Kuna madhara gani mwanaume anapochelewa kuoa?

Nina ushahidi na mmoja, anaishi karibu na Mbezi stendi. shem kwakweli anadeka. Ila ndo madhara yake ni kwamba kama ni mwaajiriwa hachelewi kustaafu wakati watoto bado wadogo.
Msingi wa maisha mazuri ni furaha na amani ya nafsi, hayo mengine ni mahangaiko yenu wanadamu,

Na Uzuri kifo hakibagui waweza olewa na barobaro nae akastaafishwa kwa lazima
 
Braza Sugu sasa hivi ana 50 miaka au kuikaribia wala hana ndoa ndio nilisikia yupo kwenye mchakato. Mimi ni nani niovertake wakubwa!?
 
Cheleweni kuoa.. halafu muoe nguvuu zikiwaa zimeishaa tena mnaoa vidada vya 20s na early 30...halafu mngongewe hao wake zenu mrudi mnalia lia hapa shauri yenu...mke wa ujana wako anavutia zaidi...shauri yenuu
 
[emoji3][emoji3] Kijana huwa kama ajari,,
Mzee anatarajiwa kabisa ujue.
Kama ana 50 unahesabu bado 10 atastaafu.
Lakini Bible inasema "kula , kunywa na kufurahi." (matatu ya msingi kwa binadamu)
 
Umemalizia vizuri sana kuliko ulivyoanza
 
Nadhani shida kubwa hapa ni ile kutaka kusimamia maendeleo ya watoto ukiwa bado una nguvu zako zote.
emoji8.png
Dah kiukweli hadi umri huu sijui nimechelewa mbona naona dalili watoto wataniita bibi🤔
 
Braza Sugu sasa hivi ana 50 miaka au kuikaribia wala hana ndoa ndio nilisikia yupo kwenye mchakato. Mimi ni nani niovertake wakubwa!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kijana kukimbilia kuoa ni kujitakia mateso yanayoweza kuepukika.

Jay Z.
 
Cheleweni kuoa.. halafu muoe nguvuu zikiwaa zimeishaa tena mnaoa vidada vya 20s na early 30...halafu mngongewe hao wake zenu mrudi mnalia lia hapa shauri yenu...mke wa ujana wako anavutia zaidi...shauri yenuu

Kwani ujana unaishia miaka mingapi?
 
Back
Top Bottom