Kuna kundi la watu wanaumia wakisikia Tundu Lissu akielezea tukio lake la kupigwa risasi

Kuna kundi la watu wanaumia wakisikia Tundu Lissu akielezea tukio lake la kupigwa risasi

Mbona alipovuliwa ubunge mbona hakufanya hivyo, badala yake alienda mbio mahakamaniiii??

Anaogopa nini, kwenda kuriport shambulio lakeeee???

..kwenye tukio la kushambuliwa sheria haimruhusu kwenda mahakamani.

..wanaotakiwa na sheria kuchunguza, kukamata, na kushtaki, ni jeshi la polisi.

..kwenye suala la kufukuzwa ubunge sheria inamruhusu kwenda mahakamani na ndio maana alifanya hivyo.

..tukio lile linajulikana na Polisi hivyo basi TL halazimika kwenda kuripoti kuwa alishambuliwa.

..Hata IGP alisema ametuma wapelelezi toka Dsm kwenda Dodoma kuchunguza tukio la TL kushambuliwa maana yake ni kwamba jeshi la Polisi wanazo taarifa.

NB:

..siku moja kabla ya kuanza kampeni TL alikwenda makao makuu ya Polisi Dodoma kuchukua gari lake ambalo bado linashikiliwa na jeshi hilo.

..habari kwamba TL anaogopa au anawakwepa Polisi ni madai ya kipuuzi.

..
 
Polisi wataaanzia wapiiii nawakati muhanga hataki kuchukuliwa maelezo ata kiduchuuu.
Muhanga kwakuwa alipona yeye na dereva wake, wanatakiwa kuwabega kwa bega na polisi. Na hili suala huenda lingekua jepesi zaidiiii.

Kama wahanga wangekufa, hapa ingekua kazi ngumu zaidiiii.
Lakini wahanga wapooo kwani ni wamekaaa kimyaa atakwenda polisi kuuulizia kinachoendelea???

Au mnataka polisi wawapelekee majibu manyumbani kwao?
 
Kiongozi mkuu2020 ,

..siku aliyoshambuliwa TL walinzi wa area D walikuwa wameondolewa.

..kwa hiyo Polisi walitakiwa wamhoji mhusika aliyeondoa walinzi, ili kubaini nani alimtuma kufanya hivyo na kwa malengo gani.

..labda BUNGE lingeweza kuunda kamati ya uchunguzi kufuatilia nini kilitokea.

..RAISI pia angeweza kuunda Tume ya Uchunguzi, kama ile ya Jaji Kipenka, iliyochunguza mauaji yaliyofanywa na maaskari polisi.

..Mhanga hana uwezo wa kililazimisha jeshi la polisi kuchunguza jinai/ugaidi aliotendewa.
 
..kwenye tukio la kushambuliwa sheria haimruhusu kwenda mahakamani.

..wanaotakiwa na sheria kuchunguza, kukamata, na kushtaki, ni jeshi la polisi.

..kwenye suala la kufukuzwa ubunge sheria inamruhusu kwenda mahakamani na ndio maana alifanya hivyo.

..tukio lile linajulikana na Polisi hivyo basi TL halazimika kwenda kuripoti kuwa alishambuliwa.

..Hata IGP alisema ametuma wapelelezi toka Dsm kwenda Dodoma kuchunguza tukio la TL kushambuliwa maana yake ni kwamba jeshi la Polisi wanazo taarifa.

NB:

..siku moja kabla ya kuanza kampeni TL alikwenda makao makuu ya Polisi Dodoma kuchukua gari lake ambalo bado linashikiliwa na jeshi hilo.

..habari kwamba TL anaogopa au anawakwepa Polisi ni madai ya kipuuzi.

..
Siku ile alopoenda polisi dodomaa alifuata gari na hapo ndo muone hayamambooo, yaaaniii badala ya kufuatilia suala la kushambuliwa aliona gari linasamani zaidi ya tukio kuuuu.
Kwanini tusijiulize kwa nini alifuatilia gari kuliko kuulizia kipi kinaendelea juuu ya tukio lakeee?
 
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza Kuna baadhi ya watu hawataki kabisa kusikia Lissu akielezea jinsi alivyo shambuliwa kwa risasa,najiuliza hawa watu siyo kile kikundi cha wasiojulikana wanakerwa kumuona jamaa yupo buheri na mwenye afya njema?

Mimi binafsi napenda kila anapokuwa jukwaani wakati wa kusalimiana na wananchi achomekee kidogo hali ilivyo kuwa na anamhisi nani aliye fanya hayo then aendelee kushuka nondo za kuomba kura na kuelezea ilani ya chama chake.

