Kuna kundi la watu wanaumia wakisikia Tundu Lissu akielezea tukio lake la kupigwa risasi

Kuna kundi la watu wanaumia wakisikia Tundu Lissu akielezea tukio lake la kupigwa risasi

Yaani hao uliowataja waache kazi za maana waanze kum bembeleza mtu aliyekataa kutoa ushirikiano, mbona chura mmoja tu angeweza kupata jibu la uhakika
Una akili finyu sana kwenye maswala ya ulinzi na usalama na majukumu ya vyombo hivyo particularily. Au vinginevyo mahaba yamekuzidi mpaka unajitoa katika hali ya ubinadamu kamili na kuwa reptile human.
 
Kwa hiyo asipofungua kesi anakuwa hakupigwa hizo risasi?

Kamanda Baro alivyopigwa risasi Mwanza,nani alifungua kesi?
Nitajie Marehemu wawili au hata mmoja aliyewahi kufungua kesi. Wewe ni GT wa JF? hongera sana
 
Una akili finyu sana kwenye maswala ya ulinzi na usalama na majukumu ya vyombo hivyo particularily. Au vinginevyo mahaba yamekuzidi mpaka unajitoa katika hali ya ubinadamu kamili na kuwa reptile human.
Sio finyu sina kabisa, Una jingine?
 
Mimi ambaye sina chama sijaumia uumie wewe mwenye chama chako? Utakuwa na walakini
Uko free kusema uyafikiriayo ila ni bora useme yenye mantiki kuliko yaliyojaa yenye kudhihirisha upumbavu wako.
 
Sio finyu sina kabisa, Una jingine?
Asante kwa kukiri hilo, kumbe tunajaribu kujenga hoja na mtu wa design yako?
Nilidhani utasaidika kumbe unaukumbatia huo usina. Haya siku njema
 
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza Kuna baadhi ya watu hawataki kabisa kusikia Lissu akielezea jinsi alivyo shambuliwa kwa risasa,najiuliza hawa watu siyo kile kikundi cha wasiojulikana wanakerwa kumuona jamaa yupo buheri na mwenye afya njema?

Mimi binafsi napenda kila anapokuwa jukwaani wakati wa kusalimiana na wananchi achomekee kidogo hali ilivyo kuwa na anamhisi nani aliye fanya hayo then aendelee kushuka nondo za kuomba kura na kuelezea ilani ya chama chake.

Kuna watu wanashauri kuwa Lissu akiwa jukwaani aache kabisa kuelezea hilo tukio kwamba watu wote wanajua yaliyo mpata,

Siyo kweli kuwa kila mtu anajua nini kilitokea. kufahamu kuwa Lissu alipigwa risasi hilo wamesikia lakini hawajui tukio nzima lilifanyikaje na nani mhusika.

Pia watu wingi hawajui au hawana habari au wamesahau kwa kuwa vyombo vya habari hawarushi habari za Lissu kwa hiyo wananchi wanakosa kupata mkasa mzima wa tukio

Hivyo namshauri mh lisu akomalie hapo hapo kila akiwa jukwaani salamu zake iwe kuelezea hilo tukio la kushambuliwa,asisikilize hawa watu wasio julikana wanao kerwa na matamshi yake.

Wanajua nani anakuwa attacked pale Lissu anapokuwa anaelezea tukio la kushambuliwa kwake ndio maana wanashauri ajikite kuelezea sera, hiyo ni hofu tu Kama mlifikiri atakufa Mungu ni mwema alimkinga na mauti acheni asema.
Magufuli anaongoza hilo kundi la wenye chuki isiyo kifani.
 
Katika hao kuna anayejutia alichokifanya maana Mungu hadhihakiwi. Dhambi hii itamtafuna yeye na vizazi vyake. Hakuna wakati unaodumu duniani wala dunia haina pepo.
 
