Kuna kundi la watu wanaumia wakisikia Tundu Lissu akielezea tukio lake la kupigwa risasi

Kuna kundi la watu wanaumia wakisikia Tundu Lissu akielezea tukio lake la kupigwa risasi

Kwa hiyo asipofungua kesi anakuwa hakupigwa hizo risasi?

Kamanda Baro alivyopigwa risasi Mwanza,nani alifungua kesi?
Alishambuliwa sawaa, lakini iliupelekezi ufanyikeee, inatakiwa mhanga naye achukuliwe maelezo ilipolisi wapate pakuanzia, sasa jaama yenu kwa nini hajaenda kutoa naelezooo juuu ya tukio lake?
Anaogopa nini?
 
Hatuhitaji polisi wachunguze tukio lile baya na la kinyama, sababu aliyewatuma wale watu tunamjua. Polisi hawana uwezo wa kumuhoji
 
Mie nafurahi sana kwa sababu linamtoa nje ya reli
Kutumia nguvu na muda mwingi kuzungumza risasi,linampunguzia lissu mvuto kwa wapiga kura
Watu wanataka kujua atawasaidia vipi kuleta maisha Bora,habari za risasi washazisikia sana
Lissu endelea baba na cd ya risasi

Mambo anayohubiri katika kampeni kimsingi ni haya:-

1---CV ya risasi (jaribio la kuuawa kwake) mauaji ya kiholela kutoka kwa watu wasiojulikana (interahamwe), mateso ya watu wasiokuwa na hati, dhuluma ya mali na pesa za watu na ubambikizaji wa kesi na vitisho nk, vitu ambavyo Watz hatukuzoea.

2----Madudu ya CCM hasa katika hii miaka 5.

3---Mwisho Chadema itafanya nini (ilani yake).
 
jaamaa yenu na vile anavyopenda kujua kila kitu, angekuwa hajashitaki wala kuripoti shambulio lake ata mahakama ya mtaaa ili uchunguzi ufanyike?
Kwa nini hajaenda mahakamani kufungua kesi? Iliuchunguzi ufanyike huku yeye akiwa ndo shuhuda wa kwanza???
Waende yeye na dereva wake wakaisaidie polisi upeleleziiii.
Ujinga ni mzigo. Hivi unajua ni nani ana haki ya kufungua kesi ya jinai?

Hizi elimu za kujua tu kusoma, kuandika na kuhesabu, ndiyo unaishia kuandika mambo kama haya. Elimu ya ufahamu hakuna. Hata hujui kuwa kesi zote za jinai ni DPP pekee ndiye mamlaka kisheria ya kufungua kesi, na muathirika anakuwa shahidi tu?

Halafu pia kama Lisu anaituhumu serikali, hujui kuwa ili uishtaki serikali ni lazima kwanza upate idhini ya kuishtaki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
du!
 
Alishambuliwa sawaa, lakini iliupelekezi ufanyikeee, inatakiwa mhanga naye achukuliwe maelezo ilipolisi wapate pakuanzia, sasa jaama yenu kwa nini hajaenda kutoa naelezooo juuu ya tukio lake?
Anaogopa nini?

Mtu ataendaje mwenyewe polisi kutoa maelezo???.
Polisi inatakiwa imuite kwasababu polisi wanajua tukio lililomkuta, na isitoshe polisi walisema wangemfuata kumuhoji kipindi kile alipokuwa hospitali ya Nairobi, ni kitu gani kiliwakataza wasiende???
 
Ujinga ni mzigo. Hivi unajua ni nani ana haki ya kufungua kesi ya jinai?

Hizi elimu za kujua tu kusoma, kuandika na kuhesabu, ndiyo unaishia kuandika mambo kama haya. Elimu ya ufahamu hakuna. Hata hujui kuwa kesi zote za jinai ni DPP pekee ndiye mamlaka kisheria ya kufungua kesi, na muathirika anakuwa shahidi tu?

Halafu pia kama Lisu anaituhumu serikali, hujui kuwa ili uishtaki serikali ni lazima kwanza upate idhini ya kuishtaki?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama unajua hiyo kesi ni DIDIPI
Kwa ni ni muhanga anakwepa kuchukuliwa maelezo ata kiduchu?
Uliambiwa hao DIDIPI wenyewe wanafanya kazi bilakuwa na maelezo kutoka kwenye chanzo?
Au DIDIPI nimalaika wa Mungu?
 
ccm sio watu kabisa wamempa Lissu kilema halafu wanataka asielezee, ana HAKI ya kuelezea muda wowote inapobidi.
 
Kama kichwa Cha habari kinavyo jieleza Kuna baadhi ya watu hawataki kabisa kusikia Lisu akielezea jinsi alivyo shambuliwa kwa risasa,najiuliza hawa watu siyo kile kikundi Cha wasio julikana wanakerwa kumuona jamaa yupo buheri na mwenye afya njema?

Mimi binafsi napenda kila anapokuwa jukwaani wakati wa kusalimiana na wananchi achomekee kidogo hali ilivyo kuwa na anamhisi nani aliye fanya hayo then aendelee kushuka nondo za kuomba kura na kuelezea ilani ya chama chake.

Kuna watu wanashauri kuwa Lisu akiwa jukwaani aache kabisa kuelezea hilo tukio kwamba watu wote wanajua yaliyo mpata,

Siyo kweli kuwa kila mtu anajua nini kilitokea.kufahamu kuwa Lisu alipigwa risasi hilo wamesikia lakini hawajui tukio nzima lilifanyikaje na nani mhusika,

Pia watu wingi hawajui au hawana habari au wamesahau kwa kuwa vyombo vya habari hawarushi habari za lisu kwa hiyo wananchi wanakosa kupata mkasa mzima wa tukio

Hivyo namshauri mh lisu akomalie hapo hapo kila akiwa jukwaani salamu zake iwe kuelezea hilo tukio la kushambuliwa,asisikilize hawa watu wasio julikana wanao kerwa na matamshi yake.

