya BRICS wewe unadhani USA anapenda....vitu vya marekani tulivyo navyo ni vile tu vyenye kumnufaisha yeye moja kwa moja ....kwa utajiri wa taifa la marekani ilitakiwa mambo mengi africa tuwe tumesahidiwa na usa 🇺🇸 kama ujenzi wa barabara ...miradi ya maji reli ...hospital nk
US ndio maana halisi ya uchumi kwanzia mtu binafsi wa daraja la chini( mdada wa kazi za nyumbani) mpaka taifa kiujumla , ndio maana kila mtu duniani ana ndoto za kuishi US Bufa Nyani Ngabu .
Unaihujumu srikalKwa kipindi cha cha miaka mitatu USA ndio taifa lililotoa pesa nyingi hapa kwetu pesa hizo ndio zimejenga mahospitali, barabara mishahara na mambo mengine mengi.
Acha mizaha.
USA wako Juu.
Microsoft
HP, Dell
Boeng-Dreamliner
Visa Card, Mastercard
Ford ranger, Escalade, jeep
Pepsi, Coca-Cola, KFC, Pringles
Jack Daniels, Grants
Abbott Laboratories
John Deere
Amazon
Movies
Music
JBL
Hizô ni hadithi na porojo tuu.
Hivi hao wamarekani wanawaogopa kiasi gani mpaka watumie indirect way kuwaangamiza?
Sera za Afya za kimataifa na kitaifa unazijua?
Kabla ya ukoloni na baadhi ya ukoloni life expectancy ya Tanzania na Africa Kwa ujumla imeongezeka au imeshuka?
Vifo vya wajawazito na Watoto wachanga Mpaka Umri wa Miaka mitano vimeongezeka au vimeshuka?
Ubora na Hali nzuri ya Maisha vimeongezeka au vimeshuka?
Au mnaongea mambo msiyoyaelewa?
Basket Fund pia,ni pesa ambayo hupelekwa zahanati zote nchini,vituo vya afya vyote nchini,hospitali zote za wilaya na Rufaa.. hyo pesa anaye fund ni Mmarekani. Halafu majinga sijui yanaongea mambo ganBarabara ya kutoka Tanga kwenda Mombasa imejengwa kwa hisani ya watu wa Marekani.
Miradi ya kupiga vita kifua kikuu, ukimwi na malaria, ambao wataalamu wanafuka mpaka maporini huko kutoa huduma ni hisani ya Serikali ya Marekani kupitia shirika la usaid.