verify
JF-Expert Member
- Dec 31, 2024
- 1,313
- 3,164
Poor Brain , na bado wanasema kuna amani
Sawa sawaPoor Brain , na bado wanasema kuna amani View attachment 3500258
Hawa mbwa wamewaua ndugu zetu bila aibu lakini bado wanaendelea kuwasakama? Washindwe na walegee.Tetesi kuna cruser zinakamata vijana ovyo kwenye magereji na vijiwe vya boda boda kinyume cha sheria.
Nitoe wito kwa wananchi mnaweza kumalizana nao hawa ndio wauaji na watekaji tunaowatafuta. Ukiona kuna cruiser mtaani kwako haieleweki eleweki jua ndio watekaji wananchi wanapaswa kuwadhibiti na kujihami.
Mchepuko mdogo wa AbdulKwani ye ni nani mkuu?
Kuna mama mmoja alimtuma mtoto wake viazi vya chips mida ya saa 1 jioni ile tarehe 30, baada ya hapo mtoto yule hakurudi..Ni wangapi walikuepo kwenye hayo maandamano, ? Na je kati ya wote walio kuepo kwenye maandamano hawa wanao kamatwa kwamba wao ndo walishiriki peke ao? wao wanafanya rondom picking wether ulikuepo au hukuepo? Kwan kuna ushahidi harisi unao onyesha flani kutoka sehem flan na jina flan ndo alifanya uhalibifu wa mali za uma?