Wanajua nani anakuwa attacked pale Lisu anapokuwa anaelezea tukio la kushambuliwa kwake ndio maana wanashauri ajikite kuelezea sera,hiyo ni hofu tu Kama mlifikiri atakufa Mungu ni mwema alimkinga na mauti acheni asema.

Bila kumung'unya maneno. Watu hao wanaokereka mno ni hawa hapa: jiwe na vibaraka wake wakiwamo lb7 wote.

Hakuna mwenye busara anayeweza kukereka na hilo. Aliyemshambulia Lissu alipanga kumwua. Ikumbukwe alipanga pia hata mazishi yake. Hakuna siri wote walioratibu shambulizi lile ni waovu wasiomithilika.

Kwamba Lissu hakufa, ni pigo kubwa sana kwao bila ya kumsahau makondakta anayesemekana alikuwa Dodoma siku ya shambulio lile.
 
Mtoa made uko sahihi walio tumwa walishi dwa kufanya kazi kwa 100% kwani Mungu alizuia kwahiyo kila akielezea yule aliye watume anakuwa uncomfortable na roho inamsuta na walio tumwa anaonekana walifelisha boss wao,the better kwao hilo tukio lisahaulike likikumbushwa ni nightmare kwao na usalama wa kazi yao
 
jaamaa yenu na vile anavyopenda kujua kila kitu, angekuwa hajashitaki wala kuripoti shambulio lake ata mahakama ya mtaaa ili uchunguzi ufanyike?
Kwa nini hajaenda mahakamani kufungua kesi? Iliuchunguzi ufanyike huku yeye akiwa ndo shuhuda wa kwanza???
Waende yeye na dereva wake wakaisaidie polisi upeleleziiii.
Mahakama unafikiri itafanya kitu gani kipya wakati ipo chini ya watesi wa lissu?.kesi ya ngedere haipelekwi kwa nyani
 
Mbona na nyie kila suku nyimbo ni zilezile:-

Mara oooo, Standard gauge Railway, mara oooo Bwawa la nyerere mara oooo fly overs mara oooo meli, madarasa, hospitali na mabarabara--- kama kwamba ni nyie pekee mliojenga vitu hivyo kwa miaka yenu hii 5, wengine wote tangu mkoloni hadi Jakaya kikwete hawakufanya kitu.

Mbaya zaidi utazani pesa za kufayia mambo hayo "tunayoringishiwa nayo" huyo "Bwana mkubwa" anatoa mfukoni mwake na sio kutoka hazina ya umma.

Watu wanataka Uhuru, haki, maisha bora na RAHISI na mwisho maendeleo ya vitu. Maisha kitaani yamekuwa magumu mno kwasababu Bwana huyo aliapa "Jero" itaitwa mia tano, na kweli huku kitaa jero imekuwa 500.
Uchaguzi wa mwaka huu Ni mwepesi sana,tunaonesha vitu tulivyofanya dhidi ya maneno matupu!
 
jaamaa yenu na vile anavyopenda kujua kila kitu, angekuwa hajashitaki wala kuripoti shambulio lake ata mahakama ya mtaaa ili uchunguzi ufanyike?
Kwa nini hajaenda mahakamani kufungua kesi? Iliuchunguzi ufanyike huku yeye akiwa ndo shuhuda wa kwanza???
Waende yeye na dereva wake wakaisaidie polisi upeleleziiii.
Kwa mawazo yako na fikra zako Nchi hii kun mahakama gani inayotenda haki ? Nakupa mfano kesi ya wasimamizi wauchaguzi wanaoteuliwa na Rais tu itizame ilivokwenda?? Jee wazania kama kuna haki pale kina majaliwa na kina nape wangalipita bila kupigwa

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Alishambuliwa sawaa, lakini iliupelekezi ufanyikeee, inatakiwa mhanga naye achukuliwe maelezo ilipolisi wapate pakuanzia, sasa jaama yenu kwa nini hajaenda kutoa naelezooo juuu ya tukio lake?
Anaogopa nini?

Wangekufa (yeye na dereva wake)

UCHUNGUZI usingefanyika?

Mbona kuna MATUKIO ya Watu kuuawa na upelelezi hufanyika kisha washukiwa hukamatwa na baadaye huthibitika ndiyo WAHUSIKA wa mauwaji?

Hapo Polisi wanakwama wapi?

NI AIBU KUKAA MIAKA MHANGA AKITIBIWA BILA JUHUDI ZA KIPOLISI KUWAPATA WAHUSIKA KUFANYIKA.
 
Tena Makondakta ajichunge sana anaweza akauawa ili kupoteza ushahidi jinsi alivyopewa ruhusa kuratibu shambulio.
 
Naunga mkono hoja 100%...hakika jambo hili linawaumiza sana ma ccm maana majibu hawana, na linawaanika hadharani namna utawala awamu ya 5 ulivyo katili!.
 
Ata mimi naunga mkono, hilo swala litamuongezea kura nyingi sana za huruma,nakuwa rais wa JMT.
 
Alishambuliwa sawaa, lakini iliupelekezi ufanyikeee, inatakiwa mhanga naye achukuliwe maelezo ilipolisi wapate pakuanzia, sasa jaama yenu kwa nini hajaenda kutoa naelezooo juuu ya tukio lake?
Anaogopa nini?
hapo nani anatakiwa kumfuata nani?
Polisi wanatakiwa kwenda kumhoji mhanga au mhanga anatakiwa kumfuata polisi ili akahojiwe? (Kwa mujibu wa sheria yetu)
 
Back
Top Bottom