Kuna mambo hutokea katika Uhusiano ujue mwenzi wako ni mtu wa namna gani. Huyu wangu nimegundua hana akili

Kuna mambo hutokea katika Uhusiano ujue mwenzi wako ni mtu wa namna gani. Huyu wangu nimegundua hana akili

Hawa ndio wanatengeneza watoto mashoga. Hawataki watoto wao wawe na role model mwanaume serious.

Hawajui kulea watoto wa kiume.
Umesema vyema mkuu mtoto anaenda kuwa chakula cha wenyewe, nakumbuka nishawah kulala kwenye banda la kuku kisa tu nlichelewa kurud home kidogo na kesho yake nlichezea kipigo heavy, mtoto wa kiume analelewa kama mayai, wakati duniani kuna mapambano makali mbona ataleft group mapema sana
 
300k Kwa mwezi ni ndogo ?? Just imagine Na Kodi huwa ni miezi 6 which means umpe lumpsum YA 1,800,000 kila baada YA miezi 6 pia, baada YA hapo umpe matumizi yasiyopungua laki4 Kwa ajili YA mahitaji yake

Hii ni ngumu kumeza, wanawake hawajui kuwa Hela huwa ni ngumu
unaposikia watu wameuwana, ni vyema kudadavua vyema zaidi chanzo ni nini....
 
Vyovyote vile sio sahihi kumchapa mtoto anayejikojolea. Wa kwako ulifanikiwa lakini hiyo sio njia sahihi nzuri kwa kila mtoto.
Miaka saba kujikojolea alafu achkewe tu ni upuuzii...!! jamaa kaamua kujitwika gunia la mibaaaa acha anyooke si anataka umbo zurii na shapee haya sasa alipe 300k kodi😀😀😀asimfokeee junior ataliaa sana na kupata dpression
 
Ndio maana nimekubali tunatofautiana malezi,na Wala sijashauri au kulazimisha Mtu afuate malezi yangu.
Kwa maana hiyo kama ni sawa kitabibu basi mtoto tumuweke kwenye changamoto za kiafya and not normal
Wala sikubaliani na nayejiita Dr. Hawa ndo wanasema hata ushoga ni hormones waachwe tu. Kumbe ni ujinga unaanza mdogo mdogo. Mimi wangu nitawachapa wakae sawa. Na watakaokuja kwangu nitaonya hasikii nitamchapa.
 
300k Kwa mwezi ni ndogo ?? Just imagine Na Kodi huwa ni miezi 6 which means umpe lumpsum YA 1,800,000 kila baada YA miezi 6 pia, baada YA hapo umpe matumizi yasiyopungua laki4 Kwa ajili YA mahitaji yake

Hii ni ngumu kumeza, wanawake hawajui kuwa Hela huwa ni ngumu
Hana akili. Nlimwona hana akili na anaamini pesa ninazo.
 
Wala sikubaliani na nayejiita Dr. Hawa ndo wanasema hata ushoga ni hormones waachwe tu. Kumbe ni ujinga unaanza mdogo mdogo. Mimi wangu nitawachapa wakae sawa. Na watakaokuja kwangu nitaonya hasikii nitamchapa.
Na hayo ndio malezi....eti mtoto asichapwe kisa ana trauma ya kufiwa na baba umesikia wapi?anazibuliwa tu kichwa chake kikae sawa
 
Mkuu, Kichaa kama huyu umemtolea wapi??

Yaani hata aibu hana. Na hapo kwenye kushindwa kutofautisha L na R ndio nisingekuqa hata nasoma message zake.

Huyu mwanamke sijui hata kama kasoma kwa kweli

Pole sana ila wanawake wapo wengi sana aisee. Piga chini Tembea
 
Hapo we ndo mwenye matatizo ukiamua kuoa mama na mtoto wapende wote.
Umtaki mtoto.
Sasa akakae vipi kwa bibi yake hali mama yake yupo
Mkuu kwa ndugu zetu waislamu wa upande wa Zanzibar, Mwanamke akiolewa kama ana mtoto umuacha kwao, na kwa mume anaenda yeye kama yeye. Nawashangaa hawa wanake wakiTanganyika wana force mtoto yao ilelewe na mwanaume mwingine, wakati Baba zao wapo angali hai.
 
