Mie najua milio ya kisanii tuu maana kwanza kibamia changu hakifanikiwi kupita labia mjira sijui mwaiita ileNimeshangaa ukisema hujui milio🤣🤣🤣
Sisi tuliacha kwa kuchapwa na upupu. Without fear or pain there is no accountability my dearVyovyote vile sio sahihi kumchapa mtoto anayejikojolea. Wa kwako ulifanikiwa lakini hiyo sio njia sahihi nzuri kwa kila mtoto.
Naunga mkono hojaUmekutana na punguani...
Matatizo mengine huwa mnajitakia wenyewe kwa kujidai kuwa mna huruma au mnajali sana... Nani aliwadanganya single moms wana mapenzi ya kweli? Hao watu wako traumatized na usijadai kuwa utaweza kumsahaulisha na maswahibu yake ya awali.Ni jambo baya ila naweka pia na wengine wajifunze. Wakati mwingine usitake sana kumridhisha au kumfurahisha mwenzio. Usitake kuvumilia sana tabia ambazo unajua si sawa kwa kigezo cha mapenzi.
Huyu dada nilimkuta na mtoto nikamwambia haina shida nitamlea mtoto. Mumewe alifariki. Lakini kama ambavyo nliandika uzi jana. Sisemi single mothers wote wapo hivi ila huyu wangu ni kilaza. Nlimuamini sababu ana degree alimaliza CBE na ni dada mzuri wa sura , umbo na rangi. Nlidhani pia kwa kufiwa na kuwa na mtoto angekuwa matured. Bado ana upumbavu mwingi kichwani.
View attachment 2866044View attachment 2866046View attachment 2866048View attachment 2866049
Sahihi kabisa.Vyovyote vile sio sahihi kumchapa mtoto anayejikojolea. Wa kwako ulifanikiwa lakini hiyo sio njia sahihi nzuri kwa kila mtoto.
We mzabzab acha utani. Yani niridhike na kupendwa mara moja tu maisha yangu yote???🙄🙄Duniani u ape dwa mara moja tuu thats if u r lucky. Wengine kama kina mzabzab mpaka leo hatujawahi kupendwa.
So nyie single maza mlishwapendwa once mshukuru mmepata na mtoto kutokana na hiyo love. Be greatful my dear.
Ah kwahiyo kumbe mnakubali kuoendwa kunaweza tokea zaidi ya mara nnyingi? Sasa why mnamind mwanaume akioendwa na mwanamke mwengine wakagegeduana au mwanamke akapendwa na mwanaume mwengine akamoea mbususu?We mzabzab acha utani. Yani niridhike na kupendwa mara moja tu maisha yangu yote???🙄🙄
No way!!
Single mother or not...wakudanganyana nae lazima apatikane!!🤨
Mimi mpaka form 3 ilikuja kuacha nikiwa 4m 4Dr Restart mi natofautiana na wewe.
1. Mtoto wa miaka 7 kujikojolea sio sahihi, unless ana tatizo la kiafya. Mimi nilimchapa wakwangu akiwa na 5 ama 6 kama siokosei....na aliacha immediately maana katabia kenyewe kaliibuka out of nowhere. Watoto wana tendency yakujaribu watu kwakufanya makosa kwa makusudi pale wanapoamini they'll get away with it. Kuna mtoto wa dada yangu (12 yrs old), huwa anakojoa kitandani, tena sometimes asubuhi kushakucha. Nimeshasafiri nae mara mbili, biti analopigwa kuhusu kujikojolea ugenini huwa lina matokeo chanya, which proves nyumbani huwa anafanya makusudi maana anaeishia kugombezwa ni dada wa kazi na sio yeye.
2. Kama nimeelewa sahihi Tuta Absoluta Kantangaze alikua na malengo na mpenzi wake, so jambo la kuruhusu/taka mtoto awe sehemu ya muda wao pamoja halina ubaya wowote. Ilikua vizuri ili watengeneze bond, lakini pia imemsaidia kujua huyo dada ni mama wa aina gani. Angekuja kugundua miaka miwili/mitatu baadae wameshaongeza wakwao ingekua mbaya zaidi.
