Kuna madhara gani mwanaume anapochelewa kuoa?

Ahahhgahhha kimoja j2 kimoja jmosi duuuuh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ninavyojua mwnaume hanaga deadline, isipokua kuna umri ukifika kama hauna hela utapata tabu sana.
 
Umri sahihi wa mwanaume kuoa ni 27-38.Hii imethibitishwa kitaalamu kabisa.Umri huu anakuwa amekomaa akili ipasavyo na kuuacha ujana wote.Ni tofauti na akiwahi lazima ndoa itikisike,japo unaweza wahi na ndoa ikadumu.
Na mwanamke umri sahihi ni upi
 
tatizo ni jamii inayo kuzunguka hawachelewi kukunyooshea vidole iwe ndung au majirani na marafiki.
nina bro wangu 40 ana watoto 5 kwa wanawake watatu bado anadunda tu yuko single analea tu watoto anasema hajue ataoa lini.
kikubwa binafsi unaplan gan katika maisha yako kuoa ni anasa tu
 
Kama unamsema bro wangu kabisa aisee nae hivyo hivyo ana mdada kamaliza kidato cha 6 ana binti darasa la 5 na kijana darasa la 2 na bado hana dalili ya kuoa na wote kila mmoja na mama yake
 
Dah tunaexpire mapema mno na siyo fair kabisa! Mi nashangaa naanza kuulizwa home "vipi tunakula lini ubwabwa khaa" 😜

Ahadi gani tena na huo ugumu mkuu?πŸ€”

Usidanganywe, Wanaume na sisi tunaexpire mapema, mwanaume ukifika miaka 35 hujaoa ni vigumu binti wa miaka 25 shuka chini kukupenda kama ulivyo, wanaume tukifika miaka 35 ni mwanzo wa kupendewa hela na mabinti bcoz twaonekana vibabu financial services
 

35 kwa 25 ni babu![emoji15]

Una uhakika hujachanganyikiwa?
 
[emoji3][emoji3]
 
Kama kuna hela unaziona mbeleni zinakusubr au( tayr unazo)we chelewa tu,ila kama kajamba nani ni ngumu kupata Pisi ya kukufurahisha moyo mda ukishakua umeenda,ni KIPENGELE aisee
 
Cha muhimu ni kuzaa na kutunza watoto
 
Ume maliza kilakitu.
 
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…