Afu Apo utakuta Ni mtamu balaa ila kichwani ndo ivo Ni empty setHata huyu hawezi kumuacha,wanawake wanaojilipuaga hivi Huwa mnawapenda sana...imagine anamwambia una roho mbaya halafu hapohapo anamwambia nipangie nyumba ya laki tatu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio utajua hujui
π€£π€£Yaani wanajilipua hao....hebu niambie ukweli Huwa mnaenjoy Hizo drama zao eeh?Ha ha ha .....yaan uyu ke Ni pacha wake mamaJ kabisa, nafurah nmepata mwenzangu akaribie tuteseke[emoji3]
Basi mtaishi sana nyie!Uyu mwanamke nishamchukuliaga Kama psychopath [emoji4]
Uyu Ni mamaJ party two[emoji3]Hahah eti kama ni hivyo nipangie nyumba ya vyumba viwili na jiko ya laki 3 niajiri dada wa kazi ili nikiwa nakuja kwako niwe namuacha na dada...nimegundua huyo analea mtoto kama yai na bibi yake mtoto hapendi ujinga ndo maaana hataki akae nae..yani analea bomu..
Huyu mwanamke ni pasua kichwa..yani kama utamrudia kisa sijui mzuri...walai utakufa kabla ya siku zako..
Na utamu ndio Kila kitu aisee jamaa anaweza jikuta katoo 1,200,000 ya miezi SITA na dalali...na fanicha juuAfu Apo utakuta Ni mtamu balaa ila kichwani ndo ivo Ni empty set
UTAMUU na kuwa na akili vinapishana sanaaa...Na utamu ndio Kila kitu aisee jamaa anaweza jikuta katoo 1,200,000 ya miezi SITA na dalali...na fanicha juu
Ni Kama uandishi wa mamaJ,Ajsee jamani sasa mbona mnawaonea masuperwoman wanapambana kusoma nyie mnasema degree ya chupi tena kha!
Kufa hufi ila chamoto unakiona rafiki... π π π πUyu Ni mamaJ party two[emoji3]
Ungechagua Nini Mzee mwenzangu?UTAMUU na kuwa na akili vinapishana sanaaa...
Yaan wee acha TU, nakwambia uyu mwamba nae hamuachi, wanawake pasua kichwa wanakuaga watamu balaa[emoji3]Kufa hufi ila chamoto unakiona rafiki... [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Walahii nimechekaa... Nahisi huko nje wanahisi nimeanza kudata...Ni jambo baya ila naweka pia na wengine wajifunze. Wakati mwingine usitake sana kumridhisha au kumfurahisha mwenzio. Usitake kuvumilia sana tabia ambazo unajua si sawa kwa kigezo cha mapenzi.
Huyu dada nilimkuta na mtoto nikamwambia haina shida nitamlea mtoto. Mumewe alifariki. Lakini kama ambavyo nliandika uzi jana. Sisemi single mothers wote wapo hivi ila huyu wangu ni kilaza. Nlimuamini sababu ana degree alimaliza CBE na ni dada mzuri wa sura , umbo na rangi. Nlidhani pia kwa kufiwa na kuwa na mtoto angekuwa matured. Bado ana upumbavu mwingi kichwani.
View attachment 2866044View attachment 2866046View attachment 2866048View attachment 2866049
Yaan Aya Mambo ya mapenzi uwa magumu sana, can u imagine juzi nilileta Uzi kaniibia Ela, na nikakaza, Jana tumerudiana na mzgo nmekula[emoji29]Na utamu ndio Kila kitu aisee jamaa anaweza jikuta katoo 1,200,000 ya miezi SITA na dalali...na fanicha juu
Huwa naenjoy sn maana nna mbadala tayar (my wife), Ila ingekua serious serious ndo nnaemtegemea TU kimahusiano, tayar ningeshambwaga chini.[emoji1787][emoji1787]Yaani wanajilipua hao....hebu niambie ukweli Huwa mnaenjoy Hizo drama zao eeh?
