Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Una macho? Na je unajua kusoma? Au umetolewa ubongo!Acha utaahira bodaboda sio kazi. Hizo pikipiki zinatengenezwa China, Vietnam lakini ilishawahi kuona huko kuna bodaboda?
Bodaboda sio kazi.
Hoja ya kijinga mno hii.Acha utaahira bodaboda sio kazi. Hizo pikipiki zinatengenezwa China, Vietnam lakini ilishawahi kuona huko kuna bodaboda?
Bodaboda sio kazi.
Hawa jamaa hawana ubongo kwenye vichwa vyao!Hoja ya kijinga mno hii.
Noah zinatengenezwa Japan na hazibebi abiria huko.
Kwa hiyo udereva wa Toyota Noah nao siyo kazi?
Wewe mpumbavu China kuna hadi baiskeli kwenye suala la usafirishaji. Au hujawahi fika China?Acha utaahira bodaboda sio kazi. Hizo pikipiki zinatengenezwa China, Vietnam lakini ilishawahi kuona huko kuna bodaboda?
Bodaboda sio kazi.
CCM tumshukuru Lema kwa kutusaidia kazi 2025. Sasa hivi kaongezeka Lisu pia kusapoti ujinga wa LemaHawa ni bodaboda katika nchi iliyoendelea (first class country)
Ulimbukeni ni janga kubwa sana!
SISI BODA BODA TUNAKUAMBIA LEMA TUOMBE RADHI, TUTAICHUKIA CHADEMA MAZIMA USIPOTUOMBA RADHI. View attachment 2541263
Kila mtu angetamani kijana wake awe doctor and the same likes, lakini ni wachache wenye uwezo tu wa kumfikisha mtoto hapo!, so ulitaka hawa wengine wafanye nini? hasa mijini? (heri waendelee kujipatia riziki huku serekali ikiangalia namna nyingine bora zaidi ya kuwawezesha)Kama wewe ukimtazama kijana wako unatamani siku moja afanye kazi ya Bodaboda, basi Lema ni mjinga.
Uwezo wako wa kufikiri upo chini sana.Wewe mpumbavu China kuna hadi baiskeli kwenye suala la usafirishaji. Au hujawahi fika China?
Acha utaahira bodaboda sio kazi. Hizo pikipiki zinatengenezwa China, Vietnam lakini ilishawahi kuona huko kuna bodaboda?
Bodaboda sio kazi.
Hawa ni bodaboda katika nchi iliyoendelea (first class country)
Ulimbukeni ni janga kubwa sana!
SISI BODA BODA TUNAKUAMBIA LEMA TUOMBE RADHI, TUTAICHUKIA CHADEMA MAZIMA USIPOTUOMBA RADHI. View attachment 2541263
Hata msanyaje ukweli utabaki kuwa ukweli bodaboda sio kazi ni mp*mbavu tuu atasema hii ni kaziHawa ni bodaboda katika nchi iliyoendelea (first class country)
Ulimbukeni ni janga kubwa sana!
SISI BODA BODA TUNAKUAMBIA LEMA TUOMBE RADHI, TUTAICHUKIA CHADEMA MAZIMA USIPOTUOMBA RADHI. View attachment 2541263
Hapooo ujinga wa watanzania ni mtaji kwenuCCM tumshukuru Lema kwa kutusaidia kazi 2025. Sasa hivi kaongezeka Lisu pia kusapoti ujinga wa Lema
CCM ndio akili zao nchi Gani haitumii jembe!? Hata kwenye bustani!? Kwahiyo Sasa mnategemea kura Kwa boda boda!?Hoja mufilis, mbona kuna nchi zinatengeneza majembe lakini hawayatumii.