Kuna limbukeni mmoja anatamka huko bodaboda sio kazi

Kuna limbukeni mmoja anatamka huko bodaboda sio kazi

Screenshot_20230308-142138~2.png
 
Hoja mufilis, mbona kuna nchi zinatengeneza majembe lakini hawayatumii.
Acha kupotosha wanayatumia na hizo pikipiki zinatumika sana.
Ila hàwatumii kama tunavyotumia sisi.
Mfano nchi nyingi pikipiki zinatumika na delivery boy kupeleka mizigo , au kubeba watalii sehemu za milimani.
 
Vijijini ambako magari ni machache Boda boda ndio mhimili wa Uchumi na Ustawi wa Jamii.

Huyo Lema huko kanada anaishi kwa pesa za msaada halafu analopoka ovyo.
Tujiulize yeye Lema ana Kazi gani ya maana ili tuache kuendesha boda boda tufuate mfano wake ?

Mtu anaishi kwa hisani na misaada ya Wazungu halafu analopoka lopoka ovyo.
Mwambieni ajifunze kujitegemea kwanza ndio apate nguvu ya kuongea.
 
Furaha yenu ni kuona bodaboda wanakufa KWA TB, ccm waoneeni huruma vijana, bodaboda sio kazi
 
Wewe ni mjinga kabisa kabisa kabisa. Idiot first class!! Hivi unajua tatizo la bodaboda lilivyo kubwa Tanzania? Kwanza hii nayo ni nchi maskini kama yetu! Au ni huo weupe wa rangi unakuzuzua?
Uchumi wa China na Vietnam unafanana na wa Tanzania ?
 
Ni kwa mara ya kwanza Tanzania, kiongozi wa upinzani kuwatukana kundi muhimu sana kwenye uchaguzi.
Hili kundi wakomunisti walilitumia wakati wana simika falsafa yao hapa duniani.

Karl Marx alijua nguvu iliyo nayo hili kundi lakini hawa viongozi wajinga wa Chadema wana litukana. hovyo kabisa.
 
Acheni madharau bila boda boda msingeweza kurahisishiwa kazi , kuanzia biashara , kazi za maofisini chakula na kadhalika , .

Na msingepata wadada Kwa urahisi wa bei wakufika na wakuwekana sawa .

Mnajiona na lema wenu mbwaa .

Sura kama kenta ya mizigo
 
Wewe bwege wenzako wanaangalia tatizo la bodaboda kwa mapana na marefu na siyo unadhani wewe! Mbona kuna sehemu zina mpaka baiskeli za kukodi? Wenye akili wanaangalia ukubwa wa tatizo.
Tatizo la boda boda kwa upana ni lipi ? Na utatuzi wake inabidi uwe upi ?
 
Acheni kupotosha watu bodaboda sio Kazi,hao hata miaka 15 awafiki wote washakufa kwa ajali au vifua ikiwemo tb hao ni mtaji wa ccm.
Kama boda boda sio kazi ? Nini hasa ? Na je kazi ni zipi hapa Tanzania ? Na ipi maana sahihi ya kazi ?

Karibu
 
Acha kupotosha wanayatumia na hizo pikipiki zinatumika sana.
Ila hàwatumii kama tunavyotumia sisi.
Mfano nchi nyingi pikipiki zinatumika na delivery boy kupeleka mizigo , au kubeba watalii sehemu za milimani.
Kwani huku mizigo hawa bebei ? Na delivery hazi fanyiki kwa boda boda ?
 
Acheni madharau bila boda boda msingeweza kurahisishiwa kazi , kuanzia biashara , kazi za maofisini chakula na kadhalika , .

Na msingepata wadada Kwa urahisi wa bei wakufika na wakuwekana sawa .

Mnajiona na lema wenu mbwaa .

Sura kama kenta ya mizigo
We chizi unachangia Mada za siasa tangu lini?
 
Kwani huku mizigo hawa bebei ? Na delivery hazi fanyiki kwa boda boda ?

Hiyo ndio kazi ya bodaboda na sio kubeba abiria Hapa Tz 99% bodaboda zinatumika kubeba abiria .
Nchi nilizotembea bodaboda zinatumika na vijana wa Amazon ku deliver mzigo utakao agiza online au ukiagiza chakula mfano kulikuwa tunaagiza piza DK 15 nyingi boda kashakuletea na waharuhusiwi kamwe kubeba mtu
 
Back
Top Bottom