Kuna madhara gani mwanaume anapochelewa kuoa?

Kuna madhara gani mwanaume anapochelewa kuoa?

Si anakuwa kachelewa kupata stress

Ishu kubwa ni watoto tu ila km ukishajijenga vzr kiuchumi chelewa kuoa tu.

Maishaa yamekuwa rahisi na yenye furaha sana bila mke kuliko ukiwa na mke.Ndoa zilikuwa zamani ukioa hata kama unachezea team ya mpira ya taifa lazima kitambi kije.

Tukubali wachache wetu tutapata wake wengine watapata msongo wa mawazo[emoji23][emoji23][emoji23]

Wanawake wa kuoa wameisha sana pamoja na ratio ya 1:6 lakini bado kupata imekuwa bahati na nasibu sana.

All in all km unachelewa kuoa sababu hujapata sahihi ndugu yangu USIOE mpk upate sahihi .

Tafuta mfanyakazi wa ndani mwenye mtoto mlipe hata 200k alinde nyumba,usafi na kupika then wewe focus na kazi,bata then weekend tafuta vitoto vya chuo viwili kimoja IFM&CBE uwe kimoja unakila j/mosi, kimoja j/2.Huitaji kufanya mapenzi zaidi ya mara 2 kwa week km kweli upo busy na vitu vya maana.Bao 3 jumamosi,bao 3 jumapili.
Kumbuka kuna magonjwa yasiyotibika. Kuoa kuna kuepusha na mengi mkuu
 
Hukuna madhara kabisa ila tu huu mzigo uliorundikana ukija kumsukumia utakaye muona atasimulia mashoga zake.
 
Mwanaume tafuta hela hakuna kuchelewa kuoa hata ukioa in 50's no problem hata ukifa ukaacha watoto wadogo hakuna tatizo maana unakuwa umeshawawekea misingi mizuri ya kimaisha maana una pesa na unawaachia vitega uchumi vya kutosha
 
madhara ni kuchelewa kuitwa baba huku ukiongozana na watoto wako...watu watawea kudhania kuwa umeongozana na wajukuu...wako....harafu mwisho wa siku watoto wako wanaweza kukuzidi akili...kwanini uchelewe kuoa...au huko kwenu hakuna wanawake...?
 
Sio kweli Kuna mzee ana miaka 88 mwaka Jana amepata mtoto, huku mtoto wake akiwa na miaka 66 mwanaume ni nguvu na ela ndo kitu Cha msingi
Amepima DNA au ndo wale wale watoto wa kupandikiza hii dunia ina mambo mengi
 
Back
Top Bottom