Kuna madhara gani mwanaume anapochelewa kuoa?

Nimekuelewa sana mkuu uyasemayo hata mie niliweka kasumba kama iyo ila nami sijachelewa sana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dah tunaexpire mapema mno na siyo fair kabisa! Mi nashangaa naanza kuulizwa home "vipi tunakula lini ubwabwa khaa" 😜

Ahadi gani tena na huo ugumu mkuu?πŸ€”
huyo ntu si nzuri anataka ufe ale ubwabwa!!! Km hutajali sana njoo nikuunganishe na kaka angu!!
 
Uzito katika kufikiri na kuamua, mwili kuchoka kwa kuwa watoto hujazana kwenye kiuno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…