Kuna mambo hutokea katika Uhusiano ujue mwenzi wako ni mtu wa namna gani. Huyu wangu nimegundua hana akili

Kuna mambo hutokea katika Uhusiano ujue mwenzi wako ni mtu wa namna gani. Huyu wangu nimegundua hana akili

Miaka 7 ni mwanangu wa pil huyo yuko darasa la 3 sasa. Anaamka saa 11 na Nusu asubuh kkla siku za shule. Anajiandaa na kumuandaa mdogo ake kwenda shule. Anajipikia ugali wake mwenyewe.
Huyu nafikir mi angeniona ni zaidi ya mnyanyasaji maana mtoto haend shule bila kufanya kaz zinazomuhus nyumbani.
Viboko pia vipo wakizingua.

Huyo single maza angenikimbia siku ya kwanza tuu maana huwa sivungi
Kama anapika ugali na miaka hio mvushe darasa [emoji1787]
 
Ni jambo baya ila naweka pia na wengine wajifunze. Wakati mwingine usitake sana kumridhisha au kumfurahisha mwenzio. Usitake kuvumilia sana tabia ambazo unajua si sawa kwa kigezo cha mapenzi.

Huyu dada nilimkuta na mtoto nikamwambia haina shida nitamlea mtoto. Mumewe alifariki. Lakini kama ambavyo nliandika uzi jana. Sisemi single mothers wote wapo hivi ila huyu wangu ni kilaza. Nlimuamini sababu ana degree alimaliza CBE na ni dada mzuri wa sura , umbo na rangi. Nlidhani pia kwa kufiwa na kuwa na mtoto angekuwa matured. Bado ana upumbavu mwingi kichwani.

View attachment 2866044View attachment 2866046View attachment 2866048View attachment 2866049
Hawa wana wake wa kizazi hiki haishangazi wanauza O716 kila siku.

Anaona laki tatu kwa nyumba tu ni hela ndogo wakati yeye mwenyewe hanazo
 
Wote mna changamoto.

Tukianza na wewe, hupaswi kumuadhibu mtoto kwa kujikojolea. Ukweli ni kuwa kukojoa kutakoma baada ya muda. Ungetafuta namna ya kumsaidia, ama aamshwe usiku akakojoe au kuweka vizuia unyevu kupenya kwenye godoro.

Lakini pia, kama unaona ungekuwa na ualakini katika malezi basi usingemruhusu kutoka awali aje na mwanae. Kama alikataa kumpeleka kwa mama yake basi nawe ungekataa kukaa naye.

Tukirudi kwake, hapaswi kukulazimisha umpende mwanae. Upendo huja automatically, haulazimishwi.

Lakini pia, ana akili za kimalaya. Kwamba, unapawa kumhudumia kwa sababu unamtumia. Sijui namna gani unamtumia, ila nadhani ni kulala naye. Kama unamfanyisha kazi basi anastahili mshahara.

Ngono si one side sided. Kila mmoja anawajibika kwa mwingine. Ninyi wote mnafurahia.

Lakini pia, amezidisha mapenzi kwa mwanaye. Mpaka analazimisha mambo ya hovyo. Kutotaka mtoto wa miaka 7 alale mwenyewe ni upuuzi. Mtoto hawezi kulala mwenyewe wala si traumatization. Ni malezi bora kabisa akajilalie mwenyewe.

Kulala na mtoto wa miaka saba ukiwa na mpenzi wako kitanda kimoja ni unyanyasaji. Mtoto wa 7 years ni mkubwa sana. Anaelewa vitu vingi. Kusikia mama yake analia huku anapelekewa pipe, ni unyanyasaji.

Cha msingi hamtawezana. Kila mtu afuate muelekeo wake.
Hawa watoto wa kiafrika ukiwachekea atakojoa hadi miaka 15.

Chapa stick uone kama atarudia.

Lazima ujue chanzo ni nini?
Majority ni watoto wanao cheza sana mchana hivyo usiku wanalala wamechoka mno.

Na anapokojoa sio kwamba anakuwa Usingizini bali anakuwa alert ila anaona uvivu wa kuamka.

Mshua wa kambo hapo alikuwa akishauri mtoto alale mchana asicheze muda woote hadi saa tano usiku.

Wewe unaweza kuona Mtoto anacheza Tangu asubuhi hadi saa tani usiku only kuja kukojoa saa saba usiku kitandani.

Does it make sense?
 
Akishagraduate atanifundisha mimi! Hata saa hii ananifundisha mdogo mdogo...😁

Utasikia kuna paper hapa nataka usome then we'll discuss it later!😃
Alafu hizi encounters za discussion zinakuwa tamuu balaaa....ndio zinapovumbilika style mupya kama popo kanyea mbingu 🤣🤣🤣🤣
Enjoy bwana yaani tena sana maana haya mambo ya malove as u said dnt last long before kibao kinageuka
 
Back
Top Bottom