Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hahhahaa na mimi nimeona.Ila uandishi wa demu wako umefanana na mama J wa DeepPond wao wanajilipua tu liwalo na liweππππ
Acha wivu. Watu wanapiga hela we acha tu.Ila kwa hizi conversation kama ni real hapo hakuna mtu , atakutesa wakati yeye anaona wewe unamtesa , Yani hata kama hujasoma sms zote ukisoma ya kupangiwa nyumba tu 300k unaona hapo hivi kichwa RIP
Yani hiyo 300k imenifanya nimekasirika ghafla nikasonya kumbe jirani kanisikia akajua namsonya yeyeππ
Daah Kaka huyu ni mwanamke kilaza Sana.Ni jambo baya ila naweka pia na wengine wajifunze. Wakati mwingine usitake sana kumridhisha au kumfurahisha mwenzio. Usitake kuvumilia sana tabia ambazo unajua si sawa kwa kigezo cha mapenzi.
Huyu dada nilimkuta na mtoto nikamwambia haina shida nitamlea mtoto. Mumewe alifariki. Lakini kama ambavyo nliandika uzi jana. Sisemi single mothers wote wapo hivi ila huyu wangu ni kilaza. Nlimuamini sababu ana degree alimaliza CBE na ni dada mzuri wa sura , umbo na rangi. Nlidhani pia kwa kufiwa na kuwa na mtoto angekuwa matured. Bado ana upumbavu mwingi kichwani.
View attachment 2866044View attachment 2866046View attachment 2866048View attachment 2866049
Kuna wengn hata hamna mahusiano Yale pendwa mpo just washkaji tu lkn huoni shida kumsaidia vitu kama hvo lkn mwingine mna mahusiano kbs lakni huna hamu kbs hata ya kumnunulia perfume tuI'm sure ukiwa kwenye mahusiano na mtu sahihi lazima kuna namna atakua anaongeza value kwenye maisha yako. Kama hamna anachoongeza basi hata mi nakubali kwamba haina maana!ππΎ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Alafu hizi encounters za discussion zinakuwa tamuu balaaa....ndio zinapovumbilika style mupya kama popo kanyea mbingu π€£π€£π€£π€£
Enjoy bwana yaani tena sana maana haya mambo ya malove as u said dnt last long before kibao kinageuka
Watu mnaleta utani[emoji23][emoji23][emoji23]mtoto ana trauma
Jamani π€£π€£π€£Kuna wengn hata hamna mahusiano Yale pendwa mpo just washkaji tu lkn huoni shida kumsaidia vitu kama hvo lkn mwingine mna mahusiano kbs lakni huna hamu kbs hata ya kumnunulia perfume tu
Hizi ndio akili zao hatakama kasoma na Masters degreeDaah kumbe Ile dhana mwanamke ni chombo cha starehe wao wanaipenda na ni kweli.
Inafikirisha Sana.Hizi ndio akili zao hatakama kasoma na Masters degree
Tumekuzwa na fear hadi tumefika hapa. Tumewakuza mibaba na mibinti karibia na nyie kwa fear na wametokamo na kuwa wa maana. Tusidanganyane, fear ni muhimili mkuu wa kumkuza mtoto ambaye ni intelligent. Ukiwa na mtoto kilaza sawa.Hiyo fear unayomtengenezea inaweza ikasababisha tatizo lingine kubwa zaidi la kutojiamini.
Ilikuwa nipate full package mama na mtoto nimechemkaBaba Ikram mbona unatoka kwenye mfumo sasaπ
Ikram anakuja na mama yake, ni package deal...
300k/mwezi pesa ndogo? hadi nimesisimka yaani
Huku mtaani hali ni tete mapenzi yamekua ntitiJamani π€£π€£π€£
Huyo anakua amekuchosha haswa!!!
Aachwe tu!
Nashukuru umeelezea kile ambacho pengine mimi si mwongeaji mzuri kukieleza.Dr Restart mi natofautiana na wewe.
