Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
picha na video tushapiga sana tunapaswa kuwaangamiza na kuchoma motoWewe uliyoshaiona kama ulikuwa na fursa ungefanya civic duty hata wa kuipiga picha, tena kwa ufasaha na camera nzuri ya simu wasijesema ni akili mnemba
Vituo hivyo simna vijua na walio wafanyieni hivyo mnawajua wanapoishi? hakikisheni vinachomeka moto tarehe 9/12 ili mambo haya ya kishenzi yawe mwikoHilo nimeliona na mimi huku mitaani.
Siku hizi kijana hata akipelekwa polisi hata kwa msala wa kuiba kuku, watakagua simu yake, kwanzia kwenye gallery mpaka kwenye social media accounts anazotumia, wakikuta kuna kiashiria chochote cha kusupport maandamano wanampa kesi ya uhaini.
Hii ni serikali katili yenye watu wenye akili ndogo sana waliokosa utu.
Kumbe ndio dhumuni lao?Hilo nimeliona na mimi huku mitaani.
Siku hizi kijana hata akipelekwa polisi hata kwa msala wa kuiba kuku, watakagua simu yake, kwanzia kwenye gallery mpaka kwenye social media accounts anazotumia, wakikuta kuna kiashiria chochote cha kusupport maandamano wanampa kesi ya uhaini.
Hii ni serikali katili yenye watu wenye akili ndogo sana waliokosa utu.
Exactly mzee...!! Hii serikali ya sasa inawachukia sana vijana kuliko hata wazee makada wa upinzani.Kumbe ndio dhumuni lao?
Ni wapumbavu sana.
Hata Lucas Mwashambwa?Tz hakuna aliye salama
Ni una uhakikika wanasingiziwaNi kweli kabsa huku iringa vijana wanakamatwa tu, na wanasingiziwa kua wao ndo wanahusika na uharibifu wa mali za uma na wakidai wanawapeleka vituoni lakini chakushangaza ndugu zao wakienda vituoni kuwaona wanaambiwa hawapo , inaskitisha sana
Kwani ye ni nani mkuu?
Ni wangapi walikuepo kwenye hayo maandamano, ? Na je kati ya wote walio kuepo kwenye maandamano hawa wanao kamatwa kwamba wao ndo walishiriki peke ao? wao wanafanya rondom picking wether ulikuepo au hukuepo? Kwan kuna ushahidi harisi unao onyesha flani kutoka sehem flan na jina flan ndo alifanya uhalibifu wa mali za uma?Ni una uhakikika wanasingiziwa
Mkuu mambo yanaenda systematically hakuna mtu anakamatwa kwa kusingiziwa au kwa kuzaniwa.Ni wangapi walikuepo kwenye hayo maandamano, ? Na je kati ya wote walio kuepo kwenye maandamano hawa wanao kamatwa kwamba wao ndo walishiriki peke ao? wao wanafanya rondom picking wether ulikuepo au hukuepo? Kwan kuna ushahidi harisi unao onyesha flani kutoka sehem flan na jina flan ndo alifanya uhalibifu wa mali za uma?
Ni wengi. Sasa kama ni wengi ndo wasikamatwe au..?Ni wangapi walikuepo kwenye hayo maandamano, ?
Bado msako unaendelea au walivokamata hawarudi tenaNa je kati ya wote walio kuepo kwenye maandamano hawa wanao kamatwa kwamba wao ndo walishiriki peke ao?
Random picking itafanyika mkifika itajulikana mafuta na maji hujitengawao wanafanya rondom picking wether ulikuepo au hukuepo?
Ndio mana wakasema yanayofanyika kuna watu wanaona na intelligensia ipo vizri sana kwa hilo mkuu.Kwan kuna ushahidi harisi unao onyesha flani kutoka sehem flan na jina flan ndo alifanya uhalibifu wa mali za uma?