Kuna limbukeni mmoja anatamka huko bodaboda sio kazi

Kuna limbukeni mmoja anatamka huko bodaboda sio kazi

Kw

An kuna mzazi akimtazama mwanae anapenda aje kuwa mwalimu
Unaweza kusoma uhasibu na ukakosa ajira ukaamua kujiajiri kama mwalimu wa shule?
Kama huupendi ualimu ni wewe, wapo watu hiyo ni kazi ya ndoto yao.
 
Kwani wewe unaipenda kazi hiyo? Unajivunia kuwa boda?

Kwahiyo hoja ni kuipenda au kutoipenda. Sasa kuna watu ni walimu ila hawaipendi hiyo kazi kama wangepata nafasi basi wangefanya kazi nyingine kwahiyo tusseme nayo ni kazi ya laana?
 
Hivi umewahi kutamani uje kuwa mwendesha nidaboda? Watu huwa wanatamani waje kuwa wanasiasa wakubwa, wafanya biashara mashuhuri, madaktari, injinia,wanasheriaz wahasibu n.k, ila sijawahi ona mtu anatamani au anadream kuja kuwa bodaboda au machinga anetembeza vyombo barabarani, hayo ni matokeo ya maisha tu kwa hiyo Lema hawasemi bali anajaribu kuiamsha serikali ijikite kwenye kuwekeza kwa vijana na ajira ili kuepuka madhila ya ubodaboda
 
Kwahiyo hoja ni kuipenda au kutoipenda. Sasa kuna watu ni walimu ila hawaipendi hiyo kazi kama wangepata nafasi basi wangefanya kazi nyingine kwahiyo tusseme nayo ni kazi ya laana?
Kwani ualimu unatia tb,unafukuzana na polisi?
 
Attachments

  • Screenshot_20230328-124923.png
    Screenshot_20230328-124923.png
    429.4 KB · Views: 1
  • Screenshot_20230328-124958.png
    Screenshot_20230328-124958.png
    193.3 KB · Views: 1
Back
Top Bottom