Kuna kundi la watu wanaumia wakisikia Tundu Lissu akielezea tukio lake la kupigwa risasi

..hivi hujamsikia kila mahali ndani na nje ya nchi akipiga makelele kwamba uchunguzi haufanyika?

..IGP Sirro ndio amekuwa akitoa kauli kana kwamba TL na dereva wake ni wahalifu, na siyo wahanga.

..kwa mfano, IGP Sirro alidai polisi "wanamtafuta lakini wameshindwa kumpata TL."

..sasa baada ya IGP kutoa kauli hiyo, siku chache baadae, TL alijipeleka mwenyewe kwa RPC wa Dodoma, lakini cha kushangaza polisi hawakumhoji.

..lakini hivi inaingia akilini kwamba ITV kipindi cha dakika 45 wanaweza kumpata na kumhoji TL, lakini jeshi la Polisi limeshindwa kumpata na kufanya naye mahojiano?
Amelipoti wapiiii??
Polisi wataaanzia wapiiii, alienda kulia lia kwa mabeberu ile ndo alikua anaripoti polisi?
 
..kama ITV wameweza kumpata TL na wakamhoji, basi Polisi hawashindwi kufanya hivyo.

..Na TL alijipeleka mwenyewe mpaka kwa RPC wa Dodoma, sasa Polisi wana kisingizio gani kingine?
 
ITV ni polisi pale?
Aende sasa kuhojiwa na polisi.
Kwanini anapaogopa?
 
..kama ITV wameweza kumpata TL na wakamhoji, basi Polisi hawashindwi kufanya hivyo.

..Na TL alijipeleka mwenyewe mpaka kwa RPC wa Dodoma, sasa Polisi wana kisingizio gani kingine?
Kwani jamaa yenu, nimharifu mpaka RPC amkamateee?
Yeye mhanga ndo anatakiwa kufuatilia mwenendio wa uchunguzi wa tukio lakee.
Sasa yeye alifuata gariii tuuu.
 
..hata kama TL alifuata gari hiyo haiwezi kuwazuia polisi kumhoji.

..na gari aliyoifuata si sehemu ya ushahidi wa ugaidi aliotendewa?

..huwezi kuizungumzia ile gari bila kuzungumzia tukio la kushambuliwa kwa TL.

..kama ITV wameweza kumpata na kumhoji TL, haiingii akilini polisi washindwe kumhoji.
 
Kwani kati ya polisi na jamaa yenu nani mwenye shiidaa??
Mwenyeshida ni jamaa yenu, alipaswa kukuuliziaa, ifahamike kuwa kama mwenye shida asipoifuatilia mahakaamani au polisi, huwa shida ile inafifia au inakosa nguvu.

Jamaa yenu anaogopa nini kuulizia au kutoa malalamiko akiitaka polisi impe mrjesho.
Sio hizo porojo za kulialia mitandaoniii.
Afike mwenyeweee. Ahojiweeee.
 
..uchunguzi unatakiwa ufanyike bila kujalisha kwamba mhanga wa tukio yupo, au la.

..TL ameshaulizia suala hili mara nyingi. Vyombo vya habari vimeulizia. Chama chake na taasisi nyingine nyingi wameuliza.

..hakuna anayeogopa. TL angekuwa muoga asingerudi nchini wakati waliotaka kumuua hawajakamatwa.

..Baada ya TL kufika kituoni na Polisi kutokumhoji, sasa tumeelewa kwamba wanaokwamisha uchunguzi ni Polisi.

..Kama ITV wameweza kumpata TL na kumhoji, haiingii akilini Polisi washindwe kumhoji TL.
 
Muhanga akiwepo, yeye ndomlalamikaji, na yeye chanzo cha habari chatukio zima ila jamaa yenu kwanini hataki iwehivo, angekufa hapo ndo ingekuwa ngumu, lakini jamaa yenu yupo, anakwama wapiii??
Hiii kiki imeshabumaaaa
 
..hapana.

..wanaoshitaki ni Jamhuri/Polisi.

..Polisi ndiyo wanapaswa kueleza wanakwama wapi.

..Kwanza waeleze ni nani aliondoa walinzi wa area D siku aliyoshambuliwa TL.

..Pili waeleze ni kwanini TL alifika mpaka kwa RPC wa Dodoma na hakuhojiwa.
 
