Kwa hiyo fahamu kazi ya boda boda sio moja.Hiyo ndio kazi ya bodaboda na sio kubeba abiria Hapa Tz 99% bodaboda zinatumika kubeba abiria .
Nchi nilizotembea bodaboda zinatumika na vijana wa Amazon ku deliver mzigo utakao agiza online au ukiagiza chakula mfano kulikuwa tunaagiza piza DK 15 nyingi boda kashakuletea na waharuhusiwi kamwe kubeba mtu
Tunaongelea hawa bodaboda wetu ambao kwao ni ajira ya kubeba watu .Kwa hiyo fahamu kazi ya boda boda sio moja.
Pia boda boda wa Tanzania wana beba mizigo.Tunaongelea hawa bodaboda wetu ambao kwao ni ajira ya kubeba watu .
Kuna nchi pikipiki ni Kwa ajili ya recreational.
Kama weekend unaonaga watoto wa matajiri na bodaboda zao just for fun
Bodaboda China zipo. Labda kama mnaongelea China ya Mars au Jupiter.Hiyo ndio kazi ya bodaboda na sio kubeba abiria Hapa Tz 99% bodaboda zinatumika kubeba abiria .
Nchi nilizotembea bodaboda zinatumika na vijana wa Amazon ku deliver mzigo utakao agiza online au ukiagiza chakula mfano kulikuwa tunaagiza piza DK 15 nyingi boda kashakuletea na waharuhusiwi kamwe kubeba mtu
Kwani wewe unaonaje ?
Bodaboda China zipo. Labda kama mnaongelea China ya Mars au Jupiter.
Wewe mpumbavu mimi nilipanda boda Guangzhou. Sihitaji google kujitetea katika hili.Kwa hiyo wewe ulienda China na ukapanda bodaboda .
Kuna Tatizo la uelewa boda boda sio kaziHawa ni bodaboda katika nchi iliyoendelea (first class country). Ulimbukeni ni janga kubwa sana!
SISI BODA BODA TUNAKUAMBIA LEMA TUOMBE RADHI, TUTAICHUKIA CHADEMA MAZIMA USIPOTUOMBA RADHI.
Ujinga utakuponza wewe! Hapo ni nchi gani?Hawa ni bodaboda katika nchi iliyoendelea (first class country). Ulimbukeni ni janga kubwa sana!
SISI BODA BODA TUNAKUAMBIA LEMA TUOMBE RADHI, TUTAICHUKIA CHADEMA MAZIMA USIPOTUOMBA RADHI.
Ficha aibu ya akili yako basi na weweHawa ni bodaboda katika nchi iliyoendelea (first class country). Ulimbukeni ni janga kubwa sana!
SISI BODA BODA TUNAKUAMBIA LEMA TUOMBE RADHI, TUTAICHUKIA CHADEMA MAZIMA USIPOTUOMBA RADHI.
Wewe ni bodaboda?Hawa ni bodaboda katika nchi iliyoendelea (first class country). Ulimbukeni ni janga kubwa sana!
SISI BODA BODA TUNAKUAMBIA LEMA TUOMBE RADHI, TUTAICHUKIA CHADEMA MAZIMA USIPOTUOMBA RADHI.
Sio careerWe jamaa sometimes unazingua sana
Bodaboda wa tanzania ni laana, sio kazi
Sio kila kazi inayokupa riziki ya kwenda chooni basi ni kazi,
Zingine mtu anafanya Tu Kwa sababu ya shida
Kazi ni za uzalishaji na sio uchuuziKama boda boda sio kazi ? Nini hasa ? Na je kazi ni zipi hapa Tanzania ? Na ipi maana sahihi ya kazi ?
Karibu
Tulia hapo ulipo.Wewe wewe wewe tulia haswaa.
Wewe wewe wewe tulia ww kwanzaTulia hapo ulipo.
Weka matako chini.Wewe wewe wewe tulia ww kwanza
An kuna mzazi akimtazama mwanae anapenda aje kuwa mwalimuKama wewe ukimtazama kijana wako unatamani siku moja afanye kazi ya Bodaboda, basi Lema ni mjinga.
Ninayo basiWeka matako chini.
ShwaaaaaniNinayo basi