Kuna watu wanashauri kuwa Lissu akiwa jukwaani aache kabisa kuelezea hilo tukio kwamba watu wote wanajua yaliyo mpata,

Siyo kweli kuwa kila mtu anajua nini kilitokea. kufahamu kuwa Lissu alipigwa risasi hilo wamesikia lakini hawajui tukio nzima lilifanyikaje na nani mhusika.

Pia watu wingi hawajui au hawana habari au wamesahau kwa kuwa vyombo vya habari hawarushi habari za Lissu kwa hiyo wananchi wanakosa kupata mkasa mzima wa tukio

Hivyo namshauri Lissu akomalie hapo hapo kila akiwa jukwaani salamu zake iwe kuelezea hilo tukio la kushambuliwa,asisikilize hawa watu wasio julikana wanao kerwa na matamshi yake.

Wanajua nani anakuwa attacked pale Lissu anapokuwa anaelezea tukio la kushambuliwa kwake ndio maana wanashauri ajikite kuelezea sera, hiyo ni hofu tu Kama mlifikiri atakufa Mungu ni mwema alimkinga na mauti acheni asema.
The good thing is mlengwa huwa anajiingiza kwenye 18 za Lissu
Lissu akimjibu automatic watu wanaelewa who was behind the failed assassination attemp...
Umeaona ya Ikungi na Shinyanga
 
Siku ile alopoenda polisi dodomaa alifuata gari na hapo ndo muone hayamambooo, yaaaniii badala ya kufuatilia suala la kushambuliwa aliona gari linasamani zaidi ya tukio kuuuu.
Kwanini tusijiulize kwa nini alifuatilia gari kuliko kuulizia kipi kinaendelea juuu ya tukio lakeee?
Anajua aliye mpiga risasa ni mkuluu na hayupo wa kumhoji mkuluuu polisi katika hilo hawana Cha kufanya na hawana majibu.
 
Upo kiazi tuendelee?
Kiazi mama yako koma kabisa naona unanitafuta, umetukana nimenyamaza sasa naona unataka nikushushie sibishani na watoto wasiofundwa kwao, ishia hapo hapo, asiyekujibu kakupuuza
 
Siku ile alopoenda polisi dodomaa alifuata gari na hapo ndo muone hayamambooo, yaaaniii badala ya kufuatilia suala la kushambuliwa aliona gari linasamani zaidi ya tukio kuuuu.
Kwanini tusijiulize kwa nini alifuatilia gari kuliko kuulizia kipi kinaendelea juuu ya tukio lakeee?

..unasahau kwamba Polisi walisema wanamtafuta TL lakini hawampati.

..sasa kama amefika mpaka kwa RPC Dodoma nini kiliwazuia kumhoji?

..Hili suala wanaozembea ni Polisi wetu. Wao walitakiwa waanze na wahusika waliondoa walinzi wa area D tarehe 7 Sept 2017.

..jambo lingine ambalo ningependa kukumbusha ni tukio la kuuwawa kwa wafanyabiashara wa madini wa Morogoro ktk msitu wa Mabwepande.

..taarifa ya kwanza iliyotolewa na Polisi ilidai kwamba watu hao walikuwa majambazi na waliuawa ktk mapigano na Polisi.

..ndugu walilalamika kwamba marehemu wao walikuwa wafanyabiashara na sio majambazi.

..hali hiyo ilipelekea RAISI Jakaya Kikwete kuunda TUME YA UCHUNGUZI ambayo iliongozwa na JAJI MUSA KIPENKA.

..kilichokuja kugundulika ni kwamba marehemu hawakuwa majambazi, na kwamba marehemu waliuawa kikatili na askari wa jeshi la Polisi.

..mimi nadhani kuna kitu ambacho kinafichwa ktk suala hili, hivyo ni afadhali iundwe Tume ya Uchunguzi itakayoongozwa na Jaji anayeheshimika kama Jaji Mkuu Mohamed Othman Chande, Jaji Mkuu Barnabas Samata, Jaji Kiongozi Amiri Manento.

cc Nguruvi3
 
Inamaaana jamaaa yenu si kwamba alifuata gari kumbe ilikua kiki ya kujipeleka polisi?

Jee yeye alijaribu hata kuuulizia juu ya kipi kinaendelea ku fuatilia upelelezi wa tukio lake?

Au nayeye karidhika??

..Polisi ndio wanaochelewesha uchunguzi.

..walisingizia TL yuko nje ya nchi, sasa amerudi nchini.

..walisingizia kwamba TL hapatikana, sasa amefika mpaka kwa RPC Dodoma.

..sijui safari hii watakuja na kisingizio gani kingine.

..Ushauri wangu ni kuundwe Tume ya Uchunguzi itakayoongozwa na Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania.
 
Kwa nini haendi polisi kuhoji kwa kucheleweshewa uchunguzi
Kamaliwezakufuatilia gari, iweje ashindwe kufuatilia mwenendo wa upelelezi juuu ya tukiio lake??
 
