Kuna limbukeni mmoja anatamka huko bodaboda sio kazi

Kuna limbukeni mmoja anatamka huko bodaboda sio kazi

Hiyo ndio kazi ya bodaboda na sio kubeba abiria Hapa Tz 99% bodaboda zinatumika kubeba abiria .
Nchi nilizotembea bodaboda zinatumika na vijana wa Amazon ku deliver mzigo utakao agiza online au ukiagiza chakula mfano kulikuwa tunaagiza piza DK 15 nyingi boda kashakuletea na waharuhusiwi kamwe kubeba mtu
Kwa hiyo fahamu kazi ya boda boda sio moja.
 
Kwa hiyo fahamu kazi ya boda boda sio moja.
Tunaongelea hawa bodaboda wetu ambao kwao ni ajira ya kubeba watu .
Kuna nchi pikipiki ni Kwa ajili ya recreational.
Kama weekend unaonaga watoto wa matajiri na bodaboda zao just for fun
 
Tunaongelea hawa bodaboda wetu ambao kwao ni ajira ya kubeba watu .
Kuna nchi pikipiki ni Kwa ajili ya recreational.
Kama weekend unaonaga watoto wa matajiri na bodaboda zao just for fun
Pia boda boda wa Tanzania wana beba mizigo.
 
Hiyo ndio kazi ya bodaboda na sio kubeba abiria Hapa Tz 99% bodaboda zinatumika kubeba abiria .
Nchi nilizotembea bodaboda zinatumika na vijana wa Amazon ku deliver mzigo utakao agiza online au ukiagiza chakula mfano kulikuwa tunaagiza piza DK 15 nyingi boda kashakuletea na waharuhusiwi kamwe kubeba mtu
Bodaboda China zipo. Labda kama mnaongelea China ya Mars au Jupiter.
 
Attachments

  • Screenshot_2023-03-08-16-37-04-10.png
    Screenshot_2023-03-08-16-37-04-10.png
    39.3 KB · Views: 1
Hawa ni bodaboda katika nchi iliyoendelea (first class country). Ulimbukeni ni janga kubwa sana!

SISI BODA BODA TUNAKUAMBIA LEMA TUOMBE RADHI, TUTAICHUKIA CHADEMA MAZIMA USIPOTUOMBA RADHI.

Kuna Tatizo la uelewa boda boda sio kazi

Ni vigumu kumpambania na kumgombania mtu asie jielewa.....
Akiambiwa ukwel atasema ametukanwa....
Ukimkalipia atasema unamsengenya...
Kama boda boda ni kazi mbona baba na mama ako hawawezi kupenda wewe wakusomeshe Ili uje kua boda boda...

Tunajua spin zenu kuchonganisha UPINZANI na wananchi.....
 
Back
Top Bottom