Sure....nilisikiaga... π π π ππYaan wee acha TU, nakwambia uyu mwamba nae hamuachi, wanawake pasua kichwa wanakuaga watamu balaa[emoji3]
Mama Mwana heshima sana. Mimi ndicho nilicho-note zaidi kwenye hayo malumbano. Jamani hawa wanawake wenye ku-mix L na R karibia wote wako kama huyu wa jamaa. Trust me! Nilikuwa na wa kwangu, naye ana mtoto mmoja, malumbano yake ni kama huyu 100%. Na kuandika sasa... ni wale wa ''malahaba'', ''gali'' ''mahongezi'' n.k. Kuna haja ya kila kijana anayetaka kuoa kumpa mchumba wake mtihani wa kuandika maneno ya kiswahili. Kuna watu wanaweza kusema natania lakini hebu jaribuni kuchunguza. Halafu ni wabishi, hawajui matumizi ya fedha... Huyu jamaa inabidi akimbie haraka sana sana. Yaani akimbie kama ameona simba. Halafu huwa wanatumia waganga wa kienyeji kweli kweli, eti ili wapendwe.booo, baada ya kusoma hizo mixer za l na r nikakumbuka ana degree hio degree ni ya kuvukia barabara? mtoto wa miaka saba analala na mama yake vipi wanakulana?
Dah!imekula kwakeHuwa naenjoy sn maana nna mbadala tayar (my wife), Ila ingekua serious serious ndo nnaemtegemea TU kimahusiano, tayar ningeshambwaga chini.
Nmeamua TU kuridhika na anachonipatia (sex) bila kuhoji Sana mienendo yake sana kimaisha Wala future yake[emoji4]
Dr uchwaraa huyooo..Hapa Dr umezingua
Kuna watu wanalea watoto kizungu Sana aiseeDr uchwaraa huyooo..
Bora umenisaidia kumjibu huyu mtanzania .Dr Restart mi natofautiana na wewe.
1. Mtoto wa miaka 7 kujikojolea sio sahihi, unless ana tatizo la kiafya. Mimi nilimchapa wakwangu akiwa na 5 ama 6 kama siokosei....na aliacha immediately maana katabia kenyewe kaliibuka out of nowhere. Watoto wana tendency yakujaribu watu kwakufanya makosa kwa makusudi pale wanapoamini they'll get away with it. Kuna mtoto wa dada yangu (12 yrs old), huwa anakojoa kitandani, tena sometimes asubuhi kushakucha. Nimeshasafiri nae mara mbili, biti analopigwa kuhusu kujikojolea ugenini huwa lina matokeo chanya, which proves nyumbani huwa anafanya makusudi maana anaeishia kugombezwa ni dada wa kazi na sio yeye.
2. Kama nimeelewa sahihi Tuta Absoluta Kantangaze alikua na malengo na mpenzi wake, so jambo la kuruhusu/taka mtoto awe sehemu ya muda wao pamoja halina ubaya wowote. Ilikua vizuri ili watengeneze bond, lakini pia imemsaidia kujua huyo dada ni mama wa aina gani. Angekuja kugundua miaka miwili/mitatu baadae wameshaongeza wakwao ingekua mbaya zaidi.
3. Jamaa haonyeshi kutokumpenda mtoto, nnachoona ni kwamba analazimishwa kumkubali na tabia zake hata ambazo sio nzuri pamoja na aina ya malezi anayopewa. Kitu ambacho sio sahihi. If we are being honest, huyo mwanamke anaweza kuona kama anamsaidia mwanae kwakumuendekeza (sio kumpenda) ila anamuharibu.
All in all, the guy is right. Kupitia maongezi yao inaonekana kabisa he's done his best, ila single mother hana shukrani wala hataki hata ku-acknowledge juhudi za jamaa. Amuache akachoshane na mtu mwingine mbele ya safari.