Acha kujitoa akili kama vile utaratibu wa maswala ya ulinzi wa raia na mali zao unatakaje tukio la kihalifu au la kishambulizi linapotokea. Ni kazi ya polisi kujua na kuwakamata walioshiriki katika tukio hilo, kuwafanya wasiojulika wajulikane. Silaha zilizotumika ni za kivita, silaha ambazo haruhusiwi raia kumiliki zaidi ya vyombo vya ulinzi na usalama. Tukio limetokea na likaripotiwa kituo kikuu cha polisi mkoa Dodoma bado unasema mshambuliwa aende akaripoti? Is this sound mind proposing or?

Chuki hazisaidii zaidi ya kubomoa, sisi wote ni watanzania hatujazoea hulka za kushambuliana kwa risasi kweupe kisa siasa.
Ana uhuru wa kuongea popote asimamapo iwe jukwaani (ana kibari hiko maana ni presidential nominee) au mahali popote pale.

Kama ni njia yake ya kutafuta public sympathy kwenye kinyang'anyiro hiki sawa, that's his strategy towards his counterparts.
Wakujilaumu ni hao waliopanga mauaji yake alafu mission failed. Je, hamkujipanga kama ikishindikana mkabiliane nae vipi?

Let him hit the floor.
Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia. Lakini polisi watafanya uchunguzi bila ya kupata chanzo cha tukio kwa mashuhuda wa ajaliii?
Wahanga wapo, hivyo niwajibu wa hao wahanga wakashirikiana na polisi iliuchunguzi ufanyike kiuelediii.
Kwani shida iko wapiiii??
Na kwa nini wahanga hawafuatiliii wala kudai mwisho wa uchunguzi ulipofikia??
 
Umaongea point sana mkuu,wa upande ule hakuna atakaye kujibu kwa logic zaidi ya mimatusi
Mbona alienda kuripoti kwa afanda mruto wa dodoma akaambiwa watamtaarifu siku rasmi ya kukutana au wewe tv na ccm yako unaangali kwa nyuma hupati taarifa?
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia. Lakini polisi watafanya uchunguzi bila ya kupata chanzo cha tukio kwa mashuhuda wa ajaliii?
Wahanga wapo, hivyo niwajibu wa hao wahanga wakashirikiana na polisi iliuchunguzi ufanyike kiuelediii.
Kwani shida iko wapiiii??
Na kwa nini wahanga hawafuatiliii wala kudai mwisho wa uchunguzi ulipofikia??
Sawa twende kwa hoja sasa;
Ni miaka mingapi imeshapita tangia tukio litokee?
Je polisi kutokana na mafunzo yao ya investigation and forensic wanauwezo wa kuwapata washiriki wa tukio hilo bila uwepo wa shuhuda ama mhusika au wanao?
Je baada ya Tundu Lissu kupata fahamu hakuwahi kuwaita polisi waende wakamhoji hospitali wakati yupo Nairobi? Je polisi walienda?
Aliporudi nchini alisema wazi polisi wakimhitaji ye yupo 24/7 je walishamhitaji?
Alipoenda kuguata gari lake pale central polisi Dodoma wakumbuka aliambiwa nini na RPC wa Dodoma?
Mkuu tuuweke uchama pembeni tuangalie facts na tukubaliane tu bila kurumbana.
Yote yaliyotokea kuanzia kushambuliwa kwake;
Kukatazwa na onyo kutolewa kwa wabunge wataokwenda kumtembelea,
Kuzuiliwa kwa mkusanyiko wa maombi ya kumuombea,
Kamatakamata ya wote waliokuwa wanavaa fulana zenye maandishi ya kumtakia afya njema,
Kunyimwa pesa za matibabu
Kuvuliwa ubunge bila kufuata sheria na katiba za jamhuri wa Tz
Tuanzie hapo bila hiyana. Hayo kichwani mwako yanakupa tafsiri gani?
THE RULE OF INVESTIGATION WORLDWIDE IS TO CONNECT THE DOTS AND COME UP WITH SOMETHING
 
