Tetesi: Kuna magari yanakamata vijana ovyo kwenye magereji na vijiwe vya bodaboda kinyume cha sheria

Tetesi: Kuna magari yanakamata vijana ovyo kwenye magereji na vijiwe vya bodaboda kinyume cha sheria

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Tetesi kuna cruser zinakamata vijana ovyo kwenye magereji na vijiwe vya boda boda kinyume cha sheria.

Nitoe wito kwa wananchi mnaweza kumalizana nao hawa ndio wauaji na watekaji tunaowatafuta. Ukiona kuna cruiser mtaani kwako haieleweki eleweki jua ndio watekaji wananchi wanapaswa kuwadhibiti na kujihami.
 
Wewe uliyoshaiona kama ulikuwa na fursa ungefanya civic duty hata wa kuipiga picha, tena kwa ufasaha na camera nzuri ya simu wasijesema ni akili mnemba
 
Hilo nimeliona na mimi huku mitaani.

Siku hizi kijana hata akipelekwa polisi hata kwa msala wa kuiba kuku, watakagua simu yake, kwanzia kwenye gallery mpaka kwenye social media accounts anazotumia, wakikuta kuna kiashiria chochote cha kusupport maandamano wanampa kesi ya uhaini.

Hii ni serikali katili yenye watu wenye akili ndogo sana waliokosa utu.
 
Vituo hivyo simna vijua na walio wafanyieni hivyo mnawajua wanapoishi? hakikisheni vinachomeka moto tarehe 9/12 ili mambo haya ya kishenzi yawe mwiko
 
Hilo nimeliona na mimi huku mitaani.

Siku hizi kijana hata akipelekwa polisi hata kwa msala wa kuiba kuku, watakagua simu yake, kwanzia kwenye gallery mpaka kwenye social media accounts anazotumia, wakikuta kuna kiashiria chochote cha kusupport maandamano wanampa kesi ya uhaini.

Hii ni serikali katili yenye watu wenye akili ndogo sana waliokosa utu.
Kumbe ndio dhumuni lao?
Ni wapumbavu sana.
 
Unamkumbuka shambulio la kigaidi ( Mchongo ) kule Zanzibar walikamatwa watu Zaid ya 2000😂😂 wakaitwa wenye Kazi Yao wanapatikana watatu Mwisho wakabaki wawili
 
Ni kweli kabsa huko iringa vijana wanakamatwa tu, na wanasingiziwa kua wao ndo wanahusika na uharibifu wa mali za uma na wakidai wanawapeleka vituoni lakini chakushangaza ndugu zao wakienda vituoni kuwaona wanaambiwa hawapo , inaskitisha sana
 
Ni kweli kabsa huku iringa vijana wanakamatwa tu, na wanasingiziwa kua wao ndo wanahusika na uharibifu wa mali za uma na wakidai wanawapeleka vituoni lakini chakushangaza ndugu zao wakienda vituoni kuwaona wanaambiwa hawapo , inaskitisha sana
Ni una uhakikika wanasingiziwa
 
Ni una uhakikika wanasingiziwa
Ni wangapi walikuepo kwenye hayo maandamano, ? Na je kati ya wote walio kuepo kwenye maandamano hawa wanao kamatwa kwamba wao ndo walishiriki peke ao? wao wanafanya rondom picking wether ulikuepo au hukuepo? Kwan kuna ushahidi harisi unao onyesha flani kutoka sehem flan na jina flan ndo alifanya uhalibifu wa mali za uma?
 
Mkuu mambo yanaenda systematically hakuna mtu anakamatwa kwa kusingiziwa au kwa kuzaniwa.
 
Ni wangapi walikuepo kwenye hayo maandamano, ?
Ni wengi. Sasa kama ni wengi ndo wasikamatwe au..?
Na je kati ya wote walio kuepo kwenye maandamano hawa wanao kamatwa kwamba wao ndo walishiriki peke ao?
Bado msako unaendelea au walivokamata hawarudi tena
wao wanafanya rondom picking wether ulikuepo au hukuepo?
Random picking itafanyika mkifika itajulikana mafuta na maji hujitenga
Kwan kuna ushahidi harisi unao onyesha flani kutoka sehem flan na jina flan ndo alifanya uhalibifu wa mali za uma?
Ndio mana wakasema yanayofanyika kuna watu wanaona na intelligensia ipo vizri sana kwa hilo mkuu.

Kuna watu walikua wanafanya uharibifu na picha zao zipo mitandaoni unazungumziaje watu ka hawa
 
Back
Top Bottom