Kuna limbukeni mmoja anatamka huko bodaboda sio kazi

Kuna limbukeni mmoja anatamka huko bodaboda sio kazi

Hawa ni bodaboda katika nchi iliyoendelea (first class country)
Ulimbukeni ni janga kubwa sana!
SISI BODA BODA TUNAKUAMBIA LEMA TUOMBE RADHI, TUTAICHUKIA CHADEMA MAZIMA USIPOTUOMBA RADHI. View attachment 2541263
Kama ni Ulaya ni itakuwa Ni ulaya mashariki ambayo umasikini wake umeletwa na mfumo wa kijamaa. Kwenye ubepari hakuna umasikini, japo wapo masikini wa kujitakia mfano mateja, mashoga, vibaka au wagonjwa wa akili na ulemavu.
 
Kama ni Ulaya ni itakuwa Ni ulaya mashariki ambayo umasikini wake umeletwa na mfumo wa kijamaa.
Kwenye ubepari hakuna umasikini,japo wapo masikini wa kujitakia mfano mateja, mashoga,vibaka,au wagonjwa wa akili na ulemavu.
Showmax US boda boda wapo, mkuu!
 
CCM ndio akili zao nchi Gani haitumii jembe!? Hata kwenye bustani!? Kwahiyo Sasa mnategemea kura Kwa boda boda!?
Wachina hawavai kanzu na kofia(za kiislamu),lakini viwanda vya kanzu na kofia viko China,na wauzaji wa kanzu na kofia,reja reja wapo Tanzania nzima.
 
Endesha wewe bodaboda na watoto wako wote

Upumbavu unawasumbua nyie watoto wa vigogo wanakula mema ya nchi huku wakiwaambia watu eti bodaboda ni Ajira. Fucking mind
Wewe ni DR HAYA LAND, sio wote wanaoweza kuachieve level yako ya udoctor wako, we differ, tusiwadharau hawa wanaoshindwa kufikia level fulani kwa sababu mbalimbali.
 
Kila mtu angetamani kijana wake awe doctor and the same likes, lakini ni wachache wenye uwezo tu wa kumfikisha mtoto hapo!, so ulitaka hawa wengine wafanye nini? hasa mijini? (heri waendelee kujipatia riziki huku serekali ikiangalia namna nyingine bora zaidi ya kuwawezesha)
Sasa tofauti ya ulichoandika hapa na anachohubiri Lema ni nini? Hivi unajua watanzania mna tatizo kubwa sana katika uelewa?

Hakuna Mzazi, kaka wala dada anayetamani Kijana wake awe Bodaboda, watu wanaumia kuona watoto wao wanaendesha bodaboda, sasa kama hii sio laana aliyosema Lema ni nini?
 
Sasa tofauti ya ulichoandika hapa na anachohubiri Lema ni nini? Hivi unajua watanzania mna tatizo kubwa sana katika uelewa?

Hakuna Mzazi, kaka wala dada anayetamani Kijana wake awe Bodaboda, watu wanaumia kuona watoto wao wanaendesha bodaboda, sasa kama hii sio laana aliyosema Lema ni nini?
Temporary job while waiting or looking for opportunity it's better than being Idle!, but it's a job as others Job!
 
Je wewe ni boda boda?
Au utasomesha mwanao aje kuwa boda boda?
 
Temporary job while waiting or looking for opportunity it's better than being Idle!, but it's a job as others Job!
Mkuu,hapa umebadili lugha tu lakini umerudia kusema kitu kile kile alichosema Lema. Falsafa za Lema ameiita hii ni kazi ya laana kwa kuwa imezalisha vilema wengi na makaburi mengi sana.

Bodaboda wamekuwa wengi sana kwasababu serikali imeshindwa kutengeneza ajira. Kwa hiki ulichoandika hapa, wewe ulipaswa kuwa unaungana na Lema na sio kumzodoa au kumkosoa Lema.

Tatizo kubwa zaidi kwa watanzania ni UELEWA!
 
mleta hoja nikuhakikishie, hakuna future yoyote ya mwendesha bodaboda Tz ktk kusonga mbele kimaisha zaidi ya kukidhi mlo wa siku tu.
Ni hayawani kama wewe ambae anaweza kuona hii ni kazi kwa kuwa hujawahi kufanya japo utafiti kidogo
Bora ungekaa kimya kuficha upumbavu wako
 
Hawa ni bodaboda katika nchi iliyoendelea (first class country). Ulimbukeni ni janga kubwa sana!

SISI BODA BODA TUNAKUAMBIA LEMA TUOMBE RADHI, TUTAICHUKIA CHADEMA MAZIMA USIPOTUOMBA RADHI.


We jamaa sometimes unazingua sana

Bodaboda wa tanzania ni laana, sio kazi

Sio kila kazi inayokupa riziki ya kwenda chooni basi ni kazi,

Zingine mtu anafanya Tu Kwa sababu ya shida
 
Back
Top Bottom