Kuna malaya wengi sana kanda ya ziwa, mnaokuja huku chukueni tahadhari

Kuna malaya wengi sana kanda ya ziwa, mnaokuja huku chukueni tahadhari

MOSHI HAKUNA MALAYA KABISA WA KUPOZEA MACHUNGUYA SIKU KABISA KILA UKITAKA UTELEZI WA FASTA FASTA HAMNA DAH , MADEMU WA KITAA WAGUMU KISENGE YAAAANI... KUMSALIMIA TUU INAKUWA KAMA KARNE, NIKO ZANGU MOSHI MJINI , KILA NIKITAKA UTELEZI NAENDA ZANGU ARUSHA NAULI 5K TUU NATINGA MAENEO NAPATA UTELEZI NARUDI
Kuna mikoa unaweza tafuta utelezi usipate. Hila Kanda ya Ziwa balaa. Utelezi Kila kosa. Panatisha mno wengi wameathirika.
 
Salam.

Kwa uzoefu nilioupitia baada ya kuzurura Nyanda za juu kusini, Kaskazini, Dar, Zanzibar na sasa nipo Kanda ya ziwa basi Nina haya ya kusema .

Hii Kanda Malaya wapo wengi mno na madanguro yapo Hadi vijijin.

Mikoa ya Mwanza na Geita umalaya NI biashara ambayo ni Kama imerasimishwq.

Usiulize Takwimu za UKIMWI. watu wa huku huwa hawapimi.

Malaya wanajiuza Hadi vijijin na wananunuliwa had na wanafunz wa Sekondari.

Nmejionea Kisesa Mwanza, Buzuruga,

Kwa Geita nimeona Katoro, Runzewe , Geita mjini ,Nzera , Nkome hata Kakubilo.

CHUKUENI TAHADHARI
Tuendelee kuchukua tahadhari,
Malaya wapo kila Mahala,
Malaya ni moja ya biashara kongwe kbs duniani,
inabadilika kulingana na nyakati!
 
Hahaaaaa eti wana waisraeli ,umetisha mwamba ,mi nimezaliwa na kukulia Mwanza ,kiufupi huku umalaya nikawaida kama binti wa miaka kumi na nne anapigwa mashine na kuzalishwa na jamii inaona kawaida sasa hapo sijui unategemea nini ? , Jamii za huku traditions zao ndio vinavyochangia hiyo situation .Na watu wameoza haswa kwa HIV ,nadhani huku kuna mikoa mingi ambayo inaongoza kitaifa kwa kasi ya maambuikizi ya HIV kitaifa ,hasa Geita ,Mwanza na Shinyanga ,
Mkoa unaoongoza kwa watoto wadogo afu masingle maza arusha
 
Uvuvi Kama mtaji kiasi gani boss??, Na sheria zao zikoje??
Inategemea unataka kufanyaje,kumiliki mitumbwi,kununua samaki na kulanguza au,kama una milioni mbili unaweza kuanza kwa kukodi mtumbwi wenye injini ila ukitaka kumiliki wa kwako basi atleat uwe na milioni 5,inatosha mtumbwi,vibali na mtaji wa kuanzia
 
Mwanza mwanza mwanza dahh
Malaya za huku hazina hata aibu.
Jana si nikasema nikapajue kwatunza (pembeni niko na shemela wenuu) weeeee
Mishangingi mitatu ikakaa pembeni yetu ikaaagiza juicy na chips... basi ilipomaliza kula ikaanza kujichezesha... sasa shemela wenu ameyapa mgongo mimi ndo nlikaa mahali nayaona... na hii nlifanya kusudi maana nlishaona hali ya hewa si nzuri.
Basi mmoja anacheza hadi anamgonga shemelq wenu na matak...o... halafu yanachekaaaaa sasa mtu amekunywa juicy atalewaje hadi amchezee mwanaume wa mtu kwa kumbinulia hadi kumsogelea?? Na sio kama huyu me anachezaaaa ni kwamba amekaa kwenye kiti na amemgeuzia mgongo ila anasogea hadi mbele anamchezea.
Asee nilikazaaa nilijibebisha nilifanya yote kuwakera tu....mwisho wakaaga mashindano maana walishaona mwenye mali amekaza kama Messi hadi abebe kombe.
Wakahama kijiwe maana pale kwa tunza asilimia kubwa ya wakaka ni wale underage...nadhan kwenye 18 to 20 hivi. Above that age wachache sana.
Asee nliona maajabu sana
 
Mwanza sio poa napajua huko ila sijui idadi ya watoto nilioacha
 
Back
Top Bottom