Jamuri washitaki kwa nani kwani wao ndo waliopigwaaa???
Hayamazingaombwe yenu yatabuma.
Mhanga anakwepa nini kushirikiana na vyombo vya Dora?
Hiii kiki imeshabumaa
 
Jaamaa yenu na vile anavyopenda kujua kila kitu, angekuwa hajashitaki wala kuripoti shambulio lake ata mahakama ya mtaaa ili uchunguzi ufanyike?

Kwa nini hajaenda mahakamani kufungua kesi? Iliuchunguzi ufanyike huku yeye akiwa ndo shuhuda wa kwanza?

Waende yeye na dereva wake wakaisaidie polisi upeleleziiii.
Rubbish for the dustbin.
 
Jamuri washitaki kwa nani kwani wao ndo waliopigwaaa???
Hayamazingaombwe yenu yatabuma.
Mhanga anakwepa nini kushirikiana na vyombo vya Dora?
Hiii kiki imeshabumaa

..Tatizo lako hufahamu sheria, na kibaya hujui kwamba hufahamu.

..Kwa matukio ya jinai kama jaribio la mauaji Jamhuri/Polisi ndiyo hupeleka mashtaka mahakamani.

..Kama ITV wameweza kumhoji TL kwa zaidi ya saa moja, haiingii akilini kwa jeshi la Polisi kushindwa kumhoji TL.
 
Mwambie jamaa yenu alipoti polisi.
Aache kiki
 
Hilo tukio ni la kushambuliwa, na kwa neema ya Mungu mashuda wapo.

Hatakama ujambazi umefanyika kwa mtu flani na akawa amebahatika kupona, lazima mtendewa kwenda kutoa maelezo polisi juuu ya tukio lililompata, kinachochukuliwa na polisi ni maelezo ya mhanga tu, halafu shuguli za upelekezi ndo zinaanzia hapoo.

Kwanini jamaa yenu hataki hilo kulifanya?
Una akili kweli wewe? Hivi unajua maana ya jinai ya silaha?
 
..kama ITV wameweza kumpata TL na wakamhoji, basi Polisi hawashindwi kufanya hivyo.

..Na TL alijipeleka mwenyewe mpaka kwa RPC wa Dodoma, sasa Polisi wana kisingizio gani kingine?
Alikwenda kuulizia gari yake hakwenda kuripoti tukio lake la kupigwa risasi sikua akiwa tayari kupeleka taarifa atapokelewa lakini kwa bahati mbaya TL anataka VIP TREATMENT anapokuwa kituoni hapo ndiyo taabu inapokuja kuwapangia utaratibu unaotaka wakuhudumie itachukua muda kutekeleza.
 
HATA KAMA UNAFOKA UTARATIBU NDIYO HUO MLALAMIKAJI LAZIMA AKAFUNGUE KESI POLISI WACHUNGUZE NA KUKAMATA WAHALIFU

..sasa angekuwa amekufa ina maana kusingekuwa na mlalamikaji, na kusingekuwa na uchunguzi?

..Utaratibu ktk tukio jaribio la mauaji kama hili ni Polisi kufungua jalada, kufanya uchunguzi, kukamata watuhumiwa, kuandaa mashtaka, na kuwafikisha watuhumiwa mahakamani.
 
SHAHIDI NAMBA MOJA NI VICTIM MWENYEWE KWA BAHATI NZURI SANA TL HAKUFA HIVYO ANAYO NAFASI NZURI SANA YA KUWASAIDIA POLISI KUCHUNGUZA HATIMAYE KUWAKAMATA WATU WALIOMSHAMBULIA KINYUME CHA SASA AMBAPO AMEKUWA NI MTU WA MEDIA TU BADALA YA KUFUATA UTARATIBU YEYE AMEBAKI KUTUKANA NA KULAUMU POLISI HAWAFANYI KAZI UNATEGEMEA HAPO POLISI WATAFANYA NINI WAKATI TAYARI AMESHAWAHUKUMU?
 
..nadhani Polisi ndio wanaopiga danadana ktk suala hili.

..katika hili tuwabane Polisi wafanye kazi yao bila kujivuta-vuta.

..magaidi waliomshambulia TL wasipokamatwa wanaweza kushambulia Mtanzania mwingine.

..tusichukulie poa suala hili. pia tusifikiri kwamba linamhusu TL peke yake.
 
Back
Top Bottom