1. Mtoto wa miaka 7 kujikojolea sio sahihi, unless ana tatizo la kiafya. Mimi nilimchapa wakwangu akiwa na 5 ama 6 kama siokosei....na aliacha immediately maana katabia kenyewe kaliibuka out of nowhere. Watoto wana tendency yakujaribu watu kwakufanya makosa kwa makusudi pale wanapoamini they'll get away with it. Kuna mtoto wa dada yangu (12 yrs old), huwa anakojoa kitandani, tena sometimes asubuhi kushakucha. Nimeshasafiri nae mara mbili, biti analopigwa kuhusu kujikojolea ugenini huwa lina matokeo chanya, which proves nyumbani huwa anafanya makusudi maana anaeishia kugombezwa ni dada wa kazi na sio yeye.
2. Kama nimeelewa sahihi Tuta Absoluta Kantangaze alikua na malengo na mpenzi wake, so jambo la kuruhusu/taka mtoto awe sehemu ya muda wao pamoja halina ubaya wowote. Ilikua vizuri ili watengeneze bond, lakini pia imemsaidia kujua huyo dada ni mama wa aina gani. Angekuja kugundua miaka miwili/mitatu baadae wameshaongeza wakwao ingekua mbaya zaidi.
3. Jamaa haonyeshi kutokumpenda mtoto, nnachoona ni kwamba analazimishwa kumkubali na tabia zake hata ambazo sio nzuri pamoja na aina ya malezi anayopewa. Kitu ambacho sio sahihi. If we are being honest, huyo mwanamke anaweza kuona kama anamsaidia mwanae kwakumuendekeza (sio kumpenda) ila anamuharibu.
All in all, the guy is right. Kupitia maongezi yao inaonekana kabisa he's done his best, ila single mother hana shukrani wala hataki hata ku-acknowledge juhudi za jamaa. Amuache akachoshane na mtu mwingine mbele ya safari.
Hapana. Miaka 7 anajikojolea sababu mama yake anasema anajisikia uvivu mimi namchapa. Ni ujinga. Namchapa sana tu.Kujikojolea sio jambo la hiari ni jukumu la mzazi kumuamsha mtoto hata mara tatu usiku akojoe na sio kumchapa kuna athiri saikolojia ya mtoto.
Si nilikuambiaga wewe mambo safi hujioneshagi sema hunaga sifa za kijinga kama sisi wabeba boks mambele the 1%Baba Ikram mbona unatoka kwenye mfumo sasaπ
Ikram anakuja na mama yake, ni package deal...
300k/mwezi pesa ndogo? hadi nimesisimka yaani
Ila mtoto wa miaka saba anajikojolea lazima aadhibiwe ajue huo ni upuuz miaka saba ni darasa la kwanza mkuu unaruhusu akojoe hapo inakuaje mkuu daaahWote mna changamoto.
Tukianza na wewe, hupaswi kumuadhibu mtoto kwa kujikojolea. Ukweli ni kuwa kukojoa kutakoma baada ya muda. Ungetafuta namna ya kumsaidia, ama aamshwe usiku akakojoe au kuweka vizuia unyevu kupenya kwenye godoro.
Lakini pia, kama unaona ungekuwa na ualakini katika malezi basi usingemruhusu kutoka awali aje na mwanae. Kama alikataa kumpeleka kwa mama yake basi nawe ungekataa kukaa naye.
Tukirudi kwake, hapaswi kukulazimisha umpende mwanae. Upendo huja automatically, haulazimishwi.
Lakini pia, ana akili za kimalaya. Kwamba, unapawa kumhudumia kwa sababu unamtumia. Sijui namna gani unamtumia, ila nadhani ni kulala naye. Kama unamfanyisha kazi basi anastahili mshahara.
Ngono si one side sided. Kila mmoja anawajibika kwa mwingine. Ninyi wote mnafurahia.
Lakini pia, amezidisha mapenzi kwa mwanaye. Mpaka analazimisha mambo ya hovyo. Kutotaka mtoto wa miaka 7 alale mwenyewe ni upuuzi. Mtoto hawezi kulala mwenyewe wala si traumatization. Ni malezi bora kabisa akajilalie mwenyewe.
Kulala na mtoto wa miaka saba ukiwa na mpenzi wako kitanda kimoja ni unyanyasaji. Mtoto wa 7 years ni mkubwa sana. Anaelewa vitu vingi. Kusikia mama yake analia huku anapelekewa pipe, ni unyanyasaji.
Cha msingi hamtawezana. Kila mtu afuate muelekeo wake.