Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Anasema hawez mpeleka kwa bib yake kwa maana ni mkali😂😂Eishhhhh! Hata mimi fellow single mother nakuunga mkono 💯
Achana nae huyo single mother wako maana utoto umemjaa sana.
Excuses zake zote ni za kipuuzi 100%. Ata/mtaleaje mtoto kwa style hiyo eti kisa baba yake kafariki..?🙄🙄
Ukilipa hiyo 300k wewe unafaidika na nini? Maana utelezi hautoshi kwa hiyo pesa
Mshahara wa mwalimu kabisa huo yeye anaona simple tu
Mwambie atafute zake akajipangie hiyo nyumba
Vyovyote vile sio sahihi kumchapa mtoto anayejikojolea. Wa kwako ulifanikiwa lakini hiyo sio njia sahihi nzuri kwa kila mtoto.Dr Restart mi natofautiana na wewe.
1. Mtoto wa miaka 7 kujikojolea sio sahihi, unless ana tatizo la kiafya. Mimi nilimchapa wakwangu akiwa na 5 ama 6 kama siokosei....na aliacha immediately maana katabia kenyewe kaliibuka out of nowhere. Watoto wana tendency yakujaribu watu kwakufanya makosa kwa makusudi pale wanapoamini they'll get away with it. Kuna mtoto wa dada yangu (12 yrs old), huwa anakojoa kitandani, tena sometimes asubuhi kushakucha. Nimeshasafiri nae mara mbili, biti analopigwa kuhusu kujikojolea ugenini huwa lina matokeo chanya, which proves nyumbani huwa anafanya makusudi maana anaeishia kugombezwa ni dada wa kazi na sio yeye.
2. Kama nimeelewa sahihi Tuta Absoluta Kantangaze alikua na malengo na mpenzi wake, so jambo la kuruhusu/taka mtoto awe sehemu ya muda wao pamoja halina ubaya wowote. Ilikua vizuri ili watengeneze bond, lakini pia imemsaidia kujua huyo dada ni mama wa aina gani. Angekuja kugundua miaka miwili/mitatu baadae wameshaongeza wakwao ingekua mbaya zaidi.
3. Jamaa haonyeshi kutokumpenda mtoto, nnachoona ni kwamba analazimishwa kumkubali na tabia zake hata ambazo sio nzuri pamoja na aina ya malezi anayopewa. Kitu ambacho sio sahihi. If we are being honest, huyo mwanamke anaweza kuona kama anamsaidia mwanae kwakumuendekeza (sio kumpenda) ila anamuharibu.
All in all, the guy is right. Kupitia maongezi yao inaonekana kabisa he's done his best, ila single mother hana shukrani wala hataki hata ku-acknowledge juhudi za jamaa. Amuache akachoshane na mtu mwingine mbele ya safari.
Ndiyo, nakubaliana.Dr. Unakubaliana mtoto wa miaka Saba kujikojolea?mtoto kuacha kukojoa kitandani wengi kuanzia miaka 3 wenye akili shape ni 2.8....huyo dada analea vibaya mtoto uongo ni dhambi,
haujambo?...😂😂😂🤣Narudia tena; Mimi baada ya kuandikiwa muandiko huu nikajifanya mpolee,falaa nikamdukua kwa mara ya mwisho kisha nikakaa kimyaa maana nishaambiwa mbaya sana🤔
View attachment 2866066
Tumetofautiana malezi,7years akojolee godoro langu niseme namsubiri afike 10 yeleuwiiiiiiiii.....yaani nimsubiri mpaka darasa la Tano anakojoa?jamani?labda idhibitishwe na daktari wa ukweli ana tatizo la afya,unless atachezea sana bakora mpaka akilala anaweweseka anaamka mwenyewe kukojoaNdiyo, nakubaliana.
Kiutaalam kabisa, mtoto wa miaka saba kujikojolea si ajabu. Ndiyo ukomo haswa wa mtoto kujilojolea kama hana changamoto.
Wapo watoto ambao huwahi sana kuacha kujikojolea. Wanangu wote, kabla hawajafikisha miaka miwili wameshaacha kujikojolea.
Wapo watoto wanaochelewa, hata miaka 10. Na wengine wana changamoto za kiafya na wengine wanaridhi.
Pamoja na hayo, je kipigo ndiyo sahihi? Hapana.
Ikifika jioni usimpe mtoto vitu vya maji na unapaswa kumuamsha usiku akojoe pia. Kuna ambao unaweza kusema wanafanya makusudi, je wale wasioweza na kutojitambua?
Dr Lizzy Beberu MamaSamia2025
Malezi yako hayapaswi kuwa malezi ya mtu mwingine. Na unachokiamini hakipaswi kuaminiwa na kila mtu.Tumetofautiana malezi,7years akojolee godoro langu niseme namsubiri afike 10 yeleuwiiiiiiiii.....yaani nimsubiri mpaka darasa la Tano anakojoa?jamani?labda idhibitishwe na daktari wa ukweli ana tatizo la afya,unless atachezea sana bakora mpaka akilala anaweweseka anaamka mwenyewe kukojoa
🤣🤣🤣baada ya hii haujambo alinipigia akanitukana mbaya, akadai eti mimi ninadharau sana pia roho mbaya kisa nimeshamvuahaujambo?...😂😂😂🤣
Duniani u ape dwa mara moja tuu thats if u r lucky. Wengine kama kina mzabzab mpaka leo hatujawahi kupendwa.
Ndio maana nimekubali tunatofautiana malezi,na Wala sijashauri au kulazimisha Mtu afuate malezi yangu.Malezi yako hayapaswi kuwa malezi ya mtu mwingine. Na unachokiamini hakipaswi kuaminiwa na kila mtu.
Kiufupi, miaka saba mtoto kujikojolea si ajabu kitabibu.
🤣🤣🤣🤣 Acha matani ya kweli basi na wswe kha!!Kwani kiba100 hakisababishi milio😁😁😁😜😜😜?
Nimeshangaa ukisema hujui milio🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Acha matani ya kweli basi na wswe kha!!
Akimaliza kutukana, unamuuliza vipi munaendeleaje na hari kipenzi?...🤣🤣😂...wengine huwa wanaanza kunena kwa lugha🤣🤣🤣🤣baada ya hii haujambo alinipigia akanitukana mbaya, akadai eti mimi ninadharau sana pia roho mbaya kisa nimeshamvua
300k Kwa mwezi ni ndogo ?? Just imagine Na Kodi huwa ni miezi 6 which means umpe lumpsum YA 1,800,000 kila baada YA miezi 6 pia, baada YA hapo umpe matumizi yasiyopungua laki4 Kwa ajili YA mahitaji yakeBaba Ikram mbona unatoka kwenye mfumo sasa[emoji28]
Ikram anakuja na mama yake, ni package deal...
300k/mwezi pesa ndogo? hadi nimesisimka yaani
Normally akiendelea kujikojolea at the age of 8+ ndiyo tunaweza kusema ni changamoto kiafya.Ndio maana nimekubali tunatofautiana malezi,na Wala sijashauri au kulazimisha Mtu afuate malezi yangu.
Kwa maana hiyo kama ni sawa kitabibu basi mtoto tumuweke kwenye changamoto za kiafya and not normal
Njia sahihi ( applicable for all) ni ipi???Vyovyote vile sio sahihi kumchapa mtoto anayejikojolea. Wa kwako ulifanikiwa lakini hiyo sio njia sahihi nzuri kwa kila mtoto.