Kuna maeneo na taasisi kubwa msije shangaa sio mali ya serikali wala mnawatagemea kuwa ni mihimili

Kuna maeneo na taasisi kubwa msije shangaa sio mali ya serikali wala mnawatagemea kuwa ni mihimili

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Usione ubabe wa Chalamira jua kuna jambo linakuja mtabaki mkijiuliza nguvu kapata wapi.

Ndio maana lolote likitokea kama litafanikiwa mtaanza kuvuta picha ya nyuma .Hii code naogopa maana inaweza kufanya mauwaji na utekaji mkubwa ndani ya mfumo kuhisi kuna kuvuja.

Ila tambueni mtoto kama kamshika mama yake.Tumezoea kuona mtaani kama watoto wanavyo watawala wazazi.Basi subirini vilio na njaa zenu za kutaka amani wakati haki hakuna.

Usifute hii mada.Sikutaka kuharibu ugali wa mtu.Ila mtairudia
 
I'd fake alafu bonge la muoga

Ujinga kabisa

Ondoa takataka hapa
 
Back
Top Bottom