Kuna Maisha Nyuma ya Hizi 'ID' Zetu, Tusiache Kupendana ❤️

Aisee.. huu ni uzi unaonigusa moja kwa moja kwenye kina cha moyo wangu, Kaka wa Msata nimekuwa nikiwasiliana na wewe kupitia maandiko yako mengi sana, na huwa niniajisikia fahari sana kufanya hivyo.
Ninaelimika, ninaburudika na ninaiadilisha akili yangu kupitia maandiko yako yaliyosheheni maarifa katika kina chake haswaa. Hakika wewe ni kielelezo muhimu sana kwangu.

Nikipita Msata nitakutafuta
 
Unconditionally...!!!!
 
Mkuu umechukulia wapi hiyo update naona playstore haipo mpka sasa?
 
Miaka 40 mingi 10 tu, yule anko wangu kipenzi mzanzibar nilifahamiana nae mwaka juzi 2024 Kwa bahati mbaya 2025 kafariki alikua member sugu wa JAMII forum
 
Hapa kuna namna tatu za kuishi kwa amani bila kuacha kuwa mtu mwema:

Weka mipaka:
Saidia pale unapoweza, lakini usiruhusu watu wakanyage utu wako.

Chagua wa kumsaidia:
Sio kila mtu anastahili wema wako; wengine wanakuja kutumia fursa tu.

Jitunze kwanza:
Huwezi kutoa maji kwenye kisima kilichokauka; jipende mwenyewe kwanza.

Mwisho; umesema wema ni nini vile!?😀🙌🏿🏃🏿
 
Kabisa mkuu. Membaz wote wa JF nawapenda sana. ❤️
 
Mkuu umechukulia wapi hiyo update naona playstore haipo mpka sasa?
Ukitaka kupata update yake kuna trick nyepesi unafanya ni kufuta hii uliyonayo na kudowload upya japo inaonekana hii mpya bado hiko kwenye majaribio haijawa stable but updates ni nzuri kama itatulia
 
Acha kabisa kutushauri mambo ya kijinga hivi inawezekana vipi mtu mjinga kama lukas na machawa wenzake wa ccm nikapendana nao, huo muda ni bora nikaungana na washabiki wa simba kwenda kunya uwanja wq yanga
"Amri mpya nawapa, mpendane; kama vile nilivyowapenda ninyi, nanyi mpendane vivyo hivyo
Your browser is not able to display this video.
 
Nabaki na hii hii, huu ni mtego, wanataka tupakue ili wanufaike.

Fisi maji kweli!
Update ni nzuri kusema ukweli japo bado haijawa stable ikitulia nadhani itakuwa best version ya JF app.

Developer wakifanyia kazi comment section,PM na kwenye profile pale kwenye notification button huwezi kurudi kwenye mada husika ukipata notification(inabaki blank)

Kiufupi updated version ikiwa stable ni ya moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…