Kiongozi mkuu2020
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 1,748
- 998
Alishambuliwa sawaa, lakini iliupelekezi ufanyikeee, inatakiwa mhanga naye achukuliwe maelezo ilipolisi wapate pakuanzia, sasa jaama yenu kwa nini hajaenda kutoa naelezooo juuu ya tukio lake?Kwa hiyo asipofungua kesi anakuwa hakupigwa hizo risasi?
Kamanda Baro alivyopigwa risasi Mwanza,nani alifungua kesi?
Anaogopa nini?