Kiongozi mkuu2020
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 1,748
- 998
Amelipoti wapiiii??..hivi hujamsikia kila mahali ndani na nje ya nchi akipiga makelele kwamba uchunguzi haufanyika?
..IGP Sirro ndio amekuwa akitoa kauli kana kwamba TL na dereva wake ni wahalifu, na siyo wahanga.
..kwa mfano, IGP Sirro alidai polisi "wanamtafuta lakini wameshindwa kumpata TL."
..sasa baada ya IGP kutoa kauli hiyo, siku chache baadae, TL alijipeleka mwenyewe kwa RPC wa Dodoma, lakini cha kushangaza polisi hawakumhoji.
..lakini hivi inaingia akilini kwamba ITV kipindi cha dakika 45 wanaweza kumpata na kumhoji TL, lakini jeshi la Polisi limeshindwa kumpata na kufanya naye mahojiano?
Polisi wataaanzia wapiiii, alienda kulia lia kwa mabeberu ile ndo alikua anaripoti polisi?