3. Jamaa haonyeshi kutokumpenda mtoto, nnachoona ni kwamba analazimishwa kumkubali na tabia zake hata ambazo sio nzuri pamoja na aina ya malezi anayopewa. Kitu ambacho sio sahihi. If we are being honest, huyo mwanamke anaweza kuona kama anamsaidia mwanae kwakumuendekeza (sio kumpenda) ila anamuharibu.
All in all, the guy is right. Kupitia maongezi yao inaonekana kabisa he's done his best, ila single mother hana shukrani wala hataki hata ku-acknowledge juhudi za jamaa. Amuache akachoshane na mtu mwingine mbele ya safari.
🤣😁Mimi mpaka form 3 ilikuja kuacha nikiwa 4m 4
Hatimae wakinga tumefikiwa [emoji849][emoji849]Aende Palestine au awaulize wakinga wa makete walijileaje kipindi wazazi wao walipomalizwa na janga la ukimwi
Hiyo fear unayomtengenezea inaweza ikasababisha tatizo lingine kubwa zaidi la kutojiamini.Sisi tuliacha kwa kuchapwa na upupu. Without fear or pain there is no accountability my dear
Aisee hiyo hairuhusiwi hata kidogo tukiwa bado in the middle of kupendana. Amalize kupendana na mimi ndo akapendane na wengine huko!!😏Ah kwahiyo kumbe mnakubali kuoendwa kunaweza tokea zaidi ya mara nnyingi? Sasa why mnamind mwanaume akioendwa na mwanamke mwengine wakagegeduana au mwanamke akapendwa na mwanaume mwengine akamoea mbususu?
Sasa wakudanganyana tena hapo mbona kama wanichanganya dr?
Hapa tayari mtoto wa kiume mwingine.booo, baada ya kusoma hizo mixer za l na r nikakumbuka ana degree hio degree ni ya kuvukia barabara? mtoto wa miaka saba analala na mama yake vipi wanakulana?
Ingawa kujikojolea kwa mtoto wa miaka saba ni kawaida ila kama hana shida ya kiafya mara nyingi ni swala la kisaikolojia zaidi, muda mwingine fimbo zinamuweka vizuri kiakili kuliko kimfanya aone ni kawaida , kuwapenda watoto kupitiliza ni ku waharibu , usimnyime mtoto viboko watu wa biblia watashusha Ni verse ipiWote mna changamoto.
Tukianza na wewe, hupaswi kumuadhibu mtoto kwa kujikojolea. Ukweli ni kuwa kukojoa kutakoma baada ya muda. Ungetafuta namna ya kumsaidia, ama aamshwe usiku akakojoe au kuweka vizuia unyevu kupenya kwenye godoro.
Lakini pia, kama unaona ungekuwa na ualakini katika malezi basi usingemruhusu kutoka awali aje na mwanae. Kama alikataa kumpeleka kwa mama yake basi nawe ungekataa kukaa naye.
Tukirudi kwake, hapaswi kukulazimisha umpende mwanae. Upendo huja automatically, haulazimishwi.
Lakini pia, ana akili za kimalaya. Kwamba, unapawa kumhudumia kwa sababu unamtumia. Sijui namna gani unamtumia, ila nadhani ni kulala naye. Kama unamfanyisha kazi basi anastahili mshahara.
Ngono si one side sided. Kila mmoja anawajibika kwa mwingine. Ninyi wote mnafurahia.
Lakini pia, amezidisha mapenzi kwa mwanaye. Mpaka analazimisha mambo ya hovyo. Kutotaka mtoto wa miaka 7 alale mwenyewe ni upuuzi. Mtoto hawezi kulala mwenyewe wala si traumatization. Ni malezi bora kabisa akajilalie mwenyewe.
Kulala na mtoto wa miaka saba ukiwa na mpenzi wako kitanda kimoja ni unyanyasaji. Mtoto wa 7 years ni mkubwa sana. Anaelewa vitu vingi. Kusikia mama yake analia huku anapelekewa pipe, ni unyanyasaji.
Cha msingi hamtawezana. Kila mtu afuate muelekeo wake.
Umeeleweka dr. Haya bwana mie ngoja njtume maombi nije tudanganyane.Aisee hiyo hairuhusiwi hata kidogo tukiwa bado in the middle of kupendana. Amalize kupendana na mimi ndo akapendane na wengine huko!!😏
Sindo mnasemaga wanawake tunapenda kudangwanya?? Nimeanza mimi kukubali....😁😁😁