Kuna mambo hutokea katika Uhusiano ujue mwenzi wako ni mtu wa namna gani. Huyu wangu nimegundua hana akili

Kuna mambo hutokea katika Uhusiano ujue mwenzi wako ni mtu wa namna gani. Huyu wangu nimegundua hana akili

Dr Restart mi natofautiana na wewe.

1. Mtoto wa miaka 7 kujikojolea sio sahihi, unless ana tatizo la kiafya. Mimi nilimchapa wakwangu akiwa na 5 ama 6 kama siokosei....na aliacha immediately maana katabia kenyewe kaliibuka out of nowhere. Watoto wana tendency yakujaribu watu kwakufanya makosa kwa makusudi pale wanapoamini they'll get away with it. Kuna mtoto wa dada yangu (12 yrs old), huwa anakojoa kitandani, tena sometimes asubuhi kushakucha. Nimeshasafiri nae mara mbili, biti analopigwa kuhusu kujikojolea ugenini huwa lina matokeo chanya, which proves nyumbani huwa anafanya makusudi maana anaeishia kugombezwa ni dada wa kazi na sio yeye.

2. Kama nimeelewa sahihi Tuta Absoluta Kantangaze alikua na malengo na mpenzi wake, so jambo la kuruhusu/taka mtoto awe sehemu ya muda wao pamoja halina ubaya wowote. Ilikua vizuri ili watengeneze bond, lakini pia imemsaidia kujua huyo dada ni mama wa aina gani. Angekuja kugundua miaka miwili/mitatu baadae wameshaongeza wakwao ingekua mbaya zaidi.

3. Jamaa haonyeshi kutokumpenda mtoto, nnachoona ni kwamba analazimishwa kumkubali na tabia zake hata ambazo sio nzuri pamoja na aina ya malezi anayopewa. Kitu ambacho sio sahihi. If we are being honest, huyo mwanamke anaweza kuona kama anamsaidia mwanae kwakumuendekeza (sio kumpenda) ila anamuharibu.

All in all, the guy is right. Kupitia maongezi yao inaonekana kabisa he's done his best, ila single mother hana shukrani wala hataki hata ku-acknowledge juhudi za jamaa. Amuache akachoshane na mtu mwingine mbele ya safari.
Vyovyote vile sio sahihi kumchapa mtoto anayejikojolea. Wa kwako ulifanikiwa lakini hiyo sio njia sahihi nzuri kwa kila mtoto.
 
Miaka 7 ni mwanangu wa pil huyo yuko darasa la 3 sasa. Anaamka saa 11 na Nusu asubuh kkla siku za shule. Anajiandaa na kumuandaa mdogo ake kwenda shule. Anajipikia ugali wake mwenyewe.
Huyu nafikir mi angeniona ni zaidi ya mnyanyasaji maana mtoto haend shule bila kufanya kaz zinazomuhus nyumbani.
Viboko pia vipo wakizingua.

Huyo single maza angenikimbia siku ya kwanza tuu maana huwa sivungi
 
Dr. Unakubaliana mtoto wa miaka Saba kujikojolea?mtoto kuacha kukojoa kitandani wengi kuanzia miaka 3 wenye akili shape ni 2.8....huyo dada analea vibaya mtoto uongo ni dhambi,
Ndiyo, nakubaliana.

Kiutaalam kabisa, mtoto wa miaka saba kujikojolea si ajabu. Ndiyo ukomo haswa wa mtoto kujilojolea kama hana changamoto.

Wapo watoto ambao huwahi sana kuacha kujikojolea. Wanangu wote, kabla hawajafikisha miaka miwili wameshaacha kujikojolea.

Wapo watoto wanaochelewa, hata miaka 10. Na wengine wana changamoto za kiafya na wengine wanaridhi.

Pamoja na hayo, je kipigo ndiyo sahihi? Hapana.

Ikifika jioni usimpe mtoto vitu vya maji na unapaswa kumuamsha usiku akojoe pia. Kuna ambao unaweza kusema wanafanya makusudi, je wale wasioweza na kutojitambua?

Dr Lizzy Beberu MamaSamia2025
 
Tumetofautiana malezi,7years akojolee godoro langu niseme namsubiri afike 10 yeleuwiiiiiiiii.....yaani nimsubiri mpaka darasa la Tano anakojoa?jamani?labda idhibitishwe na daktari wa ukweli ana tatizo la afya,unless atachezea sana bakora mpaka akilala anaweweseka anaamka mwenyewe kukojoa
 
Malezi yako hayapaswi kuwa malezi ya mtu mwingine. Na unachokiamini hakipaswi kuaminiwa na kila mtu.

Kiufupi, miaka saba mtoto kujikojolea si ajabu kitabibu.
 
mzabzab kwahiyo single mother tujipende wenyewe???🙄🙄

Basi tujengewe kamji ketu tukakae huko!!!!😁
Duniani u ape dwa mara moja tuu thats if u r lucky. Wengine kama kina mzabzab mpaka leo hatujawahi kupendwa.

So nyie single maza mlishwapendwa once mshukuru mmepata na mtoto kutokana na hiyo love. Be greatful my dear.
 
Malezi yako hayapaswi kuwa malezi ya mtu mwingine. Na unachokiamini hakipaswi kuaminiwa na kila mtu.

Kiufupi, miaka saba mtoto kujikojolea si ajabu kitabibu.
Ndio maana nimekubali tunatofautiana malezi,na Wala sijashauri au kulazimisha Mtu afuate malezi yangu.
Kwa maana hiyo kama ni sawa kitabibu basi mtoto tumuweke kwenye changamoto za kiafya and not normal
 
Baba Ikram mbona unatoka kwenye mfumo sasa[emoji28]

Ikram anakuja na mama yake, ni package deal...

300k/mwezi pesa ndogo? hadi nimesisimka yaani
300k Kwa mwezi ni ndogo ?? Just imagine Na Kodi huwa ni miezi 6 which means umpe lumpsum YA 1,800,000 kila baada YA miezi 6 pia, baada YA hapo umpe matumizi yasiyopungua laki4 Kwa ajili YA mahitaji yake

Hii ni ngumu kumeza, wanawake hawajui kuwa Hela huwa ni ngumu
 
Ndio maana nimekubali tunatofautiana malezi,na Wala sijashauri au kulazimisha Mtu afuate malezi yangu.
Kwa maana hiyo kama ni sawa kitabibu basi mtoto tumuweke kwenye changamoto za kiafya and not normal
Normally akiendelea kujikojolea at the age of 8+ ndiyo tunaweza kusema ni changamoto kiafya.

Currently at his age, bado yupo normal kabisa.

Mama yake tu ajikaze katika kumuamsha.
 
Back
Top Bottom