Kuna Maisha Nyuma ya Hizi 'ID' Zetu, Tusiache Kupendana ❤️

Hivi Kuna watu ambao wamefikiwa na hiyo update?
 
Uno Luv.
 
Sasa napata wapi kama playstore bado? Mbona sikuelewi?
Kwenye playstore bado kuna image ya old version ya JF.

Fanya hivi:
I:Uninstall old version(uliyonayo sasa hivi)
II:Fungua playstore nenda kwenye search bar type JamiiForums.
III:Itakuja app ya JF yenye image yake ya zamani(usiogope update haijawa stable ndio maana)
IV:Bonyeza button ya Install(subiri imalize,utakuwa tayari kupata updates)

Note:Hii kwa watu wa android huko kwingine sijui inaonekana bado sio stable nadhani ni trial version lakini baada ya muda watafix itakuwa sawa
 
Haya mkuu let me try
 
Mshana umeongea vizuri sana, ila unajua kabisa wabongo hatupendani bila sababu. Huku JF mtu anakupenda tu pale mkiwaza sawa au mkiwa mnaungana kumshambulia mtu mwingine. Hiyo real love unayotaka hapa haipo, watu wanapenda vibes zao tu. Siku ukileta hoja inayowaacha njiapanda, ndio utajua hujui!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…