Kuna limbukeni mmoja anatamka huko bodaboda sio kazi

Kuna limbukeni mmoja anatamka huko bodaboda sio kazi

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Hawa ni bodaboda katika nchi iliyoendelea (first class country). Ulimbukeni ni janga kubwa sana!

Sisis bodaboda tunakwambia Lema tuombe radhi, tutaichukia CHADEMA mazima usipotuomba radhi.

IMG_20230308_070422_406.jpg
 
Hawa ni bodaboda katika nchi iliyoendelea (first class country)
Ulimbukeni ni janga kubwa sana!
SISI BODA BODA TUNAKUAMBIA LEMA TUOMBE RADHI, TUTAICHUKIA CHADEMA MAZIMA USIPOTUOMBA RADHI. View attachment 2541263
CCM tumshukuru Lema kwa kutusaidia kazi 2025. Sasa hivi kaongezeka Lisu pia kusapoti ujinga wa Lema
 
Serikali ipunguze kodi kwenye vyombo vya usafiri watu wapunguze kutumia hizo hospital watumie magari hata ya bei nafuu maana huko sokoni magari yana bei nzuri tuu...watu wakitaka kutoa huduma ya usafiri watumie hata Toyota Quantum nzuri au Nissan za kisasa Nchi inatangaza utalii huku huduma ya usafiri bado ni mbovu hizo school bus za Wanafunzi nazo ni balaa kila kukicha wanaongeza kupaka rangi yao ya nyumba ile ya njano zionekane kung'aa...
 
Kama wewe ukimtazama kijana wako unatamani siku moja afanye kazi ya Bodaboda, basi Lema ni mjinga.
Kila mtu angetamani kijana wake awe doctor and the same likes, lakini ni wachache wenye uwezo tu wa kumfikisha mtoto hapo!, so ulitaka hawa wengine wafanye nini? hasa mijini? (heri waendelee kujipatia riziki huku serekali ikiangalia namna nyingine bora zaidi ya kuwawezesha)
 
Hawa ni bodaboda katika nchi iliyoendelea (first class country)
Ulimbukeni ni janga kubwa sana!
SISI BODA BODA TUNAKUAMBIA LEMA TUOMBE RADHI, TUTAICHUKIA CHADEMA MAZIMA USIPOTUOMBA RADHI. View attachment 2541263

Shida ni kwamba upinzani umeishiwa hoja ndio maana wanaropoka halafu wanajifanya kupaka rangi hoja zao mufilis
 
Back
Top Bottom