Kuna mambo hutokea katika Uhusiano ujue mwenzi wako ni mtu wa namna gani. Huyu wangu nimegundua hana akili

Huyu Yuko kibiashara
 
Huyo wa miaka7 Wala haitaji kupigwa, Ila inabidi tu atengenezewe ratiba ngumu ambayo itampa mda wa kulala walau hata mara mbili au mara tatu mchana ili ikifika usiku asichoke Sana( kulala ni lazima atake asitake),, hata akibamwa kukojoa usiku anaamka bila shida.. Na kwenye chakula pia sisi kwetu dogo ikishafika tu kuanzia saa12 jioni hakuna kunywa kimiminika chochote, sio juice ,soda, maziwa Wala maji na labda wakati wa kula ambapo napo atakunywa glasi moja au nusu.. Saa mbili kamili ni kukojoa kulala hiyo ni amri, zamani alikua anaamshwa kwenye saa4 hivi au sa5 kukojoa Ila Saizi anaamka mwenyewe na hakojoi Tena Hadi asubuhi anaamka akiwa mkavu...
Tatizo wanawaacha tu watoto wanakua na ratiba kama za watu wazima ndomana
 
Hii ngurumbembe ulikutana nayo wapi mkuu?
 
Hii aione dronedrake
 
Yeye hana akili.
Na wewe una roho mbaya kweli unahesabu nimekupa hela ya.. hela ya.. hela ya..
Yaani ndio umeona vya maana kujitetea kwamba umempa ili asikusakame kuvunja mahusiano yenu!
Pipa na mfuniko.
Hivi ulishalipa mahari au unamtumia tu dada wa watu halafu unataka kumpangia jinsi ya kulea mtoto wa mwenzio?

Ila hii kama kama chai vile??โ˜•
 
Njia hiyo ni nzuri sana. Na italeta matokeo bora sana pasipo athari..

Wenzako wanashauri acharazwe bakora za kufa mtu atanyooka. Si kweli.
 
Ukute Baba mtu yupo hai ila alishindwa kuvumilia huo upuuzi unaoletewa wewe, Mwanamke asie na furute anaona ni bora apange aishi mwenyew kwa kuitumikisha Kei yake kwako mtaishi hivyo mpka lini? Huyo hana mpango wa kuanzisha familia mpya bali kudanga na kulea mwanae tu.
Endelea kununua utelezi wa singo maza bila kujijua.
 
Mwingine huyu , naye kuna jamaa anaumia huko.[emoji16][emoji16]
 
Aiseee analazimisha mambo kwa kikojoleo ndo ulipe 300k? Miaka saba anataka alale na mama yake watoto wenyewe wa kizazi hiki, mzazi kulala na mtoto mwisho miaka 4. Miaka saba kukojoa kitandani lazima achezee mboko ukimlea lea atakojoa mpaka utu uzimani eboo, huyo msomi hafai
 
Uko sawa kabisa meku
 
miaka 4 ?
Kwanini ?
Unless nafasi hairuhusu mtoto akiacha kunyonya tu ni muda stahiki wa kulala mwenyewe!
Aanze kujifunza kujitegemea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