Kwa nini haendi polisi kuhoji kwa kucheleweshewa uchunguzi
Kamaliwezakufuatilia gari, iweje ashindwe kufuatilia mwenendo wa upelelezi juuu ya tukiio lake??

..TL alifika kituo cha Polisi kwa RPC wa Dodoma.

..sasa ilikuwa ni jukumu la Polisi kumhoji, lakini hawakufanya hivyo.

..ndiyo maana nasema yale madai ya Polisi kwamba TL amekimbia upelelezi, au hapatikana, yalikuwa ni visingizio tu.
 
Polisi wanamamsikiliza mtu kulingana na shida yake.
Yeye alifuata gari hivyo aliona gari ni bora zaidi ya kufuatilia mstakabali wa tukio lake kuuu.
 
Polisi wanamamsikiliza mtu kulingana na shida yake.
Yeye alifuata gari hivyo aliona gari ni bora zaidi ya kufuatilia mstakabali wa tukio lake kuuu.

..Polisi walisema wanamtafuta TL lakini hawampati.

..sasa TL alivyojipeleka mwenyewe kwa RPC wa Dodoma walitakiwa wamfanyie mahojiano.

..kutokumhoji TL ni mbinu ya kuwalinda wahusika waliomshambulia.
 
Hao policcm ndio watuhumiwa namba moja wanatumiwa na ccm kuuwa raia.

ccm mmechagua mtu mshamba na mjinga, asiye na uvumilivu wa kisiasa, mropokaji na dikteta kuwa mwenyekiti wenu
Ninyi wenyewe ni victims wa ukatili wa magufli kwa asilimia kubwa sana.
Sasa polisi wataanzia wapi nawakati nuhanga hataki ata kwenda kuripoti tukio lake ata kwa sungusungu?

Kila wakinwita jaamaa aende polisi wamchukue maelezo jaamaa yenu mzeee wa kiki anaingia nitini, anaogopa nini?

Kwakua Mungu alimponesha kifo jamaa yenu, akaenda kutibiwa na akarudi na amepona ilikuwa ni yeye na dereva wake basi walau wakatoe atamaelezo kiduchu polisi, ilituone kama polisi watapuuuzia kufuatilia tukio hilo, ndo watanzania tungekuwa na la kuwa laumu polisi.

Lakini jamaa yenu amiishia kulaum laum tuuu bila kuchukua hatua yoyote ilee.

Mbona walipomvua ubunge alienda mbio mahakamani kufungua kesi ya kuzuia kuvuliwa ubunge, iweje shambulio lile baya na lakutisha aogope kwenda kuripoti polisi?

Tupeni majibu kwanza.
 
HATA MAGUFULI ALISHAWAHIPEWA SUMU KUANAGUKA NA NDEGE LAKINI HASEMI KILA UCHAO TL KUTWANGWA SHABA NI AJALI KAMA ZILIVYO AJALI ZINGINE HIVYO HAIWEZI KUWA MTAJI WA KUOMBEA KURA HATA ANGEKWENDA ANAVUJA DAMU BADO ASINGECHAGULIWA TU.
Unavyoongea huku umebinua kichuguu utadhani upo mombassa
 
..Polisi walisema wanamtafuta TL lakini hawampati.

..sasa TL alivyojipeleka mwenyewe kwa RPC wa Dodoma walitakiwa wamfanyie mahojiano.

..kutokumhoji TL ni mbinu ya kuwalinda wahusika waliomshambulia.
Kwani polisi wanamtafuta kwakuwa yeye ni mhalifu?
Jamaa yenu siomhalifu hata kidogo,
Yeye ndo alitakiwaa baada ya kwenda polisi aulizie utaratibu na mwenendo wa upeleleziii, kwani yeye ndo mlalamikajiiii.
Sasa kwa nini anakaaa kimya namna hiyoo??
 
..hivi hujamsikia kila mahali ndani na nje ya nchi akipiga makelele kwamba uchunguzi haufanyika?

..IGP Sirro ndio amekuwa akitoa kauli kana kwamba TL na dereva wake ni wahalifu, na siyo wahanga.

..kwa mfano, IGP Sirro alidai polisi "wanamtafuta lakini wameshindwa kumpata TL."

..sasa baada ya IGP kutoa kauli hiyo, siku chache baadae, TL alijipeleka mwenyewe kwa RPC wa Dodoma, lakini cha kushangaza polisi hawakumhoji.

..lakini hivi inaingia akilini kwamba ITV kipindi cha dakika 45 wanaweza kumpata na kumhoji TL, lakini jeshi la Polisi limeshindwa kumpata na kufanya naye mahojiano?
 
Back
Top Bottom