Mkuu kwa heshima na taadhima, naomba kukujulisha kuwa unakaimu ofisi ya Mwenyekiti Umoja wa Wanaume waliokamilika Tanzania, mpaka itakapotangazwa vinginevyo.

tunakutakia kila la heri unapotekeleza majukumu yako
 
Dr Restart mi natofautiana na wewe.

1. Mtoto wa miaka 7 kujikojolea sio sahihi, unless ana tatizo la kiafya. Mimi nilimchapa wakwangu akiwa na 5 ama 6 kama siokosei....na aliacha immediately maana katabia kenyewe kaliibuka out of nowhere. Watoto wana tendency yakujaribu watu kwakufanya makosa kwa makusudi pale wanapoamini they'll get away with it. Kuna mtoto wa dada yangu (12 yrs old), huwa anakojoa kitandani, tena sometimes asubuhi kushakucha. Nimeshasafiri nae mara mbili, biti analopigwa kuhusu kujikojolea ugenini huwa lina matokeo chanya, which proves nyumbani huwa anafanya makusudi maana anaeishia kugombezwa ni dada wa kazi na sio yeye.

2. Kama nimeelewa sahihi Tuta Absoluta Kantangaze alikua na malengo na mpenzi wake, so jambo la kuruhusu/taka mtoto awe sehemu ya muda wao pamoja halina ubaya wowote. Ilikua vizuri ili watengeneze bond, lakini pia imemsaidia kujua huyo dada ni mama wa aina gani. Angekuja kugundua miaka miwili/mitatu baadae wameshaongeza wakwao ingekua mbaya zaidi.

3. Jamaa haonyeshi kutokumpenda mtoto, nnachoona ni kwamba analazimishwa kumkubali na tabia zake hata ambazo sio nzuri pamoja na aina ya malezi anayopewa. Kitu ambacho sio sahihi. If we are being honest, huyo mwanamke anaweza kuona kama anamsaidia mwanae kwakumuendekeza (sio kumpenda) ila anamuharibu.

All in all, the guy is right. Kupitia maongezi yao inaonekana kabisa he's done his best, ila single mother hana shukrani wala hataki hata ku-acknowledge juhudi za jamaa. Amuache akachoshane na mtu mwingine mbele ya safari.
Nimeelewa namba 3,huyo dada analazimisha akubali tabia mbovu kwa kigezo cha "trauma " HAIKUBALIKI
 
Sijui ni kitu gani mkuu ila madem wazuri wengi hawana akili sijui kwanini!!

Unaweza kut hata ana masters ila ukij kua na mahusiano nae mpaka utajiuliz huyu hii masters kaipataje mbona mweupe hivi!!

Na hapo atakusumbua kinoma, wao hudhani kwa kua ni binti mzuri basi utapaparika kwa kila atachosema.

Bahati inakua kwake akipata kibabu chenye ukwasi maana haviulizagi na sio kijana mwenye malengo hamtafika mbali.

Usikute jamaa anapata 500k ila anaipangilia vyedi kenyewe kanaona kama jamaa anapata mamilioni.
 
Huyu ndiye anasababisha Single mothers hawaaminiki tena Jamvini
Eishhhhh! Hata mimi fellow single mother nakuunga mkono 💯
Achana nae huyo single mother wako maana utoto umemjaa sana.

Excuses zake zote ni za kipuuzi 100%. Ata/mtaleaje mtoto kwa style hiyo eti kisa baba yake kafariki..?🙄🙄
 
Normally akiendelea kujikojolea at the age of 8+ ndiyo tunaweza kusema ni changamoto kiafya.

Currently at his age, bado yupo normal kabisa.

Mama yake tu ajikaze katika kumuamsha.
Kujikojolea wakati mwingine mtoto ufanya makusudi kwa kuogopa kwenda chooni hasa kwa watoto wanao lala peke yao, Mimi mwenyewe nilipo kuwa mdogo wakati mwingine nilikuwa najikojolea kitandani makusudi, kuna wazazi wengine akiona mtoto mgumu kuacha kujikojolea kitandani anawaita watoto wenzake mtaani na kuanza kumuimbia nyimbo za kikojozi.
 
Back
Top Bottom