Sasa kama polisi wamekaa kimya yeye amechukua hatua gani?
..hana hatua anazoweza kuchukua zaidi ya kulalamika ndani na nje ya nchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama polisi wamekaa kimya yeye amechukua hatua gani?
Mbona alipovuliwa ubunge mbona hakufanya hivyo, badala yake alienda mbio mahakamaniiii??..hana hatua anazoweza kuchukua zaidi ya kulalamika ndani na nje ya nchi.
Mbona alipovuliwa ubunge mbona hakufanya hivyo, badala yake alienda mbio mahakamaniiii??
Anaogopa nini, kwenda kuriport shambulio lakeeee???
Polisi wataaanzia wapiiii nawakati muhanga hataki kuchukuliwa maelezo ata kiduchuuu...kwenye tukio la kushambuliwa sheria haimruhusu kwenda mahakamani.
..wanaotakiwa na sheria kuchunguza, kukamata, na kushtaki, ni jeshi la polisi.
..kwenye suala la kufukuzwa ubunge sheria inamruhusu kwenda mahakamani na ndio maana alifanya hivyo.
..tukio lile linajulikana na Polisi hivyo basi TL halazimika kwenda kuripoti kuwa alishambuliwa.
..Hata IGP alisema ametuma wapelelezi toka Dsm kwenda Dodoma kuchunguza tukio la TL kushambuliwa maana yake ni kwamba jeshi la Polisi wanazo taarifa.
NB:
..siku moja kabla ya kuanza kampeni TL alikwenda makao makuu ya Polisi Dodoma kuchukua gari lake ambalo bado linashikiliwa na jeshi hilo.
..habari kwamba TL anaogopa au anawakwepa Polisi ni madai ya kipuuzi.
..
Siku ile alopoenda polisi dodomaa alifuata gari na hapo ndo muone hayamambooo, yaaaniii badala ya kufuatilia suala la kushambuliwa aliona gari linasamani zaidi ya tukio kuuuu...kwenye tukio la kushambuliwa sheria haimruhusu kwenda mahakamani.
..wanaotakiwa na sheria kuchunguza, kukamata, na kushtaki, ni jeshi la polisi.
..kwenye suala la kufukuzwa ubunge sheria inamruhusu kwenda mahakamani na ndio maana alifanya hivyo.
..tukio lile linajulikana na Polisi hivyo basi TL halazimika kwenda kuripoti kuwa alishambuliwa.
..Hata IGP alisema ametuma wapelelezi toka Dsm kwenda Dodoma kuchunguza tukio la TL kushambuliwa maana yake ni kwamba jeshi la Polisi wanazo taarifa.
NB:
..siku moja kabla ya kuanza kampeni TL alikwenda makao makuu ya Polisi Dodoma kuchukua gari lake ambalo bado linashikiliwa na jeshi hilo.
..habari kwamba TL anaogopa au anawakwepa Polisi ni madai ya kipuuzi.
..
The good thing is mlengwa huwa anajiingiza kwenye 18 za LissuKama kichwa cha habari kinavyo jieleza Kuna baadhi ya watu hawataki kabisa kusikia Lissu akielezea jinsi alivyo shambuliwa kwa risasa,najiuliza hawa watu siyo kile kikundi cha wasiojulikana wanakerwa kumuona jamaa yupo buheri na mwenye afya njema?
Mimi binafsi napenda kila anapokuwa jukwaani wakati wa kusalimiana na wananchi achomekee kidogo hali ilivyo kuwa na anamhisi nani aliye fanya hayo then aendelee kushuka nondo za kuomba kura na kuelezea ilani ya chama chake.
Kuna watu wanashauri kuwa Lissu akiwa jukwaani aache kabisa kuelezea hilo tukio kwamba watu wote wanajua yaliyo mpata,
Siyo kweli kuwa kila mtu anajua nini kilitokea. kufahamu kuwa Lissu alipigwa risasi hilo wamesikia lakini hawajui tukio nzima lilifanyikaje na nani mhusika.
Pia watu wingi hawajui au hawana habari au wamesahau kwa kuwa vyombo vya habari hawarushi habari za Lissu kwa hiyo wananchi wanakosa kupata mkasa mzima wa tukio
Hivyo namshauri Lissu akomalie hapo hapo kila akiwa jukwaani salamu zake iwe kuelezea hilo tukio la kushambuliwa,asisikilize hawa watu wasio julikana wanao kerwa na matamshi yake.
Wanajua nani anakuwa attacked pale Lissu anapokuwa anaelezea tukio la kushambuliwa kwake ndio maana wanashauri ajikite kuelezea sera, hiyo ni hofu tu Kama mlifikiri atakufa Mungu ni mwema alimkinga na mauti acheni asema.
Unajitoa ufahamu kuwa hujui kaz za cctv camera?acha undeziKwahyo hiyo CCTV camera ndo wahanga wa tukio?