Nimeshawafukuza humu namapropaganda yao.
Hivi wanaoongelea na kuchambua hili tukio la kishambuliwa kwa Lissu ni wanapropaganda?!😁
Unamjua mwanapropaganda?
Je wewe ni nani unayetetea uhalali wa shambulio lile?
Nilidhani umejipanga kuweka hoja zenye kuelezea hali halisi na si kwasababu ya mahaba.
Sio wote wanaoongelea hili jambo either ni wanachama wa Chadema au ni wafuasi wa Lissu bali ni watanzania ambao hawajategemea mtanzania mwenzao kushambuliwa kwa risasi kisa siasa tena mchana kweupe, kwenye eneo lenye ulinzi wa vyombo vya dola masaa 24, lenye serveillence cameras kila kona, eneo la viongozi wa mhimili wa bunge la jamhuri wa muungano wa tanzania.
Hivi kama mtu anashambuliwa eneo kama lile, inakuwaje huku mtaani?
Sishangai kutekwa kwa Mohamed Dewji na figisu za polisi😂😂
Watanzania hatuko salama kwa mustadha huu
 
Mie nafurahi sana kwa sababu linamtoa nje ya reli

Kutumia nguvu na muda mwingi kuzungumza risasi,linampunguzia lissu mvuto kwa wapiga kura.

Watu wanataka kujua atawasaidia vipi kuleta maisha Bora,habari za risasi washazisikia sana.

Lissu endelea baba na cd ya risasi
Pia ni kawaida ya binadamu kupenda visa na mikasa. Simulizi huvutia watu wengi.
Kisa kinaamsha hisia na kumfanya mtu afikiri zadi. Kisa kina fundisho. Hata vitabu vitakatifu kuna visa vingi vinatufundisha.
Kitu kimoja tu, kama kinamgusa mtu kama mtenda au mkosaji, huyo mtu hatapenda kukisikiliza. Mfano, mchawi hatapenda kusikiliza mahubiri kuhusu ubaya wa wachawi.
Hitimisho kidokezo cha tukio la Lissu ni muhimu ila asiyependa ni yule asiyempenda au aliyehusika!

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Sawa twende kwa hoja sasa;
Ni miaka mingapi imeshapita tangia tukio litokee?
Je polisi kutokana na mafunzo yao ya investigation and forensic wanauwezo wa kuwapata washiriki wa tukio hilo bila uwepo wa shuhuda ama mhusika au wanao?
Je baada ya Tundu Lissu kupata fahamu hakuwahi kuwaita polisi waende wakamhoji hospitali wakati yupo Nairobi? Je polisi walienda?
Aliporudi nchini alisema wazi polisi wakimhitaji ye yupo 24/7 je walishamhitaji?
Alipoenda kuguata gari lake pale central polisi Dodoma wakumbuka aliambiwa nini na RPC wa Dodoma?
Mkuu tuuweke uchama pembeni tuangalie facts na tukubaliane tu bila kurumbana.
Yote yaliyotokea kuanzia kushambuliwa kwake;
Kukatazwa na onyo kutolewa kwa wabunge wataokwenda kumtembelea,
Kuzuiliwa kwa mkusanyiko wa maombi ya kumuombea,
Kamatakamata ya wote waliokuwa wanavaa fulana zenye maandishi ya kumtakia afya njema,
Kunyimwa pesa za matibabu
Kuvuliwa ubunge bila kufuata sheria na katiba za jamhuri wa Tz
Tuanzie hapo bila hiyana. Hayo kichwani mwako yanakupa tafsiri gani?
THE RULE OF INVESTIGATION WORLDWIDE IS TO CONNECT THE DOTS AND COME UP WITH SOMETHING
Si jamaaa yenu alitimukia ugaibuni?
Sasa baada ya kurudiii si aende polisi kuomba uchunguzi uendelee??
Anaogopa nini?
Shaidi wa kwanza wa tukio lolote ni muhangaaa, mwambieni aende mahakamani au polisi atoe nalezo ya shambulio lake ili mabo yawe mazuriiiii
 
