Kuna kundi la watu wanaumia wakisikia Tundu Lissu akielezea tukio lake la kupigwa risasi

Kwa hiyo asipofungua kesi anakuwa hakupigwa hizo risasi?

Kamanda Baro alivyopigwa risasi Mwanza,nani alifungua kesi?
Alishambuliwa sawaa, lakini iliupelekezi ufanyikeee, inatakiwa mhanga naye achukuliwe maelezo ilipolisi wapate pakuanzia, sasa jaama yenu kwa nini hajaenda kutoa naelezooo juuu ya tukio lake?
Anaogopa nini?
 
Hatuhitaji polisi wachunguze tukio lile baya na la kinyama, sababu aliyewatuma wale watu tunamjua. Polisi hawana uwezo wa kumuhoji
 


Mambo anayohubiri katika kampeni kimsingi ni haya:-

1---CV ya risasi (jaribio la kuuawa kwake) mauaji ya kiholela kutoka kwa watu wasiojulikana (interahamwe), mateso ya watu wasiokuwa na hati, dhuluma ya mali na pesa za watu na ubambikizaji wa kesi na vitisho nk, vitu ambavyo Watz hatukuzoea.

2----Madudu ya CCM hasa katika hii miaka 5.

3---Mwisho Chadema itafanya nini (ilani yake).
 
Ujinga ni mzigo. Hivi unajua ni nani ana haki ya kufungua kesi ya jinai?

Hizi elimu za kujua tu kusoma, kuandika na kuhesabu, ndiyo unaishia kuandika mambo kama haya. Elimu ya ufahamu hakuna. Hata hujui kuwa kesi zote za jinai ni DPP pekee ndiye mamlaka kisheria ya kufungua kesi, na muathirika anakuwa shahidi tu?

Halafu pia kama Lisu anaituhumu serikali, hujui kuwa ili uishtaki serikali ni lazima kwanza upate idhini ya kuishtaki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
du!
 
Alishambuliwa sawaa, lakini iliupelekezi ufanyikeee, inatakiwa mhanga naye achukuliwe maelezo ilipolisi wapate pakuanzia, sasa jaama yenu kwa nini hajaenda kutoa naelezooo juuu ya tukio lake?
Anaogopa nini?

Mtu ataendaje mwenyewe polisi kutoa maelezo???.
Polisi inatakiwa imuite kwasababu polisi wanajua tukio lililomkuta, na isitoshe polisi walisema wangemfuata kumuhoji kipindi kile alipokuwa hospitali ya Nairobi, ni kitu gani kiliwakataza wasiende???
 
Sasa kama unajua hiyo kesi ni DIDIPI
Kwa ni ni muhanga anakwepa kuchukuliwa maelezo ata kiduchu?
Uliambiwa hao DIDIPI wenyewe wanafanya kazi bilakuwa na maelezo kutoka kwenye chanzo?
Au DIDIPI nimalaika wa Mungu?
 
ccm sio watu kabisa wamempa Lissu kilema halafu wanataka asielezee, ana HAKI ya kuelezea muda wowote inapobidi.
 

Bila kumung'unya maneno. Watu hao wanaokereka mno ni hawa hapa: jiwe na vibaraka wake wakiwamo lb7 wote.

Hakuna mwenye busara anayeweza kukereka na hilo. Aliyemshambulia Lissu alipanga kumwua. Ikumbukwe alipanga pia hata mazishi yake. Hakuna siri wote walioratibu shambulizi lile ni waovu wasiomithilika.

Kwamba Lissu hakufa, ni pigo kubwa sana kwao bila ya kumsahau makondakta anayesemekana alikuwa Dodoma siku ya shambulio lile.
 
Mtoa made uko sahihi walio tumwa walishi dwa kufanya kazi kwa 100% kwani Mungu alizuia kwahiyo kila akielezea yule aliye watume anakuwa uncomfortable na roho inamsuta na walio tumwa anaonekana walifelisha boss wao,the better kwao hilo tukio lisahaulike likikumbushwa ni nightmare kwao na usalama wa kazi yao
 
Mahakama unafikiri itafanya kitu gani kipya wakati ipo chini ya watesi wa lissu?.kesi ya ngedere haipelekwi kwa nyani
 
Uchaguzi wa mwaka huu Ni mwepesi sana,tunaonesha vitu tulivyofanya dhidi ya maneno matupu!
 
Kwa mawazo yako na fikra zako Nchi hii kun mahakama gani inayotenda haki ? Nakupa mfano kesi ya wasimamizi wauchaguzi wanaoteuliwa na Rais tu itizame ilivokwenda?? Jee wazania kama kuna haki pale kina majaliwa na kina nape wangalipita bila kupigwa

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Alishambuliwa sawaa, lakini iliupelekezi ufanyikeee, inatakiwa mhanga naye achukuliwe maelezo ilipolisi wapate pakuanzia, sasa jaama yenu kwa nini hajaenda kutoa naelezooo juuu ya tukio lake?
Anaogopa nini?

Wangekufa (yeye na dereva wake)

UCHUNGUZI usingefanyika?

Mbona kuna MATUKIO ya Watu kuuawa na upelelezi hufanyika kisha washukiwa hukamatwa na baadaye huthibitika ndiyo WAHUSIKA wa mauwaji?

Hapo Polisi wanakwama wapi?

NI AIBU KUKAA MIAKA MHANGA AKITIBIWA BILA JUHUDI ZA KIPOLISI KUWAPATA WAHUSIKA KUFANYIKA.
 
Tena Makondakta ajichunge sana anaweza akauawa ili kupoteza ushahidi jinsi alivyopewa ruhusa kuratibu shambulio.
 
Naunga mkono hoja 100%...hakika jambo hili linawaumiza sana ma ccm maana majibu hawana, na linawaanika hadharani namna utawala awamu ya 5 ulivyo katili!.
 
Ata mimi naunga mkono, hilo swala litamuongezea kura nyingi sana za huruma,nakuwa rais wa JMT.
 
Alishambuliwa sawaa, lakini iliupelekezi ufanyikeee, inatakiwa mhanga naye achukuliwe maelezo ilipolisi wapate pakuanzia, sasa jaama yenu kwa nini hajaenda kutoa naelezooo juuu ya tukio lake?
Anaogopa nini?
hapo nani anatakiwa kumfuata nani?
Polisi wanatakiwa kwenda kumhoji mhanga au mhanga anatakiwa kumfuata polisi ili akahojiwe? (Kwa mujibu wa sheria yetu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…