Anajua aliye mpiga risasa ni mkuluu na hayupo wa kumhoji mkuluuu polisi katika hilo hawana Cha kufanya na hawana majibu.Siku ile alopoenda polisi dodomaa alifuata gari na hapo ndo muone hayamambooo, yaaaniii badala ya kufuatilia suala la kushambuliwa aliona gari linasamani zaidi ya tukio kuuuu.
Kwanini tusijiulize kwa nini alifuatilia gari kuliko kuulizia kipi kinaendelea juuu ya tukio lakeee?
Kiazi mama yako koma kabisa naona unanitafuta, umetukana nimenyamaza sasa naona unataka nikushushie sibishani na watoto wasiofundwa kwao, ishia hapo hapo, asiyekujibu kakupuuzaUpo kiazi tuendelee?
Siku ile alopoenda polisi dodomaa alifuata gari na hapo ndo muone hayamambooo, yaaaniii badala ya kufuatilia suala la kushambuliwa aliona gari linasamani zaidi ya tukio kuuuu.
Kwanini tusijiulize kwa nini alifuatilia gari kuliko kuulizia kipi kinaendelea juuu ya tukio lakeee?
Inamaaana jamaaa yenu si kwamba alifuata gari kumbe ilikua kiki ya kujipeleka polisi?
Jee yeye alijaribu hata kuuulizia juu ya kipi kinaendelea ku fuatilia upelelezi wa tukio lake?
Au nayeye karidhika??
Kwa nini haendi polisi kuhoji kwa kucheleweshewa uchunguzi..Polisi ndio wanaochelewesha uchunguzi.
..walisingizia TL yuko nje ya nchi, sasa amerudi nchini.
..walisingizia kwamba TL hapatikana, sasa amefika mpaka kwa RPC Dodoma.
..sijui safari hii watakuja na kisingizio gani kingine.
..Ushauri wangu ni kuundwe Tume ya Uchunguzi itakayoongozwa na Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania.
Kwa nini haendi polisi kuhoji kwa kucheleweshewa uchunguzi
Kamaliwezakufuatilia gari, iweje ashindwe kufuatilia mwenendo wa upelelezi juuu ya tukiio lake??
Polisi wanamamsikiliza mtu kulingana na shida yake...TL alifika kituo cha Polisi kwa RPC wa Dodoma.
..sasa ilikuwa ni jukumu la Polisi kumhoji, lakini hawakufanya hivyo.
..ndiyo maana nasema yale madai ya Polisi kwamba TL amekimbia upelelezi, au hapatikana, yalikuwa ni visingizio tu.
Polisi wanamamsikiliza mtu kulingana na shida yake.
Yeye alifuata gari hivyo aliona gari ni bora zaidi ya kufuatilia mstakabali wa tukio lake kuuu.
Sasa polisi wataanzia wapi nawakati nuhanga hataki ata kwenda kuripoti tukio lake ata kwa sungusungu?
Kila wakinwita jaamaa aende polisi wamchukue maelezo jaamaa yenu mzeee wa kiki anaingia nitini, anaogopa nini?
Kwakua Mungu alimponesha kifo jamaa yenu, akaenda kutibiwa na akarudi na amepona ilikuwa ni yeye na dereva wake basi walau wakatoe atamaelezo kiduchu polisi, ilituone kama polisi watapuuuzia kufuatilia tukio hilo, ndo watanzania tungekuwa na la kuwa laumu polisi.
Lakini jamaa yenu amiishia kulaum laum tuuu bila kuchukua hatua yoyote ilee.
Mbona walipomvua ubunge alienda mbio mahakamani kufungua kesi ya kuzuia kuvuliwa ubunge, iweje shambulio lile baya na lakutisha aogope kwenda kuripoti polisi?
Tupeni majibu kwanza.
Unavyoongea huku umebinua kichuguu utadhani upo mombassaHATA MAGUFULI ALISHAWAHIPEWA SUMU KUANAGUKA NA NDEGE LAKINI HASEMI KILA UCHAO TL KUTWANGWA SHABA NI AJALI KAMA ZILIVYO AJALI ZINGINE HIVYO HAIWEZI KUWA MTAJI WA KUOMBEA KURA HATA ANGEKWENDA ANAVUJA DAMU BADO ASINGECHAGULIWA TU.
Kwani polisi wanamtafuta kwakuwa yeye ni mhalifu?..Polisi walisema wanamtafuta TL lakini hawampati.
..sasa TL alivyojipeleka mwenyewe kwa RPC wa Dodoma walitakiwa wamfanyie mahojiano.
..kutokumhoji TL ni mbinu ya kuwalinda wahusika waliomshambulia.
Kwani polisi wanamtafuta kwakuwa yeye ni mhalifu?
Jamaa yenu siomhalifu hata kidogo,
Yeye ndo alitakiwaa baada ya kwenda polisi aulizie utaratibu na mwenendo wa upeleleziii, kwani yeye ndo mlalamikajiiii.
Sasa kwa nini anakaaa kimya namna hiyoo??