Hivi wanaoongelea na kuchambua hili tukio la kishambuliwa kwa Lissu ni wanapropaganda?!😁
Unamjua mwanapropaganda?
Je wewe ni nani unayetetea uhalali wa shambulio lile?
Nilidhani umejipanga kuweka hoja zenye kuelezea hali halisi na si kwasababu ya mahaba.
Sio wote wanaoongelea hili jambo either ni wanachama wa Chadema au ni wafuasi wa Lissu bali ni watanzania ambao hawajategemea mtanzania mwenzao kushambuliwa kwa risasi kisa siasa tena mchana kweupe, kwenye eneo lenye ulinzi wa vyombo vya dola masaa 24, lenye serveillence cameras kila kona, eneo la viongozi wa mhimili wa bunge la jamhuri wa muungano wa tanzania.
Hivi kama mtu anashambuliwa eneo kama lile, inakuwaje huku mtaani?
Sishangai kutekwa kwa Mohamed Dewji na figisu za polisi😂😂
Watanzania hatuko salama kwa mustadha huu
Hatakama angeshambuliwa kituo cha polisi na kwa neema ya Mungu akapona?
Kwa vyote vile muhanga hawezi kosa maelezo atakiduchu ya kuelezea juuu ya shambulio lake kwa vyombo vya dolaaa
Kwa nini jamaa yenu anaogopa kutoa ushirikiano na polisi juuu tukio lake?
Hakuna mtanzania wakufurahia tukio like, ila kama hatakilishugulikiwe lazima tusimweleweee kabisaaaaa.
 
Si jamaaa yenu alitimukia ugaibuni?
Sasa baada ya kurudiii si aende polisi kuomba uchunguzi uendelee??
Anaogopa nini?
Shaidi wa kwanza wa tukio lolote ni muhangaaa, mwambieni aende mahakamani au polisi atoe nalezo ya shambulio lake ili mabo yawe mazuriiiii
Hujui kuwa alienda kwa afande mruto RPC wa dodoma week iliyopita nadhani ilikuwa Alhamis akajing'atang'ata.
 
Hatakama angeshambuliwa kituo cha polisi na kwa neema ya Mungu akapona?
Kwa vyote vile muhanga hawezi kosa maelezo atakiduchu ya kuelezea juuu ya shambulio lake kwa vyombo vya dolaaa
Kwa nini jamaa yenu anaogopa kutoa ushirikiano na polisi juuu tukio lake?
Hakuna mtanzania wakufurahia tukio like, ila kama hatakilishugulikiwe lazima tusimweleweee kabisaaaaa.
Alienda Alhamis ya week iliyopita kwa RPC mruto
 
Si jamaaa yenu alitimukia ugaibuni?
Sasa baada ya kurudiii si aende polisi kuomba uchunguzi uendelee??
Anaogopa nini?
Shaidi wa kwanza wa tukio lolote ni muhangaaa, mwambieni aende mahakamani au polisi atoe nalezo ya shambulio lake ili mabo yawe mazuriiiii
Hivi unasoma haya macjangizo au unakomenti tu yaleyale hata ukijibiwa? Mbona unauliza vitu ambavyo vimeshatolewa majibu? Kwa aina hii tutafikia tamati kweli?!
 
Hatakama angeshambuliwa kituo cha polisi na kwa neema ya Mungu akapona?
Kwa vyote vile muhanga hawezi kosa maelezo atakiduchu ya kuelezea juuu ya shambulio lake kwa vyombo vya dolaaa
Kwa nini jamaa yenu anaogopa kutoa ushirikiano na polisi juuu tukio lake?
Hakuna mtanzania wakufurahia tukio like, ila kama hatakilishugulikiwe lazima tusimweleweee kabisaaaaa.
Uandishi wako unabeba ujumbe wa masikhala. Ni kama vile hapa tunapoteza muda, I thought We're constructing something legible here.
Kama ndio ukada wenyewe ndio huu bhasi Tanzania ni yakuiombea sana mageuzi ya kifikra na kielimu.
 
Back
Top Bottom