Kuna mambo hutokea katika Uhusiano ujue mwenzi wako ni mtu wa namna gani. Huyu wangu nimegundua hana akili

Kuna mambo hutokea katika Uhusiano ujue mwenzi wako ni mtu wa namna gani. Huyu wangu nimegundua hana akili

Ni jambo baya ila naweka pia na wengine wajifunze. Wakati mwingine usitake sana kumridhisha au kumfurahisha mwenzio. Usitake kuvumilia sana tabia ambazo unajua si sawa kwa kigezo cha mapenzi.

Huyu dada nilimkuta na mtoto nikamwambia haina shida nitamlea mtoto. Mumewe alifariki. Lakini kama ambavyo nliandika uzi jana. Sisemi single mothers wote wapo hivi ila huyu wangu ni kilaza. Nlimuamini sababu ana degree alimaliza CBE na ni dada mzuri wa sura , umbo na rangi. Nlidhani pia kwa kufiwa na kuwa na mtoto angekuwa matured. Bado ana upumbavu mwingi kichwani.

View attachment 2866044View attachment 2866046View attachment 2866048View attachment 2866049
Matatizo mengine huwa mnajitakia wenyewe kwa kujidai kuwa mna huruma au mnajali sana... Nani aliwadanganya single moms wana mapenzi ya kweli? Hao watu wako traumatized na usijadai kuwa utaweza kumsahaulisha na maswahibu yake ya awali.

Anyway endeleeni kuwaridhisha mkifikiri mtaweza
 
Duniani u ape dwa mara moja tuu thats if u r lucky. Wengine kama kina mzabzab mpaka leo hatujawahi kupendwa.

So nyie single maza mlishwapendwa once mshukuru mmepata na mtoto kutokana na hiyo love. Be greatful my dear.
We mzabzab acha utani. Yani niridhike na kupendwa mara moja tu maisha yangu yote???🙄🙄
No way!!

Single mother or not...wakudanganyana nae lazima apatikane!!🤨
 
Mkuu umemsifia sana huyo mpenzi wako kuhusu muonekano wake,inawezzekana kweli ni mzuri wa sura na umbo. Ila anavyokujibu inaonekana ufahamu wake uko chini sana sana. Hapo chagua moja brother,chagua kuoa muonekano wake ili akulelee watoto vilaza au chagua mwanamke mwenye brain akulelee watoto bright.

Kuna msemo mmoja unasema, akili yake ndio italea watoto wako na wala sio sura na muonekano wake. Imagine huyu ana bachelor yake kabisa yaani!
 
We mzabzab acha utani. Yani niridhike na kupendwa mara moja tu maisha yangu yote???🙄🙄
No way!!

Single mother or not...wakudanganyana nae lazima apatikane!!🤨
Ah kwahiyo kumbe mnakubali kuoendwa kunaweza tokea zaidi ya mara nnyingi? Sasa why mnamind mwanaume akioendwa na mwanamke mwengine wakagegeduana au mwanamke akapendwa na mwanaume mwengine akamoea mbususu?

Sasa wakudanganyana tena hapo mbona kama wanichanganya dr?
 
Dr Restart mi natofautiana na wewe.

1. Mtoto wa miaka 7 kujikojolea sio sahihi, unless ana tatizo la kiafya. Mimi nilimchapa wakwangu akiwa na 5 ama 6 kama siokosei....na aliacha immediately maana katabia kenyewe kaliibuka out of nowhere. Watoto wana tendency yakujaribu watu kwakufanya makosa kwa makusudi pale wanapoamini they'll get away with it. Kuna mtoto wa dada yangu (12 yrs old), huwa anakojoa kitandani, tena sometimes asubuhi kushakucha. Nimeshasafiri nae mara mbili, biti analopigwa kuhusu kujikojolea ugenini huwa lina matokeo chanya, which proves nyumbani huwa anafanya makusudi maana anaeishia kugombezwa ni dada wa kazi na sio yeye.

2. Kama nimeelewa sahihi Tuta Absoluta Kantangaze alikua na malengo na mpenzi wake, so jambo la kuruhusu/taka mtoto awe sehemu ya muda wao pamoja halina ubaya wowote. Ilikua vizuri ili watengeneze bond, lakini pia imemsaidia kujua huyo dada ni mama wa aina gani. Angekuja kugundua miaka miwili/mitatu baadae wameshaongeza wakwao ingekua mbaya zaidi.

3. Jamaa haonyeshi kutokumpenda mtoto, nnachoona ni kwamba analazimishwa kumkubali na tabia zake hata ambazo sio nzuri pamoja na aina ya malezi anayopewa. Kitu ambacho sio sahihi. If we are being honest, huyo mwanamke anaweza kuona kama anamsaidia mwanae kwakumuendekeza (sio kumpenda) ila anamuharibu.

