Kuna mambo hutokea katika Uhusiano ujue mwenzi wako ni mtu wa namna gani. Huyu wangu nimegundua hana akili

Kuna mambo hutokea katika Uhusiano ujue mwenzi wako ni mtu wa namna gani. Huyu wangu nimegundua hana akili

Screenshot_2024-01-09-11-14-21-172_com.whatsapp_4.jpg

Nimeishia hapo kwenye "You pretend to be a Gentlemen".

Kama huyo Dada ni muhitimu wa Degree basi Elimu ya Tanzania bado ina safari ndefu sana.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Wote mna changamoto.

Tukianza na wewe, hupaswi kumuadhibu mtoto kwa kujikojolea. Ukweli ni kuwa kukojoa kutakoma baada ya muda. Ungetafuta namna ya kumsaidia, ama aamshwe usiku akakojoe au kuweka vizuia unyevu kupenya kwenye godoro.

Lakini pia, kama unaona ungekuwa na ualakini katika malezi basi usingemruhusu kutoka awali aje na mwanae. Kama alikataa kumpeleka kwa mama yake basi nawe ungekataa kukaa naye.

Tukirudi kwake, hapaswi kukulazimisha umpende mwanae. Upendo huja automatically, haulazimishwi.

Lakini pia, ana akili za kimalaya. Kwamba, unapawa kumhudumia kwa sababu unamtumia. Sijui namna gani unamtumia, ila nadhani ni kulala naye. Kama unamfanyisha kazi basi anastahili mshahara.

Ngono si one side sided. Kila mmoja anawajibika kwa mwingine. Ninyi wote mnafurahia.

Lakini pia, amezidisha mapenzi kwa mwanaye. Mpaka analazimisha mambo ya hovyo. Kutotaka mtoto wa miaka 7 alale mwenyewe ni upuuzi. Mtoto hawezi kulala mwenyewe wala si traumatization. Ni malezi bora kabisa akajilalie mwenyewe.

Kulala na mtoto wa miaka saba ukiwa na mpenzi wako kitanda kimoja ni unyanyasaji. Mtoto wa 7 years ni mkubwa sana. Anaelewa vitu vingi. Kusikia mama yake analia huku anapelekewa pipe, ni unyanyasaji.

Cha msingi hamtawezana. Kila mtu afuate muelekeo wake.
Hayo malezi ya kizungu mnayotaka ndo yanavuruga maadili. Mtoto wa miaka 7 kuendelea kujikojolea ni upumbavu mtupu na lazima kipigo kihusike.
 
Single mama hata aliyefiwa ni majanga matupu. Kuna mmoja nilimpata ila akawa ananiboa sana kumpost marehemu baba watoto wake na kuandika captions za kumkumbuka. Pia kumpost mwanae na kuandika mara "my bundle of joy" na captions zingine kama hizo. Mimi nilitoka nduki bila kutazama nyuma. SAY NO TO SINGLE MOTHERS.
 
Kujikojolea sio jambo la hiari ni jukumu la mzazi kumuamsha mtoto hata mara tatu usiku akojoe na sio kumchapa kuna athiri saikolojia ya mtoto.
Unaweza kuwa sahihi ila unaweza usiwe sahihi,sio Kila mtoto anaacha kukujoa kitandani mpaka waamshwe,Kuna namna baadhi ya watoto unakuta ukimvalisha diper Hadi asubuhi haikojolei,hiyo Hali inaeenda mpaka unaacha kumvalisha anajikuta ndio keshaacha,,,lakini Kuna hao pia wa kuwatrain juhudi za mzazi zinatakiwa
 
Wote mna changamoto.

Tukianza na wewe, hupaswi kumuadhibu mtoto kwa kujikojolea. Ukweli ni kuwa kukojoa kutakoma baada ya muda. Ungetafuta namna ya kumsaidia, ama aamshwe usiku akakojoe au kuweka vizuia unyevu kupenya kwenye godoro.

Lakini pia, kama unaona ungekuwa na ualakini katika malezi basi usingemruhusu kutoka awali aje na mwanae. Kama alikataa kumpeleka kwa mama yake basi nawe ungekataa kukaa naye.

Tukirudi kwake, hapaswi kukulazimisha umpende mwanae. Upendo huja automatically, haulazimishwi.

Lakini pia, ana akili za kimalaya. Kwamba, unapawa kumhudumia kwa sababu unamtumia. Sijui namna gani unamtumia, ila nadhani ni kulala naye. Kama unamfanyisha kazi basi anastahili mshahara.

Ngono si one side sided. Kila mmoja anawajibika kwa mwingine. Ninyi wote mnafurahia.

Lakini pia, amezidisha mapenzi kwa mwanaye. Mpaka analazimisha mambo ya hovyo. Kutotaka mtoto wa miaka 7 alale mwenyewe ni upuuzi. Mtoto hawezi kulala mwenyewe wala si traumatization. Ni malezi bora kabisa akajilalie mwenyewe.

Kulala na mtoto wa miaka saba ukiwa na mpenzi wako kitanda kimoja ni unyanyasaji. Mtoto wa 7 years ni mkubwa sana. Anaelewa vitu vingi. Kusikia mama yake analia huku anapelekewa pipe, ni unyanyasaji.

Cha msingi hamtawezana. Kila mtu afuate muelekeo wake.
Sijasoma yote, ila no way mtoto wa miaka 7 kujikojolea ni kawaida, huyu mtoto akijikolea mara moja kwa mwezi sawa ila sio frequently sijui mara 4 kwa week,

Mtoto anaacha kujikojolea akiwa na miaka mitatu au minne, tena hao wamechelewa, mana anakuwa anaweza kukuamsha
 
Changamoto za maisha ya Ndoa plus Malezi ni kubwa sana.

Hii dhana ya kuruhusu K kutaka kufuzu mfumo ndiyo inapelekea malezi na maisha ya mahusiano kuharibika na kuna upande tunausahau ambao ni ndugu wa karibu, nao ni hatari!.

Kwa huyu mwamba hapa tunaweza kusema mtoto kavalishwa shetani wa kuharibu mahusiano, kupitia mamake anayejifanya anamlea ktk njia nzuri kumbe ni matengenezo ya kaburi lake ktk mahusiano.

Huyo binti ni kielelezo (kiwakilishi) cha wasichana walio wengi sana walioachika, kuachwa, kutalikiana, kuzalishwa from implicable nk, hawa wakikutana na M ni misimamo iliyojaa kutu ambayo huwa haina mwisho mzuri.

Jambo moja huyo binti ni HAFAI, hafai kwa sababu ya misimamo yake, ukisoma moja ya reply ya mdau hapo juu kuwa 'muache akapambane mbele huko kwa atakayekutana naye.

Although all to all, shetani anashangilia sana anapoona jamii inaparaganyika kwa kuona familia zijazo zinakosa malezi ya pande mbili.
 
Back
Top Bottom