kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Kuna mtu maisha yake yanaendeshwa kwa bodaboda, usimkatishe tamaa na hizo kauli za kihuni. Heshimuni kazi za watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu maisha yake yanaendeshwa kwa bodaboda, usimkatishe tamaa na hizo kauli za kihuni. Heshimuni kazi za watu.
Unafikiri wanafanya kazi kama mazingira ya kwenu huku
Nao wao wenyewe maisha yao yako kwenye risk dailyHalafu boda boda waliowengi ni wezi
Daaah! Ha ha ha ha haUna macho? Na je unajua kusoma? Au umetolewa ubongo!
Hatari sana CCM mmepewa points 3 za bure na hawa viongozi malimbukeni wa Chadema wasio na ufahamu na dunia kwa upana.CCM tumshukuru Lema kwa kutusaidia kazi 2025. Sasa hivi kaongezeka Lisu pia kusapoti ujinga wa Lema
Hii sentence ina kulenga wewe, je umewahi fika China au Vietnam ?Uwezo wako wa kufikiri upo chini sana.
Wanatumia ndege ?Hao ni tour guide
Wameacha uboda boda, kazi gani wafanye ?Endesha wewe bodaboda na watoto wako wote
Upumbavu unawasumbua nyie watoto wa vigogo wanakula mema ya nchi huku wakiwaambia watu eti bodaboda ni Ajira. Fucking mind
Nini maana ya kazi ?Ccm mnatapatapa Sana jiwe gizani.
Bodaboda na machinga sio kazi ni kuchezea nguvukazi za wapiga kura wenu.
Nini maana ya umasikini ?Kama ni Ulaya ni itakuwa Ni ulaya mashariki ambayo umasikini wake umeletwa na mfumo wa kijamaa. Kwenye ubepari hakuna umasikini, japo wapo masikini wa kujitakia mfano mateja, mashoga, vibaka au wagonjwa wa akili na ulemavu.
Ulitaka wafanye kazi gani ?Sasa tofauti ya ulichoandika hapa na anachohubiri Lema ni nini? Hivi unajua watanzania mna tatizo kubwa sana katika uelewa?
Hakuna Mzazi, kaka wala dada anayetamani Kijana wake awe Bodaboda, watu wanaumia kuona watoto wao wanaendesha bodaboda, sasa kama hii sio laana aliyosema Lema ni nini?
Dunia nzima kuna classes, kama hilo hulitambui utakuwa binadamu wa hovyo kabisa.Kama wewe ukimtazama kijana wako unatamani siku moja afanye kazi ya Bodaboda, basi Lema ni mjinga.
Ni nini ? Na nini maana ya kazi ?#Boda boda sio kazi
Wewe future yako ni ipi ?mleta hoja nikuhakikishie, hakuna future yoyote ya mwendesha bodaboda Tz ktk kusonga mbele kimaisha zaidi ya kukidhi mlo wa siku tu.
Ni hayawani kama wewe ambae anaweza kuona hii ni kazi kwa kuwa hujawahi kufanya japo utafiti kidogo
Bora ungekaa kimya kuficha upumbavu wako
Nyie na Turkey mna fanana uchumi na class ?Kampeleke mwanao asomee udereva wa Bodaboda. Hii picha ni nchi zenye dhiki kama yetu - Uturuki
Uhuru gani unataka wapewe ambao wameukosa ?Kama kazi mbona hamuwapi uhuru
Bodaboda hawana tofauti na wafanyabiashara wa magendo tu
Ova
Ulitaka wafanye kazi gani ?Suala sio bodaboda kuwapo China,marekani ama wapi. Hoja kwasasa je bodaboda inafaa kuwa ajira kwa hapa Tanzania kiasi kwamba tuisifie na kuwatumainisha vijana kwamba kazi hiyo ni bora
Kwahali ilivyo sasa hata waliokosa ajira serikalini kufanya boda maana yake nikwamba wamekosa kile walichokikosa
Je tofauti ya boda na machinga katika kipato ni nini? Ukiachana na kile wanachoita kufukuza upepo au kutembea kwa mguu hawa wote nisawatu.
Bodaboda sio kazi ya kumshawishi mtu aendelee kuifanya. Wacheni kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa vijana hao