All in all, the guy is right. Kupitia maongezi yao inaonekana kabisa he's done his best, ila single mother hana shukrani wala hataki hata ku-acknowledge juhudi za jamaa. Amuache akachoshane na mtu mwingine mbele ya safari.
Mimi mpaka form 3 ilikuja kuacha nikiwa 4m 4
 
Ah kwahiyo kumbe mnakubali kuoendwa kunaweza tokea zaidi ya mara nnyingi? Sasa why mnamind mwanaume akioendwa na mwanamke mwengine wakagegeduana au mwanamke akapendwa na mwanaume mwengine akamoea mbususu?

Sasa wakudanganyana tena hapo mbona kama wanichanganya dr?
Aisee hiyo hairuhusiwi hata kidogo tukiwa bado in the middle of kupendana. Amalize kupendana na mimi ndo akapendane na wengine huko!!😏

Sindo mnasemaga wanawake tunapenda kudangwanya?? Nimeanza mimi kukubali....😁😁😁
 
booo, baada ya kusoma hizo mixer za l na r nikakumbuka ana degree hio degree ni ya kuvukia barabara? mtoto wa miaka saba analala na mama yake vipi wanakulana?
Hapa tayari mtoto wa kiume mwingine.
-huyu akienda sehemu,atalia kisa hajalala na mama yake.
-umri huu, wakianza yao,linainua kichwa na kuanza kuangalia. Mshikaji hapa lazima aache. Kwa wanaoelewa,hiyo hali haivumiliki.
-hata kwa siku moja,mtoto wa kiume akikuona unamla mama yake,utajuta maisha yako yote. Hata baba yake mzazi kisirani hakiishi sembuse mtu mwingine.
-Kwa umri huo,hayo mambo mtoto akiyaona tu hata kama ni mara moja,humuathiri kisaikolojia.
-Huyo mwanamke,ni tu kwamba ana viungo vya siri vya jinsia ya kike. Hata marehemu asingemuweza.
-huyu jama ana ubavu aise. Mvumilivu.
Kosa alilofanya na yeye ni kukubali kulala na mtoto. Angekuwa analala na msaidizi wa kazi karibu.
Kwamba kujikojolea ni kawaida ataacha! Khah! Yaani alale chumba kinanuka mikojo kisa mtoto haguswi!
Inaonekana jama alikuwa anatumika tu wala hakuwahi kupendwa.

Tuta Absoluta Kantangaze ,kwa hali hii,aliwahi hata kutoka akakuacha na mtoto? Au wewe kutoka akuache uende nae! Kama jibu ni hapana,hakukuwa na mtu hapo. Hapo umeshapigwa na kitu kizito,mtoto shangazi zake na wajomba watalea,na mama yake waachie masela
 
Wote mna changamoto.

Tukianza na wewe, hupaswi kumuadhibu mtoto kwa kujikojolea. Ukweli ni kuwa kukojoa kutakoma baada ya muda. Ungetafuta namna ya kumsaidia, ama aamshwe usiku akakojoe au kuweka vizuia unyevu kupenya kwenye godoro.

Lakini pia, kama unaona ungekuwa na ualakini katika malezi basi usingemruhusu kutoka awali aje na mwanae. Kama alikataa kumpeleka kwa mama yake basi nawe ungekataa kukaa naye.

Tukirudi kwake, hapaswi kukulazimisha umpende mwanae. Upendo huja automatically, haulazimishwi.

Lakini pia, ana akili za kimalaya. Kwamba, unapawa kumhudumia kwa sababu unamtumia. Sijui namna gani unamtumia, ila nadhani ni kulala naye. Kama unamfanyisha kazi basi anastahili mshahara.

Ngono si one side sided. Kila mmoja anawajibika kwa mwingine. Ninyi wote mnafurahia.

Lakini pia, amezidisha mapenzi kwa mwanaye. Mpaka analazimisha mambo ya hovyo. Kutotaka mtoto wa miaka 7 alale mwenyewe ni upuuzi. Mtoto hawezi kulala mwenyewe wala si traumatization. Ni malezi bora kabisa akajilalie mwenyewe.

Kulala na mtoto wa miaka saba ukiwa na mpenzi wako kitanda kimoja ni unyanyasaji. Mtoto wa 7 years ni mkubwa sana. Anaelewa vitu vingi. Kusikia mama yake analia huku anapelekewa pipe, ni unyanyasaji.

Cha msingi hamtawezana. Kila mtu afuate muelekeo wake.
Ingawa kujikojolea kwa mtoto wa miaka saba ni kawaida ila kama hana shida ya kiafya mara nyingi ni swala la kisaikolojia zaidi, muda mwingine fimbo zinamuweka vizuri kiakili kuliko kimfanya aone ni kawaida , kuwapenda watoto kupitiliza ni ku waharibu , usimnyime mtoto viboko watu wa biblia watashusha Ni verse ipi
 
Aisee hiyo hairuhusiwi hata kidogo tukiwa bado in the middle of kupendana. Amalize kupendana na mimi ndo akapendane na wengine huko!!😏

Sindo mnasemaga wanawake tunapenda kudangwanya?? Nimeanza mimi kukubali....😁😁😁
Umeeleweka dr. Haya bwana mie ngoja njtume maombi nije tudanganyane.
 
Back
Top Bottom